Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
tatizo huduma zenu sio kwa jamii nzima mnalenga waislam pekee hapo ndio kosa lilipo je hao wakristo wakilenga wakristo wenzao wewe ungeandika hapa leo jirekebisheni japo its a good move ,hivi msaada pale IFM ni zile nyama niliona wanagawa siku ile ya EID MUBARK au ni msaada gani ilitolewa pale?? na pia misaada yenu itakuwa yakibaguzi sana wenye majina ya jane ,joseph itakuwa shida sana kupata mkopo toeni kwa jamii nzima bila kujali dini heshima itarudi kwenu na kwa mungu mnayemtumikia.asanteTaasisi ya Islamic foundation imepanga kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu hapa tz.
Bodi hiyo inatarajiwa kutoa udhamini kwa wanafunzi watakaoishindwa kupata mkopo katika bodi ya Mikopo.
Islamic foundation imesaidia hivi karibuni kutoa vitendea kazi katika taasisi za elimu ya juu za kiislam kama Chuo cha IFM na Chuo Cha mwalimu nyerere kwa ajili ya wanafunzi wa kiislam.
lkn imechimba visimia vingi sehemu mbali mbali. imesaidia ujenzi wa shule za kata
Pia imesaidia sana maendeleo ya Chuo kikuu cha Kiislam (MUM)
pia kwa muda mchache ujao inapanga kufungua TV imaan
SOURCE REDIO IMAAN
MY TAKE.
Kama BAKWATA wangalikuwa kweli wapo kwa ajili ya maendeleo ya waislam na bila kukumbatiwa na watawala. waislam wangalikuwa mbali kwa maendeleo
kama kweli waislam hawapendi kusoma kama baadhi ya watu wanavyodai, vile vyuo vikuu vya waislam zanzibar vingalikuwa vishakuwa gofu. lkn inasemekana kila mwaka nafasi zinakuwa chache kuliko waombaji
tatizo huduma zenu sio kwa jamii nzima mnalenga waislam pekee hapo ndio kosa lilipo je hao wakristo wakilenga wakristo wenzao wewe ungeandika hapa leo jirekebisheni japo its a good move ,hivi msaada pale IFM ni zile nyama niliona wanagawa siku ile ya EID MUBARK au ni msaada gani ilitolewa pale?? na pia misaada yenu itakuwa yakibaguzi sana wenye majina ya jane ,joseph itakuwa shida sana kupata mkopo toeni kwa jamii nzima bila kujali dini heshima itarudi kwenu na kwa mungu mnayemtumikia.asante
Taasisi ya Islamic foundation imepanga kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu hapa tz.

Asiyekujuwa hakuchagulii tusi.....ahsante kakaKigezo kuvaa kanzu