Isidori Shirima

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
679
Wadau,

Natafuta profile ye Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg. Isidore Shirima. Mwenye nayo naiomba.

Shadow
 
Vipi Mkuu , kachemsha nini? By the way , hiyo Arusha ilivyochafu huyo Isdore hawezi kuinfluence chochote positively?

Ukifika Moshi , ukalinganisha na Ar. ni kifo na usingizi katika hilo la usafi wa mji. Lol
 
Nashida sana na 'profile' ya huyu jamaa.
 
Kila lakheri ktk kutafuta hiyo profile, namkumbuka Shirima enzi zake akiwa umoja wa vijana(CCM) jinsi bendi yao na kina Marehemu Maneti ilivyokuwa ikitamba. Zamani alikuwa makini kweli na akatokea kuwa professional RC!
 
Thanks Edo,

if you can give me ata kama ni sketched profile I will be much honored.
 
Shadow, ukimpata Shirima please inform him that there's a pile of rubbish lying on the corner of the old ice cream parlour anong sokoine road. Uuwii ni aibu!
 
Isidori Shirima, Professional RC?????Duuu !!! mmmmhh Hapo nimechoka!!!
 
kwa kukusaidia nenda Lumumba pale opposite na ccm, kuna madereva wa taxi they will tell you more about him.

You are trying to find and chase figment in mkapa's mind. The shirima-boy has no profile as he is good for nothing!!!!!! have your lunch and relax.
 
Nadhani huyu ni miongoni mwa ma-RC wakongwe kabisa yeye na Anatory Tarimo RC Mtwara sijui kama wanajua kazi nyingine yoyote duniani.....
 
Nadhani huyu ni miongoni mwa ma-RC wakongwe kabisa yeye na Anatory Tarimo RC Mtwara sijui kama wanajua kazi nyingine yoyote duniani.....

Bila kumsahau Meja jenerali said kalembo aliye tanga kunani.
 
Shirima anajiita yeye ni mjamaa damu damu. Alimaliza kidato cha 6 Ilboru mwaka 1970. Halafu akaenda UDSM. Baada ya hapo 1974 akaajiriwa na TANU makao makuu Lumumba. Then akaenda Kivukoni Chuo cha CCM. Then baada ya CCM kuzaliwa 1977 alifanywa kuwa Katibu Mtendaji wa Mkoa. Then Head office CCM. Halafu akafanywa Mkuu wa Mkoa tangu enzi za Mwinyi hadi leo. ALizoea sana kuwa MNEC mpaka mwaka juzi alipoangushwa. Nahisi it frustrated him. Anapenda kufuga kile kionja mchuzi ambacho kinamfanya aonekane mchafu. Ndiyo mnamtegemea ausafishe mji wa Arusha wakati appearance yake is not impressive.
 
Thank you so much Mkuu
 
Wadau,

Natafuta profile ye Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg. Isidore Shirima. Mwenye nayo naiomba.

Shadow
Huyu mjamaa siyo ndiye aliyeibadilisha hali ya Dodoma na Mtwara?????
 
Anapenda said:
kufuga kile kionja mchuzi ambacho kinamfanya aonekane mchafu.Ndiyo mnamtegemea ausafishe mji wa Arusha wakati appearance yake is not impressive.

Ni kweli babu. Do not expect a tail from a frog.
 
Alikuwa malimu wa secondari miaka ya sabini na kuanzia hapo unaweza kuunganisha.
 
Does he make a good Regional Commissioner? I still remember Mzindakaya who turned Morogoro and Kigoma from sleeping to become food producers, Marehemu Mzee Gama ambaye legacy yake iko wazi tu, na Col Kaisi, ambaye kwasasa amepumzika.Kuna wakuu wa mikoa wengine bwana, wamekazana kupanda miti pembezoni mwa barabara ili wanywa kahawa wapate sehemu za kukaa baraza na kupiga hadithi, badala ya kuhimiza maendeleo.
 
Nadhani huyu ni miongoni mwa ma-RC wakongwe kabisa yeye na Anatory Tarimo RC Mtwara sijui kama wanajua kazi nyingine yoyote duniani.....

Mkuu Laligeni Coln.Tarimo ni tofauti kabisa na Isdori Shirima japo wote ni warombo,Lakini Kanali Tarimo yuko fit zaidi sana .Yeye alikuwa kamisaa wa Jeshi,Mwalimu wa Siasa Tabora School,Katibu Mwenezi wa CCM bila kusahau u mjeshi wake.Pia yeye ni mtendaji zaidi kuliko siasa za maneno.Aliubadili Mkoa wa Lindi,Singida na Manyara kuwa wa wachapa kazi na wala si maneno ya kwenye kahawa na bao.
 
Nakunbuka alinifundisha Same secondary school miaka ya 70, sikumumbuki sasa kuwa alikaa miaka miaka mingapi pale. Lakini katika profile yake ijulikane kuwa alikuwa ni mwalimu wa sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…