Huyo kachinjwa na CIA jamani sio waislamu. Waislamu hawezi kufanya kitu kama hicho. ISIS, BOKO HARAM, ALQAEDA n.k WOTE HAO NI MAKAFIRI. CIA Wanaojaribu kuuchafua Uislamu.
Hakuna cha aid worker hapo.. huyo ni jasusi wa US... wawachinje kadiri watakavyowakamata
You must be kidding brother. Kwa nini huwa mnapenda kuwanawilia America kwa kila jambo baya mkilifanya? Kwa nini America haiwachinji waislam wakiwa Marekani?
Kwa nini hizi vurugu ziwe ni kwenye waislam tu? Tena wenye chuki na Ukristo, Umarekani, Uzungu na Uyahudi?
Huoni kama unafanya dhambi kusema uwongo huku ukifahamu? Au kwa uislam na uwongo si dhambi?
Inafika mahala mnaukubali ukweli hata kama unauma ama unakuwa aibu kwenu. Huwezi kubadili Ukweli kwa kuwasingizia watu wengine kwa masuala mnayoyafanya wenyewe kwa imani mliyojiwekea wenyewe.
America Iwachinje Wamarekani kwa ajili ya nini?
Hao jamaa nı hatarı pamoja na jamaa kusılm wameamua kula kıchwa,ınawezeka umarekan wake nao umesababısha
Lakini hawa mumiani wanasema wao wanachinja watu wasio waislam ili waubadili ulimwengu wote uwe wa kiislam. Sasa huyu, muislam mwenzao, tena anafanya huduma za kijamii, kuboresha maisha ya waislam wenzake katika maeneo ya vita, wanamchinja kwa ajili y anini?
Kuna tatizo kubwa kuliko linaloonekana hadharani hapa.
Ninachohisi mie ni kuwa hao watu wa ISIS itakuwa waligundua njama za jamaa kuwa inawezekana sio mwenzao na kuwa alibadilisha tu dini kwa malengo maalumu....
Jeshini yenyewe hawa SNIPERS ni watu wanaotunza na kulindwa sana kwa kuwa wapo wachache sana na gharama ya mafunzo yao ni kubwa sana.... Kwa hiyo hainiingii akilini tu kuwa huyo jamaa aliyeenda SYRIA kwa gia ya kufanya kazi za kijamii hakuwa na malengo mengine zaidi ya hayo inayosemekana ndio yaliyompeleka... Kumbuka jamaa sio kuwa alikuwa tu ni SNIPER ila alikuwa ni kama mwalimu wao so kwa hali ya kawaida serikali ya USA hauwezi ukasema ingemwacha tu
Inawezekana pia. Walimteka nyara mwaka jana na ubaya wa wale watu unauawa bila hata coaurt ya kujitetea.
Isingekuwa hakuna watu wema kule, ningeshauri America wawaache wamalizane ila walinde mipaka ku avoid spread ya huo ushetani.

Huyo marekani mshenzi yeye si ndio aliyewaleta hawa kwahiyo saafi sana
Mkuu,kuna kitu nakiona duniani humu na naona kama tunajiingiza kwenye mambo tusiyoyajua
Ninachokiona hapa ni kwamba Marekani na hawa wanga'au hawana tofauti
Naona kuna mpango wa kuifanya hii dini kuwa dini ya dunia,we subiri tu ....
Tunadanganywa mkuu na siku tukija kuamka tutakuwa tumeshachelewa
Baada ya WTC kushambuliwa siku moja baadae rais wa Marekani wakati huo George W Bush alitoa hotuba akisema kuwa "Islam is peace" akaongeza kuwa walichokifanya hawa magaidi sicho ambacho Uislam unafundisha bali Uislam ni amani,unaweza kujiuliza hivi kati ya Al-Qaida na Bush ni nani anaeujua Uislam?
Obama nae amesema kuwa ISIS sio Waislam kwani Uislma haufundushi kile ambacho wanakifanya,hii maana yake nini?
Pale gound zero ya WTC kumejengwa msikiti,halafu kwenye eneo la kumbukumbu ya tukio hilo kuna eneo limejengwa kama Makah kule ambako wanaenda kuhiji,hii maana yake nini?
Tazama hapa chini uone hii picha ........
![]()
Hilo ni moja tu,kuna mengi sana,hivi ni kweli serikali ya Marekani na wakuu wa Marekani sio Waislma na wanapiga vita Uislam kweli?
Kama wanapiga vita Uislam na sio Waislam,ni kwanini wajenge hayo kwenye maeneo nyeti kama haya?
Mkuu tusaidiane kujiuliza
cc: Mkuu wa chuo , Ntuzu Telefunken charminglady .......!!

Hizi structure mimi sikuzijua na hata kama ningeziona bado nisingeweza kuzihusisha na uislam kwa kuwa hakuna ninalolijua zaidi ya mavazi, uchawi, matusi, ubishi na ukatili wao.
Lakini pia, Bush na Al kaida, kama ni uislam basi al Quaida wanaujua kuliko bush. Obama anaweza kuwa anaujua uislam kwa namna anayoisema ama inayotekelezwa.
Lakini inawezekana hawa viongozi wa America, wanaongea hivi ili kujipunguzia maadui kwa maana wanalazimika ku appreciate uislam wa kawaida ambao ndio unawaislam wengi, ili kutokujenga chuki kati ya waislam wote na binadamu wasio waislam.
Hata kama wanafahamu kwamba uislam ndio unaoasisi ugaidi na ushetani wote, inabidi wa praise kundi moja kama namna ya kuleta mgawanyiko miongoni mwa wafuasi wa dini hii ambao, kwao kuwa brainwashed na kufanya mambo sawa na shetani, siyo jambo la ajabu.
Kuhusu hizi structure, ni unafiki ule ule? au wanataka kujenga sehemu nyingine ya waislam kuwa wanahiji nje ya uarabuni ili kupunguza arabic influences kwenye dini hii? Uarabu na u bedui, ukatili na unyama wote ni maji na samaki.
Unapendekeza nini kifanyike ili tufahamu ukweli halisi?
Mkuu Eiyer mi niko tofauti kidogo na wewe ktk Hilo. Hiyo hotuba unayoisema wewe aliitoa baada ya kutoa kauli Kali na kusema ni vita ya kidini.... Baada ya ulimwengu wa kiisamu kuanza kuhoji Hiyo kauli ya dini ndipo akaja na Hiyo kauli ya Matendo ya magaidi Kua hayako sawa na uislamu....!
Nikomee hapo kwanza Mkuu.