ISIS wazidi songa mbele

ISIS wazidi songa mbele

Wakaya

Senior Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
198
Reaction score
67
Wakati Marekani wanajiandaa kuwashambulia ISIS wao wanaendelea kusonga mbele katika vijiji vya Syria karibu na mipaka na Uturuki,cha kushangaza taarifa inasema wanasonga mbele kwa vifaru na magari ya kivita.Chanzo VOA. Hivi hawa ISIS vifaru na magari ya kivita uwezo huu wanautoa wapi,na nani yupo nyuma yao?
 
hao naona nobody can stop them kwa sasa, labda wakatao taka washambulia wajipange kweli waje na strategy nzuri ya kivita kuwapiga
 
Ukweli ni kwamba mashambulizi ya marekani yalishaanza kitambo sema ni mashambulizi kanyaboya.
 
hao naona nobody can stop them kwa sasa, labda wakatao taka washambulia wajipange kweli waje na strategy nzuri ya kivita kuwapiga

huko syria kuna mapango ya torabora!!!!! au kuna milima inafanana na ya kunduz!!!!! chezea bunker bluster weye,

mwanzo wa mwisho wao ndio huo, kujidai kuwaua wamarekani na waingereza kudai ni ibada kwa "mungu" wao, mbona majanga!!!

wapi shehe usama opps!!!! osama, mullar omar mohamed yuko wapi.

KWA TAARIFA YENU DUNIA IMECHOSHWA NA VURUGU ZITOKANANZO NA UISLAM, KWA KUWA KIBURI KINATOKANA NA "PETRODOLLER" MIZUNGU INACHIMBA MAFUTA AFRIKA. WAARABU WATAKULA JEURI YAO SIKU HIYO INAKUJA.
 
Source ya habari yako tuwekee nasi tuone ukweli wako isije kuwa unawapigia CHEPUO.
Wakati Marekani wanajiandaa kuwashambulia ISIS wao wanaendelea kusonga mbele katika vijiji vya Syria karibu na mipaka na Uturuki,cha kushangaza taarifa inasema wanasonga mbele kwa vifaru na magari ya kivita.Chanzo VOA. Hivi hawa ISIS vifaru na magari ya kivita uwezo huu wanautoa wapi,na nani yupo nyuma yao?
 
huko syria kuna mapango ya torabora!!!!! au kuna milima inafanana na ya kunduz!!!!! chezea bunker bluster weye,

mwanzo wa mwisho wao ndio huo, kujidai kuwaua wamarekani na waingereza kudai ni ibada kwa "mungu" wao, mbona majanga!!!

wapi shehe usama opps!!!! osama, mullar omar mohamed yuko wapi.

KWA TAARIFA YENU DUNIA IMECHOSHWA NA VURUGU ZITOKANANZO NA UISLAM, KWA KUWA KIBURI KINATOKANA NA "PETRODOLLER" MIZUNGU INACHIMBA MAFUTA AFRIKA. WAARABU WATAKULA JEURI YAO SIKU HIYO INAKUJA.

duh, kuna watu hawana huruma....any way ongeza na mzee mandevu....naye aliuwawa kama mende hakupiga risasi hata moja na alikuwa na ak 47
 
Back
Top Bottom