Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,432
- 30,482
Mwenye macho haambiwi tazama.Acha uongo
Who cares!Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
..hakuna kitu kipya samia anafanya, lbd km mtu anakuwa hataki kuelewa, waislam ni watu wenye hila nyingi..wana mambo yao mengi kutaka dini yao ionekane kwenye kila jambo..walishaimiliki ccm kitambo, ni ajabu wewe unafaham hilo sasa wakati wa samia.Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Ulilijua hilo, uliwahi kulisemea?..hakuna kitu kipya samia anafanya, lbd km mtu anakuwa hataki kuelewa, waislam ni watu wenye hila nyingi..wana mambo yao mengi kutaka dini yao ionekane kwenye kila jambo..walishaimiliki ccm kitambo, ni ajabu wewe unafaham hilo sasa wakati wa samia.
Ukweli ni upiAcha uongo
Mbona wagaratia wanaimiliki chadema na halijahawi kuwa tatizo Kwann iwe Kwa ccm?..hakuna kitu kipya samia anafanya, lbd km mtu anakuwa hataki kuelewa, waislam ni watu wenye hila nyingi..wana mambo yao mengi kutaka dini yao ionekane kwenye kila jambo..walishaimiliki ccm kitambo, ni ajabu wewe unafaham hilo sasa wakati wa samia.
Kwa hiyo na nyinyi chadema yenu imebatizwa?Ukweli ni upi
..mara nyingi.Ulilijua hilo, uliwahi kulisemea?
..inaweza kuwa reciprocation kwa wanachoona kwa walioanza, hata wakiwa hivyo impact yao ni ndogo ukilinganisha na huyu anayekusanya kodi halafu zinatumika kunufaisha watu wa dini yao.Mbona wagaratia wanaimiliki chadema na halijahawi kuwa tatizo Kwann iwe Kwa ccm?
Nyinyi wagaratia msipo futa fikira mlio jijengea Kwa muda mrefu kwenye vichwa vyenu ya kujiona nyinyi ni daraja la kwanza na waislamu ni daraja la pili ndani ya nchi hii mtaishi maisha magumu sana yaliyo jaa donona kwa sababu kichaka cha waislamu hawajasoma waislamu wamekifyeka...inaweza kuwa reciprocation kwa wanachoona kwa walioanza, hata wakiwa hivyo impact yao ni ndogo ukilinganisha na huyu anayekusanya kodi halafu zinatumika kunufaisha watu wa dini yao.
Ikiwa walioteuliwa watatekeleza majukumu yao kwa weledi, ufanisi na uaminifu kwa wananchi wote, dini au majina yao kamwe haviwezi kuwa sababu ya kuwahukumu au kuwatilia shaka. Mimi ninayesema haya ni critic mkubwa sana wa CCM na serikali yake, lakini nataka kubaki kwenye misingi ya kutowahukumu watu kwa ajili ya dini zao kwenye uteuzi mpaka nitakapoona kama hawakidhi vigezo vya kazi husika. Wewe unayewatuhumu hujaleta vigezo vyovyote vya kiutendaji vinavyoonyesha kwanini huwaamini, viweke hapa mezani tuvijadili kwa hoja badala ya kuingiza mambo ya imaniMama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Pipe dream!Ikiwa walioteuliwa watatekeleza majukumu yao kwa weledi, ufanisi na uaminifu kwa wananchi wote, dini au majina yao kamwe haviwezi kuwa sababu ya kuwahukumu au kuwatilia shaka. Mimi ninayesema haya ni critic mkubwa sana wa CCM na serikali yake, lakini nataka kubaki kwenye misingi ya kutowahukumu watu kwa ajili ya dini zao kwenye uteuzi mpaka nitakapoona kama hawakidhi vigezo vya kazi husika. Wewe unayewatuhumu hujaleta vigezo vyovyote vya kiutendaji vinavyoonyesha kwanini huwaamini, viweke hapa mezani tuvijadili kwa hoja badala ya kuingiza mambo ya imani