Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,019 Reaction score 12,445 Oct 9, 2022 #41 Abu Haarith said: mbona kama wanajamii wanataka kugeuza uzi kuwa mjadala wa kidini, wazee mkiona uzi haujawavutia mnaenda katika nyuzi zinazowavutia msipanic Click to expand... Nashangaa sana watu wa dizaini hii Hapo ingewekwa picha mwanamke kakaa uchi....sifa zingekuwa kedekede.....lakini hapo wanaona kama vile wameoneshwa shetani
Abu Haarith said: mbona kama wanajamii wanataka kugeuza uzi kuwa mjadala wa kidini, wazee mkiona uzi haujawavutia mnaenda katika nyuzi zinazowavutia msipanic Click to expand... Nashangaa sana watu wa dizaini hii Hapo ingewekwa picha mwanamke kakaa uchi....sifa zingekuwa kedekede.....lakini hapo wanaona kama vile wameoneshwa shetani
Abu Haarith JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 314 Reaction score 165 Oct 9, 2022 #42 The Infinity said: Nashangaa sana watu wa dizaini hii Hapo ingewekwa picha mwanamke kakaa uchi....sifa zingekuwa kedekede.....lakini hapo wanaona kama vile wameoneshwa shetani Click to expand... changamoto sana
The Infinity said: Nashangaa sana watu wa dizaini hii Hapo ingewekwa picha mwanamke kakaa uchi....sifa zingekuwa kedekede.....lakini hapo wanaona kama vile wameoneshwa shetani Click to expand... changamoto sana
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,123 Reaction score 48,815 Oct 9, 2022 #43 kichomiz said: Haki ya nani ,unashika paja gumu limekomaa, lina vipere vipere vingiii sababu ya kupigwa vumbi na baridi + moshi wa bodaboda Click to expand... 🤣🤣🤣
kichomiz said: Haki ya nani ,unashika paja gumu limekomaa, lina vipere vipere vingiii sababu ya kupigwa vumbi na baridi + moshi wa bodaboda Click to expand... 🤣🤣🤣
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,925 Reaction score 5,806 Oct 14, 2022 #49 Kwa tabia yangu ya wivu kama Nyegere, hill vazi sahihi kwa mke wangu,niwe namwona peke yangu. Every human being is selfish.
Kwa tabia yangu ya wivu kama Nyegere, hill vazi sahihi kwa mke wangu,niwe namwona peke yangu. Every human being is selfish.
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,561 Reaction score 53,572 Oct 15, 2022 #50 Huwa wanaogelea na hayo mavitu pia
B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,616 Reaction score 2,983 Oct 15, 2022 #51 Hiyo inayoonekanakm kadhia ndo kipimo Cha uvumilivu wa imani
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 10,034 Reaction score 21,150 Oct 18, 2022 #52 Kama Majini. Ufaransa walipiga marufuku upuuzi Huu. Yani ni upumbafuuu ulio tukuka.