Islamic foundation kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu Tanzania bila ya riba

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Taasisi ya Islamic foundation imepanga kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu hapa tz.
Bodi hiyo inatarajiwa kutoa udhamini kwa wanafunzi watakaoishindwa kupata mkopo katika bodi ya Mikopo.
Islamic foundation imesaidia hivi karibuni kutoa vitendea kazi katika taasisi za elimu ya juu za kiislam kama Chuo cha IFM na Chuo Cha mwalimu nyerere kwa ajili ya wanafunzi wa kiislam.
lkn imechimba visimia vingi sehemu mbali mbali. imesaidia ujenzi wa shule za kata
Pia imesaidia sana maendeleo ya Chuo kikuu cha Kiislam (MUM)
pia kwa muda mchache ujao inapanga kufungua TV imaan

SOURCE REDIO IMAAN
MY TAKE.
Kama BAKWATA wangalikuwa kweli wapo kwa ajili ya maendeleo ya waislam na bila kukumbatiwa na watawala. waislam wangalikuwa mbali kwa maendeleo
kama kweli waislam hawapendi kusoma kama baadhi ya watu wanavyodai, vile vyuo vikuu vya waislam zanzibar vingalikuwa vishakuwa gofu. lkn inasemekana kila mwaka nafasi zinakuwa chache kuliko waombaji
 
tatizo huduma zenu sio kwa jamii nzima mnalenga waislam pekee hapo ndio kosa lilipo je hao wakristo wakilenga wakristo wenzao wewe ungeandika hapa leo jirekebisheni japo its a good move ,hivi msaada pale IFM ni zile nyama niliona wanagawa siku ile ya EID MUBARK au ni msaada gani ilitolewa pale?? na pia misaada yenu itakuwa yakibaguzi sana wenye majina ya jane ,joseph itakuwa shida sana kupata mkopo toeni kwa jamii nzima bila kujali dini heshima itarudi kwenu na kwa mungu mnayemtumikia.asante
 
Hatua nzuri sana hiyo kwani itasaidia sana kusukuma gurudumu la maendeleo ya elimu ktk nchi yetu.
 
Mbona TV Imaan ipo hewani tayari? Ingawa bado iko katika testing signal! Ni hatua nzuri kuelekeakwenye maendeleo! Ila masikitiko yangu ni kwamba kuna wadau wataharibu huu uzi! Watashindwa kuonesha busara zao na kudhihirisha udini wao!
 
tatizo huduma zenu sio kwa jamii nzima mnalenga waislam pekee hapo ndio kosa lilipo je hao wakristo wakilenga wakristo wenzao wewe ungeandika hapa leo jirekebisheni japo its a good move ,hivi msaada pale IFM ni zile nyama niliona wanagawa siku ile ya EID MUBARK au ni msaada gani ilitolewa pale?? na pia misaada yenu itakuwa yakibaguzi sana wenye majina ya jane ,joseph itakuwa shida sana kupata mkopo toeni kwa jamii nzima bila kujali dini heshima itarudi kwenu na kwa mungu mnayemtumikia.asante

Hivi kugawa nyama wanaona jambo la maana sana hawa wenzetu..huwa wanawaza nini??!!
 
Islamic foundation imesaidia hivi karibuni kutoa vitendea kazi katika taasisi za elimu ya juu za kiislam kama Chuo cha IFM na Chuo Cha mwalimu nyerere kwa ajili ya wanafunzi wa kiislam.
sounds like hivyo vyuo ni vya kiislam!!!hiyo sentensi haijawekwa vizuri
 
Yaani Muislam kusaidia Muislam nayo imekuwa habari. Kama Mtume Muhamad (pbuh) akiwasikia atageuka kwenye kaburi lake. Hivi uwezo wenu wa kufikiri/kusaidia unaishia hapo? Nawasi wasi kama ndivyo alivyowafundisha Mtume Muhamad (pbuh), kachunguzeni upya maandiko yenu
 
Taasisi ya Islamic foundation imepanga kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu hapa tz.
Bodi hiyo inatarajiwa kutoa udhamini kwa wanafunzi watakaoishindwa kupata mkopo katika bodi ya Mikopo.
Islamic foundation imesaidia hivi karibuni kutoa vitendea kazi katika taasisi za elimu ya juu za kiislam kama Chuo cha IFM na Chuo Cha mwalimu nyerere kwa ajili ya wanafunzi wa kiislam.
lkn imechimba visimia vingi sehemu mbali mbali. imesaidia ujenzi wa shule za kata
Pia imesaidia sana maendeleo ya Chuo kikuu cha Kiislam (MUM)
pia kwa muda mchache ujao inapanga kufungua TV imaan

SOURCE REDIO IMAAN
MY TAKE.
Kama BAKWATA wangalikuwa kweli wapo kwa ajili ya maendeleo ya waislam na bila kukumbatiwa na watawala. waislam wangalikuwa mbali kwa maendeleo
kama kweli waislam hawapendi kusoma kama baadhi ya watu wanavyodai, vile vyuo vikuu vya waislam zanzibar vingalikuwa vishakuwa gofu. lkn inasemekana kila mwaka nafasi zinakuwa chache kuliko waombaji

BAKWATA ilianzishwa na Nyerere kumaliza nguvu za Waislaam, na ndio moja ya sababu za kutaka kupewa utakatifu asio kuwa nao.
 
tatizo huduma zenu sio kwa jamii nzima mnalenga waislam pekee hapo ndio kosa lilipo je hao wakristo wakilenga wakristo wenzao wewe ungeandika hapa leo jirekebisheni japo its a good move ,hivi msaada pale IFM ni zile nyama niliona wanagawa siku ile ya EID MUBARK au ni msaada gani ilitolewa pale?? na pia misaada yenu itakuwa yakibaguzi sana wenye majina ya jane ,joseph itakuwa shida sana kupata mkopo toeni kwa jamii nzima bila kujali dini heshima itarudi kwenu na kwa mungu mnayemtumikia.asante

Wewe unapenda riba mkuu?....Uislam unakataza riba ndio maana wanalengwa waislam pekee!

Cc kahtaan
 
Last edited by a moderator:

Mpe elimu kidogo kijana, mkuu Izz kwani watu wanadhani uislamu ni kula pilau tu na kusali siku ya ijumaa!
 
Last edited by a moderator:
waanzishe bhana na sisi waislam tupewe mikopo tuendelee hawa bakwata wabaya sana bhana
 
Bado hivi swala la udini linapewa kipau mbele hivi? Nilitaraji kwamba ndio na asasi ya kidini lakini itatoa mkopo kwa wote wahitaji waliokosa mkopo sasa napata wasi kwamba wanahisi elimu ktk dini yao iko chini 7bu hawapewi mkopo? Je kuna ubaguzi kutoa mkopo kwa bodi ya mkopo iliyopo?
Katika dunia ya sasa napata hisia bado kwa wazo walotoa uwezo wa kyfikiri 3 dimentionaly uko chini na je tukisema asasi za kikristo zitoe huduma kwa wakristu si ninyi waislamu mtapotea? Au kuna hisia kwamba muslims are marginalised group? Sujajua
 
Inaonekana source ya taarifa hiyo ni radio Imaan. Kwani radio hii imeshatoka kifungoni?. Halafu ni siku nyingi sijamsikia huyu member mwenye maralia isiyotibika.
 
Kwa mtazamo wangu ni jambo zuri na linaotakiwa kuungwa mkono.Ingawa sijajua ni utaratibu upi utakaotumiwa kuwapata walengwa;maana kwa mtazamo wangu,jina tu au kujaza Religion-ISLAM kwenye form(kama ilivyo sasa),sidhani kama vinatosha kutambua kwamba kweli aliyepata ndiye hasa aliyekusudiwa.

MY TAKE.
Sijajua ni kwa kiasi gani utafiti umefanyika na kujiridhisha kuwa kweli huko walikoelekeza mikopo hii ndipo kwenye uhitaji zaidi ya maeneo mengine.Maana inawezekana kuna sehemu ndipo palitakiwa kupewa kipaumbele zaidi;mathalaan kuanzisha shule za sekondari na kuboresha zilizopo ili wahitimu wake waongenzeke kwa ubora na idadi.Sina hakina ni kwa namna gani mtoto atapata mkopo huo ikiwa hajafaulu vizuri huko sekondari kutokana na uchache wa shule na walimu,pamoja na uduni wa vifaa vya kujifunzia.

THINK TWICE..
 
Taasisi ya Islamic foundation imepanga kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu hapa tz.
Bodi hiyo inatarajiwa kutoa udhamini kwa wanafunzi watakaoishindwa kupata mkopo katika bodi ya Mikopo.
Islamic foundation imesaidia hivi karibuni kutoa vitendea kazi katika taasisi za elimu ya juu za kiislam kama Chuo cha IFM na Chuo Cha mwalimu nyerere kwa ajili ya wanafunzi wa kiislam.
lkn imechimba visimia vingi sehemu mbali mbali. imesaidia ujenzi wa shule za kata
Pia imesaidia sana maendeleo ya Chuo kikuu cha Kiislam (MUM)
pia kwa muda mchache ujao inapanga kufungua TV imaan

SOURCE REDIO IMAAN
MY TAKE.
Kama BAKWATA wangalikuwa kweli wapo kwa ajili ya maendeleo ya waislam na bila kukumbatiwa na watawala. waislam wangalikuwa mbali kwa maendeleo
kama kweli waislam hawapendi kusoma kama baadhi ya watu wanavyodai, vile vyuo vikuu vya waislam zanzibar vingalikuwa vishakuwa gofu. lkn inasemekana kila mwaka nafasi zinakuwa chache kuliko waombaji

Hili ni wazo zuri. Hii itasaidia kuwaendeleza pia.
Lakini wasiwasi wangu ni kwamba hii mbona tunaanza kujigawa? Anzisha ya wote
 
Back
Top Bottom