TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
There is nothing good in those people. Even their deity is diabolicalLicha ya kubadili dini kuwa muslim haikutosha kumwacha aishi?
There is nothing good in those people. Even their deity is diabolicalLicha ya kubadili dini kuwa muslim haikutosha kumwacha aishi?
There is nothing good in those people. Even their deity is diabolical
What kind of deity support these despicable atrocities? A deity who supports that must be a fiendish devil.Rafiki wa muislam ni muislam ,jamaa alibugi kujua labda kubadlsha dini kutamsaidia lakn wao walimuona hana imani kama wao kama wanawafyeka washia ije iwe yeye.
Kitu ambacho kitawaangamiza wazungu baada ya miaka michache ijayo ni political correctness,wanajua ukweli ni upi lakn wanashndwa kuchukua hatua kuwalzisha watu wachache,na hv vikund vyote vya kigaidi kuanzia boko haram adi al-queda kwa bahati nzuri sio wanafiki hawafichi ajenda zao wanazisema live bila kuficha ficha,sasa nashangaa mtu mwngne anaanza kuwatetea,kwa mfano IS ajenda yao ni kusimamisha dola ya kiislam ilikuwa na ulazma gan kuanza kuchnja watu na kuwalazmisha watu wengne wasiokuwa waislam kuslim,na kwa bahati mbaya wanachnja adi waislam wenzao ambao wanaona imani yao inatofautiana nao,mimi nafikiri kuna haja ya waislam kukakaa pamoja na kupinga makundi kama IS na Boko Haram kutumia vibaya uislam na kutokuendelea kuwa laumu wamarekan ndio chanzo cha hv vkundi, hata kama walianzisha imekuaje hv vkund visiwe vya dini nyngne kama wahndu,sighs,budha na dini zngne
Mkuu Eiyer Uko sahihi kabisa ktk maelezo yako na km nilivyosema hapo mwanzo Kua ni mambo mengi sn ktk kujadili haya na sijui uanzie wapi...!
Yaah ni kweli Mkuu Hiyo haikua sababu, ingawa kuna wengine wanasema Kua sababu ilikua ni kuvuruga Ukristo na wayahudi na kuupa uislamu nguvu...! Na sasa wanataka kuwanyang'anya waislamu nguvu zao na mji wa Jerusalem...!
Mkuu Eiyer ulishawahi kufatilia maswala km ya Waco Massacre na Murrah Building ktk mji wa Oklahoma?
Mkuu serikali ya Marekani ndio adui wa wamarekani wenyewe na dunia nzima na ndio adui wa Amani duniani..!
Mkuu ulishawahi kufatilia na unafatilia Matukio ya Rais Abraham Lincon, kifo cha JFK, Waco Massacre, Murrah Building in Oklahoma city, WTC in New York na ISIS ? Ukifatilia utakuta kuna agenda ya siri kubwa na serikali ya Marekani ndio adui wa wamarekani wenyewe na dunia kwa ujumla. Kwasababu wote Hao waliotuhumiwa ktk Matukio hayo ni mapandikizi kwa ajili ya kuwatupia lawama lkn muhusuka mkubwa wa Matendo hayo ni serikali ya Marekani yenyewe na wako na malengo kadhaa ktk kutekeleza haya, lengo Lao kubwa la kwanza ni kuiharibu katiba ya taifa la Marekani...!
Naam, na ndicho alichokipata au sio?
Nini alichokifata Syria zaidi ya hicho?
Mtoto wa Gaidi ni gaidi, haijalishi jinsia
wahndu,sighs.budhaa na din nyengnezo hakuna ki2 apo.ISLAM CAN CHANGE THE WORLD.
nani amekuambia ni wehu wakati ni maagizo ya allah wao?da! it pain much, et mtu anamchinja mwenzake kama kuku alafu anasema atapata dhawabu kwa Allah, kama sio wehu ni nn,,
Sidhan kama kuna huyu Mungu, anaeamrisha watu kuua wenzao. Ee mwenyezi Mungu tuepushe na haya ya nchi za kiarabu
Mimi nimesema kauliwa na nani?
si Allah ndiyo kawaagiza wamchinje huyo mmarekani? au wewe unasemaje?
Your post, we call it propaganda!Wamerekani ndiyo hasa wanaowapa chakula na silaha..hao ISIS/IS...jisomee hapa chini. Kutokana na kugundulika hili US ndiyo maana anata kupeleka ground troops Iraq ili kuficha ukweli huu....
The Iraqi forces have found out that the US aircraft usually airdrop arms and food cargoes for ISIL militants who collect them on the ground, Asia news agency quoted Iraqi armys intelligence officers as saying.
The Iraqi intelligence sources reiterated that the US military planes have airdropped several aid cargoes for ISIL terrorists to help them resist the siege laid by the Iraqi army, security and popular forces, added the report.
On Saturday, Iraqi security sources disclosed that the ISIL terrorist group is using the state-of-the-art weapons which are only manufactured by the US and each of their bullets are worth thousands of dollars.
US Planes Supplying ISIL with Weapons, Foodstuff. Iraq Intel Report | Global Research