Isidori Shirima

Kofia mbili(ukuu wa mkoa na ukatibu wa ccm mkoa) zilipotenganishwa mwaka 1982 aliletwa Morogoro kama Katibu na Mzindakaya akawa Mkuu wa mkoa.Aliyekuwa na hizo kofia(au vilemba)Mama Anna Abdallah Msekwa akapelekwa Dodoma na kilemba kimoja,Mkuu wa mkoa.
 
Wakati mwingine wazee kama hawa inabidi wastaafu wakati wakingali wanaheshimika. Kuendelea sana kung'ang'ania kwenye nafasi za uongozi matokeo yake yale mazuri yote ambayo waliwahi kufanya katika utendaji wao yanakuwa hayaonekani tena!
 
Back
Top Bottom