Ishawahi kukutokea hii? ulifanyaje

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,304
8,667
Habari za usiu wanafamilia wenzangu wanaJF!

Ishawahi kukutokea katika maisha yako ya kila siku unakosa tu amani na furaha, kila ukijifikiria huoni kinachokukosesha amani na furaha!

Hujisikii kufanya lolote wala kujihusisha lolote.. unaeza kuta hata usiku unakata bila sababu!

Ulifanyaje kuikabili hali hii!?
 
Mkuu Hali hiyo ilinitesa Sana ila nili idhibiti kwa kusoma vitabu mbalimbali vijiwemo vya dini na story za kuchekesha na kufurahisha
 
Huwa inatokea kama kuna kitu hakipo sawa lazima kipo ila hutaki kuiruhusu akili yako ipeleke taarifa kwenye ubongo kwamba kuna kitu hakupo sawa...matokeo yake ndio hayo unakua upo upo tu,kuumwa huumwi ila kama unaumwa,unakosa hamu ya kula,unashinda ndani..
Jichunguze mienendo yako kwa kuiruhusu akili ikubali matokeo na kuyafanyia kazi
 
Asante sana kiongozi, hii huenda ikasaidia!
 
Habari za usiu wanafamilia wenzangu wanaJF!

Ishawahi kukutokea katika maisha yako ya kila siku unakosa tu amani na furaha, kila ukijifikiria huoni kinachokukosesha amani na furaha!

Hujisikii kufanya lolote wala kujihusisha lolote.. unaeza kuta hata usiku unakata bila sababu!

Ulifanyaje kuikabili hali hii!?
Kama wewe ni teenager, basi ni kawaida ni kipindi cha mpito na chaweza kuwa kigumu sana pia. Ila kama una umri zaidi ya miaka 25, ni crisis kwenye maisha,

ILA:Hali hii yaweza kusabavishwa na roho chafu na lengo lake ni kutafuta mwanya katika maisha yako ili waingie. Fanya sala nzuri kila uamkapo na kabla ya kulala. Itakwisha.
 
Hali hii yaweza kusabavishwa na roho chafu na lengo lake ni kutafuta mwanya katika maisha yako ili waingie. Fanya sala nzuri kila uamkapo na kabla ya kulala. Itakwisha.
I Got you, ili Nitalifanyia Kazi!
 
Habari za usiu wanafamilia wenzangu wanaJF!

Ishawahi kukutokea katika maisha yako ya kila siku unakosa tu amani na furaha, kila ukijifikiria huoni kinachokukosesha amani na furaha!

Hujisikii kufanya lolote wala kujihusisha lolote.. unaeza kuta hata usiku unakata bila sababu!

Ulifanyaje kuikabili hali hii!?
Mi pia inatokeaga,lakini ikitokea huwa najiua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom