proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,569
- 11,755
nitaweza kuloga?Mchawi wa moto
Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu
Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.
Mchawi wa Kijani
Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.
Mchawi wa Kioo
Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine, anatumia chakras pia
Mchawi wa Jikoni
hutumia uchawi uliojumuishwa na Kupikia na kuoka. Vyakula na hate vinywaji
Mchawi wa mwezi
Hutumia Mizunguko na awamu za mwezi.
Mwezi mchanga
Mwezi mpevu nk
Mchawi wa mwituni hufanya kazi vizuri zaidi akizungukwa na miti,
anafahamu mimea na wanyama wa ndani na mitishamba.. Hatofautiani sana na mchawi wa kijani
Mchawi wa mziki/kughani
Uchawi huu umejikita sana katika muziki, na kuimba una uhusiano fulani na sauti na hutumia hiyo kuimarisha matambiko ulozi na shirki.
Mchawi wa Usiku
Anakumbatia nguvu nyeusi zaidi, anapendelea usiku na siri zake. hufanya kazi zaidi baada ya saa sita usiku.
Mchawi wa Dhoruba
Anachanganya nguvu yake na ile ya hali ya hewa, hukusanya vipengele kama vile maji ya mvua, barafu nk
Mchawi wa nyota
uchawi wake wote anategemea nyota na sayari , unajimu mipangilio yake na ishara za nyakati
Mchawi wa Uganga
Hufanya kazi na aina mbalimbali za uaguzi, kea kutumia ubashiri, maroho, vitabu, aya za kidini tahajudi nk
Mchawi wa Bahari hutumia bahari katika mazoea yao ya uchawi, kutumia vitu asilia baharini kama vile maji ya chumvi, makombora, mbao za kuteleza, n.k.
Kama utapenda kujifunza uchawi utachagua upi hapo!?
NB: Mimi siko huko tena
Shukrani sana(6,913) Ushirikina katika ngono na Manii | Page 12 | JamiiForums Ushirikina katika ngono na Manii
Kaka usiruhusu hiyo kitu kabisa, hii madem wanatoka kukuloga, au kukutwngeneza ndio mambo yaoSio mipira tu mi ilishanitokea demu kaja ghetto na kitambaa chake cha kunifutia mboo tulivyomaliza kusex akasepa nacho akili ilinipata baadae sana ,
Kwahiyo lile kafala ndo linatufanya tuwe mazuzu?
Soma hii mkuuMkuu ivi kuna kurogwa uwe unapoteza vitu maana nikilewa tu nikiwa na vitu mfukoni lazima nipoteze kitu kama simu,card za benki,vitambulisho nk na tatizo lilianzia Tanga kwa wasambaa ni story ndefu hadi nimeamua kuacha pombe
Nasikia wanakagua kagua, wakikuta nyota nzuri wanabeba, wakikuta mvuto au pesa wanabebaDaah Asigwa kweli?sasa mabao wanaenda kufanyia nini
Yap, is why huoni why mikosi inamuandama mtu, kumbe madada poa walishafanya yao. Wao huenda kwa waganga kupeleka vitu vyako halaf mganga hunuizia jambo ili unaseDah
Hii dunia imejipindia asee
So kuna watu wanatembea mitaani, ila washachukuliwa kila kitu
Kifupi ni makopo tu?
Kumbe si kila mtu anaweza kuwa mchawiJust for funny.. Uchawi halisi unahitaji viapo na kafara
Niliusoma nikauelewa sana wanakuroga kupitia udhaifu wako ,kwa iyo kujikomboa hapo nafanyaje?Soma hii mkuu
(6,880) Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe? | Page 3 | JamiiForums Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?
Mh dunia ina mengi walah kama haupo kundi hilo kamwe huwezi kujua, Sasa huku si kwenda kupata nafuu ya muda tuMalighafi bora sana hizo kwenye ushirikina
Mchawi wa moto
Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu
Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.
Mchawi wa Kijani
Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.
Mchawi wa Kioo
Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine, anatumia chakras pia
Mchawi wa Jikoni
hutumia uchawi uliojumuishwa na Kupikia na kuoka. Vyakula na hate vinywaji
Mchawi wa mwezi
Hutumia Mizunguko na awamu za mwezi.
Mwezi mchanga
Mwezi mpevu nk
Mchawi wa mwituni hufanya kazi vizuri zaidi akizungukwa na miti,
anafahamu mimea na wanyama wa ndani na mitishamba.. Hatofautiani sana na mchawi wa kijani
Mchawi wa mziki/kughani
Uchawi huu umejikita sana katika muziki, na kuimba una uhusiano fulani na sauti na hutumia hiyo kuimarisha matambiko ulozi na shirki.
Mchawi wa Usiku
Anakumbatia nguvu nyeusi zaidi, anapendelea usiku na siri zake. hufanya kazi zaidi baada ya saa sita usiku.
Mchawi wa Dhoruba
Anachanganya nguvu yake na ile ya hali ya hewa, hukusanya vipengele kama vile maji ya mvua, barafu nk
Mchawi wa nyota
uchawi wake wote anategemea nyota na sayari , unajimu mipangilio yake na ishara za nyakati
Mchawi wa Uganga
Hufanya kazi na aina mbalimbali za uaguzi, kea kutumia ubashiri, maroho, vitabu, aya za kidini tahajudi nk
Mchawi wa Bahari hutumia bahari katika mazoea yao ya uchawi, kutumia vitu asilia baharini kama vile maji ya chumvi, makombora, mbao za kuteleza, n.k.
Kama utapenda kujifunza uchawi utachagua upi hapo!?
NB: Mimi siko huko tena
Aise sio poa maana tulikuwa kata moja uko usambaani mimi na rafiki yangu ambaye ni mzaliwa na mwenyeji wa iyo kata tulikuwa tunapenda kulewa pub moja karibu na pub jirani ya maza walikuwa wanadai mshirikina na walikuwa wanabifu Kati ya izo pub yule maza wanaodai mshirikina alikuwa anamchukia mwenzake wa pub nyingine na cha ajabu tukienda pale kulewa pombe tukinywa kidogo tu tunalewa balaa yaani kama sio pombe za kawaida hadi kuna siku zikatokea pulukushani za jamaa yangu pale pun na mtoto wa uyo maza mshirikina jamaa akamkimbiza hadi ndani kwao kwa uyo maza na mimi nikamfata kumgombelezea baada ya ilo tukio kesho yake nikajikuta Sina simu ,yule maza alimind sana kuwa jamaa kumkimbiza mtoto wake ambaye ni kama zimeruka na muda wote analewa na watu wakawa wanadai maza yake ndo kamtengeneza hadi ikabidi tukaombe msamaha yule maza akadai hatoi msamaha Bure Bila help tukamtoa akadai ametusamehe baada ya week tukiwa tumelewa jamaa yangu akapoteza machine ya kukusanyia ushuru POS MACHINE katika mazingira ya kutatanisha na hakuwahi kuipata na ndio safari ya kupoteza vitu ikaanzia hapo yaani nikilewa tu lazima nipoteze kitu,na kuna kipindi ni kama nilikuwa naendeshwa na remote aisee akili inanituma tu nistulie ghetto niende kulewa mbali na kituo changu cha kazi yaani naondoka lushoto mpaka Tanga kwenda kufanya Anasa, sikuhizi ndo nagundua haikuwa akili ya kawaida ,nimesummarize tu ila ni story ndefu sanaNi lazima kumrudia Mungu
Aisee! Very interesting.. Alijua kukukamata vibaya mno.. Mimi kuna mama wa Kidigo pale Kino enzi hizo alikuwa mama ntilie.. Huwezi kuamini baada ya kuhamia kwa Aziz Ally ilikuwa kila week lazima nifunge safari mpaka Kibo kwenda tu kula kwake😂Aise sio poa maana tulikuwa kata moja uko usambaani mimi na rafiki yangu ambaye ni mzaliwa na mwenyeji wa iyo kata tulikuwa tunapenda kulewa pub moja karibu na pub jirani ya maza walikuwa wanadai mshirikina na walikuwa wanabifu Kati ya izo pub yule maza wanaodai mshirikina alikuwa anamchukia mwenzake wa pub nyingine na cha ajabu tukienda pale kulewa pombe tukinywa kidogo tu tunalewa balaa yaani kama sio pombe za kawaida hadi kuna siku zikatokea pulukushani za jamaa yangu pale pun na mtoto wa uyo maza mshirikina jamaa akamkimbiza hadi ndani kwao kwa uyo maza na mimi nikamfata kumgombelezea baada ya ilo tukio kesho yake nikajikuta Sina simu ,yule maza alimind sana kuwa jamaa kumkimbiza mtoto wake ambaye ni kama zimeruka na muda wote analewa na watu wakawa wanadai maza yake ndo kamtengeneza hadi ikabidi tukaombe msamaha yule maza akadai hatoi msamaha Bure Bila help tukamtoa akadai ametusamehe baada ya week tukiwa tumelewa jamaa yangu akapoteza machine ya kukusanyia ushuru POS MACHINE katika mazingira ya kutatanisha na hakuwahi kuipata na ndio safari ya kupoteza vitu ikaanzia hapo yaani nikilewa tu lazima nipoteze kitu,na kuna kipindi ni kama nilikuwa naendeshwa na remote aisee akili inanituma tu nistulie ghetto niende kulewa mbali na kituo changu cha kazi yaani naondoka lushoto mpaka Tanga kwenda kufanya Anasa, sikuhizi ndo nagundua haikuwa akili ya kawaida ,nimesummarize tu ila ni story ndefu sana
(6,881) Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo | Page 7 | JamiiForums Chakula cha mama Mdigo Ubungo KiboAise sio poa maana tulikuwa kata moja uko usambaani mimi na rafiki yangu ambaye ni mzaliwa na mwenyeji wa iyo kata tulikuwa tunapenda kulewa pub moja karibu na pub jirani ya maza walikuwa wanadai mshirikina na walikuwa wanabifu Kati ya izo pub yule maza wanaodai mshirikina alikuwa anamchukia mwenzake wa pub nyingine na cha ajabu tukienda pale kulewa pombe tukinywa kidogo tu tunalewa balaa yaani kama sio pombe za kawaida hadi kuna siku zikatokea pulukushani za jamaa yangu pale pun na mtoto wa uyo maza mshirikina jamaa akamkimbiza hadi ndani kwao kwa uyo maza na mimi nikamfata kumgombelezea baada ya ilo tukio kesho yake nikajikuta Sina simu ,yule maza alimind sana kuwa jamaa kumkimbiza mtoto wake ambaye ni kama zimeruka na muda wote analewa na watu wakawa wanadai maza yake ndo kamtengeneza hadi ikabidi tukaombe msamaha yule maza akadai hatoi msamaha Bure Bila help tukamtoa akadai ametusamehe baada ya week tukiwa tumelewa jamaa yangu akapoteza machine ya kukusanyia ushuru POS MACHINE katika mazingira ya kutatanisha na hakuwahi kuipata na ndio safari ya kupoteza vitu ikaanzia hapo yaani nikilewa tu lazima nipoteze kitu,na kuna kipindi ni kama nilikuwa naendeshwa na remote aisee akili inanituma tu nistulie ghetto niende kulewa mbali na kituo changu cha kazi yaani naondoka lushoto mpaka Tanga kwenda kufanya Anasa, sikuhizi ndo nagundua haikuwa akili ya kawaida ,nimesummarize tu ila ni story ndefu sana
Sasa nyota unaonaje kwenye bao 🤣🤣Nasikia wanakagua kagua, wakikuta nyota nzuri wanabeba, wakikuta mvuto au pesa wanabeba
Kaka nakutafuta najaribu kukupm inakataa naomba namna ya kukupataMchawi wa moto