isingekuepo perfume sijui ingekuaje?

Kama huna harufu mbaya wala huitaji perfume. Mie huwa nikisafiri bibie huwa anavaa walau T-shirt yangu apate walau kaharufu kangu. So, harufu yako inaweza ikawa perfume yake. One a serious note perfume ni muhimu especially mnapotoka nje na kukutana na watu wengine. Na of course kwa wenye vikwapa. Mie kinachoni boa zaidi ni mdomo kunuka hii ni hatari ...........hahah
 
Maalim unaambiwa ukipenda boga ufanye nini vilee,basi wajifanya cha kunukia kama uturi wa kidubai shuti wakilamba,ukitoka hapo bafuni kujitapisha hahahahahahaha!!!
hahah kama vipi wameza kabisa hahah maana kama umelamba tu wajitapisha nini ......hahah
 
Maalim unaambiwa ukipenda boga ufanye nini vilee,basi wajifanya cha kunukia kama uturi wa kidubai shuti wakilamba,ukitoka hapo bafuni kujitapisha hahahahahahaha!!!

Haya maproverbs hua yanaumiza mawazo yangu!

Upende boga na uwa lake?
Mhhhhhhhh!
 
Back
Top Bottom