Isingekuwa kufuata silaha..............

Isingekuwa kufuata silaha..............

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
Jamaa fulani alikuwa kwenye mipango ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi. Wakati wapo kwenye matayarisho ya mwisho mwisho shemeji (dada mdogo wa wife mtarajiwa) yake akawa anamchokoza sana kwa mapozi ya ajabu ajabu. Kama wiki moja kabla ya wedding yule shemeji alimtembelea bwana arusi mtarajiwa. Kwa bahati nzuri alimkuta akiwa veranda na bibie akamchokoza kuwa amekuja kumpatia pa**chi. Jamaa akamwambia subiri kidogo nakuja tuondoke twende guest. Ile jamaa anatoka alikuta wakwe zake wakimsubiri wakionyesha wana furaha. Baba mkwe akampongeza kwa kuvuka lile jaribio walilomtegea. Wao hawakujua kuwa jamaa alirudi ndani kwenda kuchukua kondom!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom