iSheep

Reuben Challe

JF-Expert Member
Dec 10, 2021
2,761
5,039
20240327_131427.jpg
Kama wewe ni mfuatiliaji wa Tech basi hili neno umeshakutana nalo mara nyingi sana "iSheep"
Huwa sipendi kulitumia kwa sababu naona kama ni offensive word ila kwa teknolojia ilipofikisha wateja wake acha tu hili neno litumike
gsmarena_002.jpg

Nadhani wote mnaijua kampuni kubwa ya Kimarekani ya Apple ambayo inatengeneza product zenye ubora wa hali ya juu sana. Kampuni hii katika kila league ambayo anaingia lazima awe on the top, kuanzia kwenye simu, laptop, tablet, wireless ear buds, VR headsets na maeneo mengine mengi. Si ajabu hata leo hii Apple angesema atengeneze magari ya umeme, still angekuwa among the top brands tena kundi moja na Tesla au BYD.
Products zao ni very high quality na kwa mtu anayejua nini anataka, Apple products are user friendly
gsmarena_001.jpg

Shida inakuja kwa wateja wake, hata kama Apple ana high quality products ila si kila anayenunua Apple products basi ameshawishika na quality. Wengi wao wanafanya show off tu na wengine hata Apple atengeneze mavi then aweke logo ya Apple utawasikia wanasema "Wow.... this is so innovative". Hawa ndio wanakesha mitandaoni kutukana simu zote za Android na kutoa kila kauli chafu kwa simu ambazo si iPhone. Ukimuuliza nini unachokipenda kwenye iPhone atakuambia security, ukimwambia aelezee hiyo security inavyomsaidia anabaki anang'aa macho. Hawa ndio wanaamini kutumia Android ni umasikini, wapenzi wa macho matatu. Unakuta mtu matumizi yake ni kupiga picha, kutuma message, kuchat WhatsApp, kupiga na kupokea then anasema iPhone iko smooth kuliko Android kwa sababu anaitumia kila siku na haijawahi kumletea shida. Kwa haya matumizi hata Redmi Note 10 inaweza fanya bila shida yoyote. Watu kama hawa ndio tunawaita iSheep
20240327_133229.jpg

iSheep wanapenda kuponda simu za Android bila fact za msingi na ni wagumu kutetea hoja zao, zaidi wanaleta matusi na kejeli tu.

Hawa ndio vinara wa ku support mambo ya kijinga ambayo Apple anafanya. Kwa mfano tabia ya kutengeneza simu ambazo design zinafanana fanana tu miaka mitano mfululizo. iSheep utawasikia wakisema hamna haja ya kubadili mwonekano sana, huu mwonekano ndio unaipa simu recognition kuwa ni simu ya Apple. Wanasahau mwonekano mmoja kila mwaka unafanya simu i-feel outdated.
20240327_133957.jpg

Kwa iSheep kila teknolojia mpya kwao sio innovation mpaka siku ambayo Apple atakuja kuitumia, then utasikia sifa tele kwa Apple
Ni kama tu iSheep walivyokuwa wanasema wireless charging sio kitu cha muhimu kwa sababu wanaweza kuchaji simu zao kwa waya na zinajaa vizuri tu, mpaka ilipofika 2017 ndio Apple wanaleta wireless charging na kila mtu akaanza kumwaga sifa tele kuwa Apple ni innovative. Wireless charging, Samsung alikuwa nayo tangu 2012 huko.
Sasahivi kuna teknolojia ya Fast Charging (hapa namaanisha zile za chini ya saa 1 simu imejaa chaji) iSheep watakuambia Fast charging inaharibu betri, kwa sababu tu Apple hawana hiyo technology. Siku itakapokuja iPhone yenye fast charging ya hata dakika 45, kila kona ya forum za tech utakuta watu wanavyomwaga sifa kwa teknolojia mpya ya Fast charging ya Apple.

iSheep wanaamini kuwa simu za Android ndio zinakumbwa na matatizo mengi ya hardware kwa sababu ni simu za kimasikini. Haya, safari hii tumeona iPhone 15 Pro Max ziki overheat na kupata shida mbalimbali kama screen failures. Sasa sijui ni iPhone zipi hizo ambazo hazipati matatizo
20240327_135133.jpg

Au wanasema Android zina bugs nyingi kwenye software. Kiuhalisia kila simu ina bugs, hata hizo iPhone zinakumbwa na bugs mara nyingi tu. Kama jinsi simu za Android zinavyopata App crash zitakuambia "Unfortunately the app has stopped", na kwenye iPhone inatokea ila haitakuonesha hayo maneno ila ukifungua app hapohapo inajifunga. Haya, screenshot nyingine hii hapa, hii ni notification bug kwenye iOS. Na hakuna watu wanaojua kupuuzia bugs kama watumiaji wa iOS. Wao wakiona bugs wana assume macho yao ndio yamekosea ila iPhones are always right. Lol
20240327_135959.jpg

Kila kitu ambacho Apple anafanya iSheep hu support tu na hudhani bidhaa za Apple ndio bidhaa bora kuliko zote duniani.
Mfano kwenye simu iSheep hukimbilia kusema iPhone ndio zinaongoza kwa mauzo dunia nzima. Wanasahau kwamba Sisi Android users tuna choice nyingi nyingi Kwa hiyo tunajigawa, wengine wataenda kwa Samsung, wengine Xiaomi, Oppo, Vivo, Google Pixel, etc
20240327_141750.jpg

Kitu kingine ambacho kinanikera ni kwamba Apple anaendelea kulimit basic specifications za simu bila sababu yoyote ya msingi mfano iPhone 15 bado ina Refresh rate ya 60Hz, wakati midrange kibao za Android zina 120Hz refresh rate. Cha ajabu iSheeps nao wanaona hii ni sawa tu kwa simu expensive kuwa na 60Hz refresh rate, sawa na low end phones
20240327_141414.jpg

Products za Apple ni high quality ila zina limitations za ajabu na wanachelewa sana kuleta features kwenye products zao
20240327_141605.jpg

Kampuni ya Apple ndio imesababisha leo hata Samsung na Xiaomi wameondoa 3.5mm jack na SD card slot kwenye flagship zao.
Ila hakuna iSheep ambao wanakera kubishana nao kama wanaosema "Hata mimi nilikuwa napenda Android kama wewe ila sasahivi nimehamia iPhone aisee yani sitamani kurudi Android tena". Hawa wengi wao wametoka kutumia Android za laki 2, wakajichanga wakanunua iPhone 13 Pro Max then wanaanza ku compare. Unakuta anatupia lawama nyingi kwa Android kumbe ni matatizo ya Pop 2 yake aliyokuwa anaitumia kabla ya kununua iPhone 13.

Leo nimeamua kuongelea iSheep kutokana na tabia yao ya kudhani kuwa iPhone ndio simu bora zaidi duniani na hivyo kuponda kampuni za Android kwa dharau na kejeli

If I'm being honest tukiachana na brand recognition sikuhizi hata Chinese phones ni more innovative kuliko Apple.

Oppo Find X7 Ultra, Samsung Galaxy S24 Ultra na Xiaomi 14 Ultra ni product bora kuliko iPhone 15 Pro Max. Najua iSheep hawatoelewa kwa sababu wao wakisikia tu simu ni ya Android basi wanapuuza features zote za humo ndani. Hawataki kabisa kusikia.

Kingine nimekuja kugundua kukosa kwa features kwenye iPhone kunawagusa sana Android users ila iPhone users hata hawajali, wawe nazo wasiwe nazo kwao ni sawa tu.
Hii ni kwa sababu Apple imeshawajengea mindset mbovu vichwani mwao. iSheep wapo tayari teknolojia zote mpya ziwapite na hata hawajali. Watazitumia ikiwa Apple atazileta la sivyo wanazitupilia mbali
 
iSheep kwangu ni watu ambao wamezama kimahaba na kampuni kiasi wamejikuta kwenye situation ya kukubali kila bidhaa ya hiyo kampuni.

1711540886619.png

Kampuni ya Apple naifananisha na WCB lebel ya msanii wa hapa nyumbani Diamond.

Mashabiki wa mziki wa hapa bongo wamewekeza hisia zao kwenye lebel ya Diamond tu.

Kwamba leo hii hata Diamond akiingia studio na kupiga mluzi tu kwa dakika 3 kisha mluzi huo auachie kama ngoma

Basi kesho mtaani hiyo ngoma lazima iende viral na itasumbua sana kwenye top 5 ya nyimbo kali kwenye media zetu.

Na tuzo lazima ichukue.

Angalia views kwenye nyimbo ya Dizasta wimbo usio bora halafu angakia views za Zuchu.

Hapo ndio maana nawaambiaga watu sometimes namba nazo zinaongopa.
 
Naam naam
Hatukatai ni simu nzuri ila ni simu nzuri zilizopitwa na wakati

Nilichoka niliposikia iphone 11 ilitumia IPS LCD

Samsung s5 ilikua ina kioo bora kuliko iphone 11😂😂😂😂

Scratch that
Samsung s4 ilikua ina kioo bora kuliko iphone 11

Futa tena
Samsung s3 ilikua ina kioo bora kuliko iphone 11

Mpaka unitoe kwenye huu uwanda wa amoled huku samsung ukae mkaoo mkali sana😁😁😁
 
View attachment 2945937Kama wewe ni mfuatiliaji wa Tech basi hili neno umeshakutana nalo mara nyingi sana "iSheep"
Huwa sipendi kulitumia kwa sababu naona kama ni offensive word ila kwa teknolojia ilipofikisha wateja wake acha tu hili neno litumikeView attachment 2945938
Nadhani wote mnaijua kampuni kuwa ya Kimarekani ya Apple ambayo inatengeneza product zenye ubora wa hali ya juu sana. Kampuni hii katika kila league ambayo anaingia lazima awe on the top, kuanzia kwenye simu, laptop, tablet, wireless ear buds, VR headsets na maeneo mengine mengi. Si ajabu hata leo hii Apple wangesema atengeneze magari ya umeme, still angekuwa among the top brands tena kundi moja na Tesla au BYD.
Products zao ni very high quality na kwa mtu anayejua nini anataka, Apple products are user friendly View attachment 2945943
Shida inakuja kwa wateja wake, hata kama Apple ana high quality products ila si kila anayenunua Apple products basi ameshawishika na quality. Wengi wao wanafanya show off tu na wengine hata Apple atengeneze mavi then awake logo ya Apple utawasikia wanasema "Wow.... this is so innovative". Hawa ndio wanakesha mitandaoni kutukana simu zote za Android na kutoa kila kauli chafu kwa simu ambazo si iPhone. Ukimuuliza nini unachokipenda kwenye iPhone atakuambia security, ukimwambia aelezee hiyo security inavyomsaidia anabaki anang'aa macho. Hawa ndio wanaamini kutumia Android ni umasikini, wapenzi wa macho matatu. Unakuta mtu matumizi yake ni kupiga picha, kutuma message, kuchat WhatsApp, kupiga na kupokea then anasema iPhone iko smooth kuliko Android kwa sababu anaitumia kila siku na haijawahi kumletea shida. Kwa haya matumizi hata Redmi Note 10 inaweza fanya bila shida yoyote. Watu kama hawa ndio nimeona wakiitwa iSheepView attachment 2945945
iSheep wanapenda kuponda simu za Android bila fact za msingi na ni wagumu kutetea hoja zao, zaidi wanaleta matusi na kejeli tu.

Hawa ndio vinara wa ku support mambo ya kijinga ambayo Apple anafanya. Kwa mfano tabia ya kutengeneza simu ambazo design zinafanana fanana tu miaka mitano mfululizo. iSheep utawasikia wakisema hamna haja ya kubadili mwonekano sana, huu mwonekano ndio unaipa simu recognition kuwa ni simu ya Apple. Wanasahau mwonekano mmoja kila mwaka unafanya simu i-feel outdated.View attachment 2945946
Kwa iSheep kila teknolojia mpya kwao sio innovation mpaka siku ambayo Apple atakuja kuitumia, then utasikia sifa tele kwa Apple
Ni kama tu iSheep walivyokuwa wanasema wireless charging sio kitu cha muhimu kwa sababu wanaweza kuchaji simu zao kwa waya na zinajaa vizuri tu, mpaka ilipofika 2017 ndio Apple wanaleta wireless charging na kila mtu akaanza kumwaga sifa tele kuwa Apple ni innovative. Wireless charging, Samsung alikuwa nayo tangu 2012 huko.
Sasahivi kuna teknolojia ya Fast Charging (hapa namaanisha zile za chini ya saa 1 simu imejaa chaji) iSheep watakuambia Fast charging inaharibu betri, kwa sababu tu Apple hawana hiyo technology. Siku itakapokuja iPhone yenye fast charging ya hata dakika 45, kila kona ya forum za tech utakuta watu wanavyomwaga sifa kwa teknolojia mpya ya Fast charging ya Apple ilivyo matata.

iSheep wanaamini kuwa simu za Android ndio zinakumbwa na matatizo mengi ya hardware kwa sababu ni simu za kimasikini. Haya, safari hii tumeona iPhone 15 Pro Max ziki overheat na kupata shida mbalimbali kama screen failures. Sasa sijui ni iPhone zipi hizo ambazo hazipati matatizoView attachment 2945953
Au wanasema Android zina bugs nyingi kwenye software. Kiuhalisia kila simu ina bugs, hata hizo iPhone zinakumbwa na bugs mara nyingi tu. Kama jinsi simu za Android zinavyopata App crash zitakuambia "Unfortunately the app has stopped", na kwenye iPhone inatokea ila haitakuonesha hayo maneno ila ukifungua app hapohapo inajifunga. Haya, screenshot nyingine hii hapa, hii ni notification bug kwenye iOS. Na hakuna watu wanaojua kupuuzia bugs kama watumiaji wa iOS. Wao wakiona bugs wana assume macho yao ndio yamekosea ila iPhones are always right. LolView attachment 2945958
Kila kitu ambacho Apple anafanya iSheep hu support tu na hudhani bidhaa za Apple ndio bidhaa bora kuliko zote duniani.
Mfano kwenye simu iSheep hukimbilia kusema iPhone ndio zinaongoza kwa mauzo dunia nzima. Wanasahau kwamba Sisi Android users tuna choice nyingi nyingi Kwa hiyo tunajigawa, wengine wataenda kwa Samsung, wengine Xiaomi, Oppo, Vivo, Google Pixel, etcView attachment 2945980

Kitu kingine ambacho kinanikera ni kwamba Apple anaendelea kulimit basic specifications za simu bila sababu yoyote ya msingi mfano iPhone 15 bado ina Refresh rate ya 60Hz, wakati midrange kibao za Android zina 120Hz refresh rate. Cha ajabu iSheeps nao wanaona hii ni sawa tu kwa simu expensive kuwa na 60Hz refresh rate, sawa na low end phones
View attachment 2945974
Products za Apple ni high quality ila zina limitations za ajabu na wanachelewa sana kuleta features kwenye products zaoView attachment 2945977
Kampuni ya Apple ndio imesababisha leo hata Samsung na Xiaomi wameondoa 3.5mm jack na SD card slot kwenye flagship zao.
Ila hakuna iSheep ambao wanakera kubishana nao kama wanaosema "Hata mimi nilikuwa napenda Android kama wewe ila sasahivi nimehamia iPhone aisee yani sitamani kurudi Android tena. Hawa wengi wao wametoka kutumia Android za laki 2, wakajichanga wakanunua iPhone 13 Pro Max then wanaanza ku compare. Unakuta anatupia lawama nyingi kwa Android kumbe ni matatizo ya Pop 2 yake aliyokuwa anaitumia kabla ya kununua iPhone 13.

Leo nimeamua kuongelea iSheep kutokana na tabia yao ya kudhani kuwa iPhone ndio simu bora zaidi duniani na hivyo kuponda kampuni za Android kwa dharau na kejeli

If I'm being honest tukiachana na brand recognition sikuhizi hata Chinese phones ni more innovative kuliko Apple.

Oppo Find X7 Ultra, Samsung Galaxy S24 Ultra na Xiaomi 14 Ultra ni product bora kuliko iPhone 15 Pro Max. Najua iSheep hawatoelewa kwa sababu wao wakisikia tu simu ni ya Android basi wanapuuza features zote za humo ndani. Hawataki kabisa kusikia.

Kingine nimekuja kugundua kukosa kwa features kwenye iPhone kunawagusa sana Android users ila iPhone users hata hawajali, wawe nazo wasiwe nazo kwao ni sawa tu.
Hii ni kwa sababu Apple imeshawajengea mindset mbovu vichwani mwao. iSheep wapo tayari teknolojia zote mpya ziwapite na hata hawajali. Watazitumia ikiwa Apple atazileta la sivyo wanazitupilia mbali
WELL NARRATED SIJUI KAMA KUNA CHA KUONGEZEA KWANGU....

iPhone siku hizi anauzia jina tu, juzi kati hapa nimetoka kuangalia reviews mbalimbali aisee Apple anapigwa chini na kuachwa mbali na latest android flagships mfano Samsung, Xiaomi, Oppo, OnePlus n.k
 
iSheep kwangu ni watu ambao wamezama kimahaba na kampuni kiasi wamejikuta kwenye situation ya kukubali kila bidhaa ya hiyo kampuni.

View attachment 2946005

Kampuni ya Apple naifananisha na WCB lebel ya msanii wa hapa nyumbani Diamond.

Mashabiki wa mziki wa hapa bongo wamewekeza hisia zao kwenye lebel ya Diamond tu.

Kwamba leo hii hata Diamond akiingia studio na kupiga mluzi tu kwa dakika 3 kisha mluzi huo auachie kama ngoma

Basi kesho mtaani hiyo ngoma lazima iende viral na itasumbua sana kwenye top 5 ya nyimbo kali kwenye media zetu.

Na tuzo lazima ichukue.

Angalia views kwenye nyimbo ya Dizasta wimbo usio bora halafu angakia views za Zuchu.

Hapo ndio maana nawaambiaga watu sometimes namba nazo zinaongopa.
Shida hawa jamaa tayari wameshaharibu saikolojia ya wengi. Kila mtu anaona Apple ni dili
images.jpg
 
Isheep hata Apple akitengeneza mavi akayaita Imavi watayanunua tu na watasema yale mavi ya Apple ni very innovative.
 
Thread yako Ina content japo umeiweka kimichejo sana kana unawasuta watu flani, anyway punguza chuki na iphone, kwasabu ni simu Bora Bado,
Nigusie kwenye 3.5 mm jack hauna hoja ya msingi, kwasabu wamesaidia sana kupunguza uchaguzi wa mazingira unaotokana na earphone + charger , na Soo hata port ya TYPE C wataitoa
 
Kupunguza chuki na iPhone???? Sina chuki na iPhone hata kidogo. Perhaps hujaielewa thread yangu. iPhone nazikubali tena sana ila sio aina ya product ambayo inanifaa

Unasema thread imekaa kama inawasuta watu fulani. Yes of course, nawaongelea hao iSheep, Hata jina la thread ni iSheep, ulitegemea nitaongelea nini?
Kingine hayo mambo ya kutunza mazingira ni mambo ya kibiashara tu. Hao Samsung na Xiaomi wametoa 3.5 mm jack kwenye simu zao expensive tu, ila low end na midrange zao zina 3.5mm jack. Wanajua wakiondoa kwenye simu expensive wanunuaji watalazimika tu kutafuta earpods zao. Pia phone manufacturers wanajua mtu anayenunua simu kwa milioni 2 hatokosa hela ya kununua earpods kwa laki 2 so makampuni yanaelewa ni kina nani wa kuwanyonya hela zao.
Kuhusu kuondoa charger hapo wameyumba parefu. Kama Apple alikuwa na nia kweli ya kutunza mazingira kwa nini asingetumia USB Type C? Ili watu waweze kutumia charger za kampuni yoyote ile na hivyo kupunguza uchafuzi wa mazingira. Mpaka EU anawaforce ndio wanahamia Type C

Halafu wateja wanahitaji charger kwa ajili ya kuchaji simu zao, sio kuchafua mazingira. Iweje mazingira iwe kisingizio? Hizi ni biashara tu, makampuni yanatafuta pesa
 
Kwenye earphone jack wamefanya jambo la msingi, na mazingira sio kwamba ni kisingizio, ni jambo ambalo lipo na ni global impact angalia KIWANGO ambacho earphone na charger zinachafua mazingira.

Apple Hana shida na maskini mkuu ndiomana hata product zake branding hutumia njia tofauti kabisa, hajatarget nchi masikini hili tulizungumzia humu miaka mingi iliyopita, ukiona brand haikufai si unaachana nayo kwani hao isheep unaodai na mashabiki wa mpira wanatofautiana Nini ?

Mfano jezi ya Simba au yanga unakuta material haikupaswa kuuzwa 35k n.k ila watu wananunua kwasabu ndio kipenda roho, na hata ukija kwenye magari unakuta ni yaleyale, Kuna magari yako priced kwa overhype tu na sio uhalisia, ndio pale ambapo brand na Technology vinashindwa tengana, hata iOS iwekwe Open Source Bado watu watanunua iphone.

Hata US wanapokuja kuwabana apple baadhi ya sababu zao hazina mashiko, labda ya maana niliyoiona ni cross share ya apple accessories na device nyingine.
 
Kama Apple haijalenga watu masikini kwa nini wanatoa iPhone SE series? Ili anunue nani?
Halafu Kwa nini watumiaji wa Apple mnasupport sana limitations za Apple na kukosa kwa features nyingi? Kwa hiyo kwa sababu ni simu za matajiri (according to you) ndio ina maana ikose features? Au ibane watu kupitia limitations?
Kwa hiyo simu za watu masikini ndio zinapaswa kuwa na features nyingi? Mbona haya ni mapya kwangu
 
View attachment 2945937Kama wewe ni mfuatiliaji wa Tech basi hili neno umeshakutana nalo mara nyingi sana "iSheep"
Huwa sipendi kulitumia kwa sababu naona kama ni offensive word ila kwa teknolojia ilipofikisha wateja wake acha tu hili neno litumikeView attachment 2945938
Nadhani wote mnaijua kampuni kubwa ya Kimarekani ya Apple ambayo inatengeneza product zenye ubora wa hali ya juu sana. Kampuni hii katika kila league ambayo anaingia lazima awe on the top, kuanzia kwenye simu, laptop, tablet, wireless ear buds, VR headsets na maeneo mengine mengi. Si ajabu hata leo hii Apple angesema atengeneze magari ya umeme, still angekuwa among the top brands tena kundi moja na Tesla au BYD.
Products zao ni very high quality na kwa mtu anayejua nini anataka, Apple products are user friendly View attachment 2945943
Shida inakuja kwa wateja wake, hata kama Apple ana high quality products ila si kila anayenunua Apple products basi ameshawishika na quality. Wengi wao wanafanya show off tu na wengine hata Apple atengeneze mavi then aweke logo ya Apple utawasikia wanasema "Wow.... this is so innovative". Hawa ndio wanakesha mitandaoni kutukana simu zote za Android na kutoa kila kauli chafu kwa simu ambazo si iPhone. Ukimuuliza nini unachokipenda kwenye iPhone atakuambia security, ukimwambia aelezee hiyo security inavyomsaidia anabaki anang'aa macho. Hawa ndio wanaamini kutumia Android ni umasikini, wapenzi wa macho matatu. Unakuta mtu matumizi yake ni kupiga picha, kutuma message, kuchat WhatsApp, kupiga na kupokea then anasema iPhone iko smooth kuliko Android kwa sababu anaitumia kila siku na haijawahi kumletea shida. Kwa haya matumizi hata Redmi Note 10 inaweza fanya bila shida yoyote. Watu kama hawa ndio tunawaita iSheep View attachment 2945945
iSheep wanapenda kuponda simu za Android bila fact za msingi na ni wagumu kutetea hoja zao, zaidi wanaleta matusi na kejeli tu.

Hawa ndio vinara wa ku support mambo ya kijinga ambayo Apple anafanya. Kwa mfano tabia ya kutengeneza simu ambazo design zinafanana fanana tu miaka mitano mfululizo. iSheep utawasikia wakisema hamna haja ya kubadili mwonekano sana, huu mwonekano ndio unaipa simu recognition kuwa ni simu ya Apple. Wanasahau mwonekano mmoja kila mwaka unafanya simu i-feel outdated.View attachment 2945946
Kwa iSheep kila teknolojia mpya kwao sio innovation mpaka siku ambayo Apple atakuja kuitumia, then utasikia sifa tele kwa Apple
Ni kama tu iSheep walivyokuwa wanasema wireless charging sio kitu cha muhimu kwa sababu wanaweza kuchaji simu zao kwa waya na zinajaa vizuri tu, mpaka ilipofika 2017 ndio Apple wanaleta wireless charging na kila mtu akaanza kumwaga sifa tele kuwa Apple ni innovative. Wireless charging, Samsung alikuwa nayo tangu 2012 huko.
Sasahivi kuna teknolojia ya Fast Charging (hapa namaanisha zile za chini ya saa 1 simu imejaa chaji) iSheep watakuambia Fast charging inaharibu betri, kwa sababu tu Apple hawana hiyo technology. Siku itakapokuja iPhone yenye fast charging ya hata dakika 45, kila kona ya forum za tech utakuta watu wanavyomwaga sifa kwa teknolojia mpya ya Fast charging ya Apple.

iSheep wanaamini kuwa simu za Android ndio zinakumbwa na matatizo mengi ya hardware kwa sababu ni simu za kimasikini. Haya, safari hii tumeona iPhone 15 Pro Max ziki overheat na kupata shida mbalimbali kama screen failures. Sasa sijui ni iPhone zipi hizo ambazo hazipati matatizoView attachment 2945953
Au wanasema Android zina bugs nyingi kwenye software. Kiuhalisia kila simu ina bugs, hata hizo iPhone zinakumbwa na bugs mara nyingi tu. Kama jinsi simu za Android zinavyopata App crash zitakuambia "Unfortunately the app has stopped", na kwenye iPhone inatokea ila haitakuonesha hayo maneno ila ukifungua app hapohapo inajifunga. Haya, screenshot nyingine hii hapa, hii ni notification bug kwenye iOS. Na hakuna watu wanaojua kupuuzia bugs kama watumiaji wa iOS. Wao wakiona bugs wana assume macho yao ndio yamekosea ila iPhones are always right. LolView attachment 2945958
Kila kitu ambacho Apple anafanya iSheep hu support tu na hudhani bidhaa za Apple ndio bidhaa bora kuliko zote duniani.
Mfano kwenye simu iSheep hukimbilia kusema iPhone ndio zinaongoza kwa mauzo dunia nzima. Wanasahau kwamba Sisi Android users tuna choice nyingi nyingi Kwa hiyo tunajigawa, wengine wataenda kwa Samsung, wengine Xiaomi, Oppo, Vivo, Google Pixel, etcView attachment 2945980

Kitu kingine ambacho kinanikera ni kwamba Apple anaendelea kulimit basic specifications za simu bila sababu yoyote ya msingi mfano iPhone 15 bado ina Refresh rate ya 60Hz, wakati midrange kibao za Android zina 120Hz refresh rate. Cha ajabu iSheeps nao wanaona hii ni sawa tu kwa simu expensive kuwa na 60Hz refresh rate, sawa na low end phones
View attachment 2945974
Products za Apple ni high quality ila zina limitations za ajabu na wanachelewa sana kuleta features kwenye products zaoView attachment 2945977
Kampuni ya Apple ndio imesababisha leo hata Samsung na Xiaomi wameondoa 3.5mm jack na SD card slot kwenye flagship zao.
Ila hakuna iSheep ambao wanakera kubishana nao kama wanaosema "Hata mimi nilikuwa napenda Android kama wewe ila sasahivi nimehamia iPhone aisee yani sitamani kurudi Android tena". Hawa wengi wao wametoka kutumia Android za laki 2, wakajichanga wakanunua iPhone 13 Pro Max then wanaanza ku compare. Unakuta anatupia lawama nyingi kwa Android kumbe ni matatizo ya Pop 2 yake aliyokuwa anaitumia kabla ya kununua iPhone 13.

Leo nimeamua kuongelea iSheep kutokana na tabia yao ya kudhani kuwa iPhone ndio simu bora zaidi duniani na hivyo kuponda kampuni za Android kwa dharau na kejeli

If I'm being honest tukiachana na brand recognition sikuhizi hata Chinese phones ni more innovative kuliko Apple.

Oppo Find X7 Ultra, Samsung Galaxy S24 Ultra na Xiaomi 14 Ultra ni product bora kuliko iPhone 15 Pro Max. Najua iSheep hawatoelewa kwa sababu wao wakisikia tu simu ni ya Android basi wanapuuza features zote za humo ndani. Hawataki kabisa kusikia.

Kingine nimekuja kugundua kukosa kwa features kwenye iPhone kunawagusa sana Android users ila iPhone users hata hawajali, wawe nazo wasiwe nazo kwao ni sawa tu.
Hii ni kwa sababu Apple imeshawajengea mindset mbovu vichwani mwao. iSheep wapo tayari teknolojia zote mpya ziwapite na hata hawajali. Watazitumia ikiwa Apple atazileta la sivyo wanazitupilia mbali
Nje ya mada kilichoiua windows phone ni nini?
 
Back
Top Bottom