Mimi hali hiyo inaponitokea uwa napiga cm kila mahali kujua kama wako salama au wanaumwa maana lazima kuna kitu kimoja hakiako sawa pia cheki na mpenzi wako mko sawa ukiona mko sawa basi cheki na wazazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.