naona wewe unaingilia shamba la mbigiri bila viatu..
hivi ni wapi hii thread inaongela ukristo?
MODS hii thread ni ya kwenye jukwaa la dini. Kuiacha hapa ni kuhatarisha umoja wana wa JF kwani wengine hawatakaa kimya kuona upuuzi kama huu wa kudhalilisha dini yao unakuwa katika sehemu isiyostahili
kwani ni wapi hii thread imeonglea shamba au mbigiri.
Nilichosema mijadala kwenye mijadala ya dini ndio tunaona watu tulivyomezeshwa sumu. Iwe uislam au dini yeyote sio utamaduni wetu.
Cut the crap.Nioneshe ilipo sumu kwenye hii thread.
Here we go:cutting the crap
Dont argue with the fool people will not notice the difference"
Jamani msiogope hamna tusi humu, hizi imani tuliletewa na wageni na wazee wetu walizipokea bila kuuliza uliza japo naamini zingine walilazimishwa tu kuzikubali.
Wazee mwageni 'facts' Imani feki itaonekana tu kwa mambo yake ya uongo uongo, kubunibuni tu na kukopy vifungu kutoka kwenye imani nyingine!
Ni haki ya kila mtu kujua ukweli jama msitishe watu.
Mkuu tupo pamoja.
Mimi sioni tatizo la mtu kuu-face ukweli na kuudhihirisha uongo. Kama yanayosemwa hapa ni uongo kwanini yatiliwe vikwazo na kutakiwa yaondolewe? Kuuficha ukweli ni aina nyingine ya ufisadi.
Kuna aliye omba hii thread ifutwe!?Hizo ni lawama nzito ambazo kwanza naamini si za kweli. yaani una maanisha mods wana bias ya dini? thread ngapi zimeandishwa hapa zenye mada tofauti kuhusu dini tofauti hamkuomba zifutwe? Mods Pls answer these allegations
See they not that it is We Who have created for them - among the things which Our hands have fashioned - cattle, which are under their dominion?-Allah has made the body‑waste of cattle as medicines for humans. In verses 36:71‑73 Allah says that he has created domestic cattle to be under the ownership of their owners, some to be used for transport and some to be eaten. To elaborate these verses ibn Kathir writes that cattle urine can be drunk as a medicine (also read part-3, Islamic Animals and Insects Voodoo).