Naungana na wewe. Utafiti unahitajika na hypothesis ziko nyingi mno. Lakini pia inawezekana waislam wana mtazamo tofauti kwamba America in fight uislam wakati kumbe inawezekana America inafight mila za kiarabu na si uislam. Sasa hapa wanachanganya mahesabu.
Mkuu,ni vigumu sana kutofautisha Uislam na Uarabu
Mavazi ya kike ya Kiislam ni ya Kiarabu
Mavazi ya kiume ya Kiislam ni ya Kiarabu
Kusali wanasali kwa kutumia lugha ya Kiarabu
Ukiwa un asali ni lazima uelekee huko huko Uarabuni
Hayo yote na manegine yakiwemo majina ni utamaduni wa Kiarabu na ni Uislam,hivyo unaweza kuona vile ilivyokuwa vigumu kuvitofautisha hivyo viwili mkuu,kwa maana hiyo kama Marekani itakuwa inapambana na mila za Waarabu [kitu ambacho binafsi sikubaliani nacho] moja kwa moja watakuwa wanapambana na Uislam
Mfano rahisi ni kwamba,Ukiwakataza mabinti mashuleni wasivae mavazi ya hijab kwasababu ni ya Kiarabu moja kwa moja utakuwa unakataza mavazi ya dini ya Kiislam,hapo naona utakuwa umeanza kuuona ugumu wa kutofautisha hayo mawili
Lakini pia inawezekana America imejenga hiyo midudud ili kuwaonyesha kwamba uislam kama uislam si tatizo kwa America ila ukatili wa kijinga kwa dunia ndilo tatizo.
Mkuu hawajajenga lolote kuhusu dini ya Kikristo ambayo inasadikiwa ndio imani ya Taifa hilo inakuwaje waje wajenge madude ya imani nyingine ambayo kuna wakati waliwai kusema [kinafiki] kuwa dini hiyo ni tatizo kwa dunia ya amani?
Hivi hawajui kweli hilo?
Na pia inawezekana yamewekwa hapo kama shield kwa magaidi kwamba wakitaka ku attack, waone kama wanaatack sehemu takatifu kwa miungu yao.
Mkuu kwanza siamini kabisa kama kuna ugaidi duniani
Siamini kabisa kama kuna vikundi vya kigaidi duniani
Hivi vyote vimewekwa kwasababu maalum na siku lengo lao likifikiwa utaona vyote vinaisha na hawajashindwa kuvizuia hata kama vingekuwepo,kwasababu hiyo sioni haja ya kuwabembeleza kwa kujenga midude ya imani yao ili kuwahadaa wasilipue au kushambulia
Pengine ni mwanzo wa kutengenezwa uislam wa kistaarabu ukizingatia quaarani haina tafsiri sahihi kila mtu anaitafsiri anavyoona yeye.
Mkuu hakuna Uislam unaousema wewe,Uislam upo kwenye Quran na kama kuna ambae anakwenda kinyume na huo basi huyo ni fake na adhambu yake ni kifo,unapoona Muislam yoyote ni rafiki yako halafu akaanza kuifuatilia dini yake jua urafiki wenu uko mashakani,nasema hili kiuzoefu
Maana ya Quran ipo wazi sema tu tatizo ni kuwa hawajawa na nguvu wanayoitaka na siku wakiipata ndio utajua hasa Quran inamaanisha nini,kwa sasa wanaruhusiwa hata kudanganya ili tu uvutiwe nao halafu uwape mamlaka kisha waje wakukate kichwa .....
Ni kweli lakini kama nilivyosema ni bora tuwe wachunguzi zaidi tutapata maarifa,kwa kuanza hebu tembelea hizi anuani hapa chini ili uweze kupata angalau mwanga
www.alisina.org
www.fairhfreedom.org