blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,542
- 17,002
Ametulia mno jamaa kwa sasa...Kwa upole aliokua nao ghafla itakua kweli alichapiwa
Nafikiri sasa kuna kitu kinamtafunaa...ndani kwa ndani....
Ametulia mno jamaa kwa sasa...Kwa upole aliokua nao ghafla itakua kweli alichapiwa
Ametulia mno jamaa kwa sasa...
Nafikiri sasa kuna kitu kinamtafunaa...ndani kwa ndani....
Duh.. !Hatari hiyo kitu ,mpaka kuja kusahau inabidi muda upite sana....ila na yeye kama inamrudia maana kipindi kile ze comedy ipo juu alikuwa anakula mademu wa watu sana maeneo ya mjimwema/kibada.