Kuna mstari mwembamba sana kati ya hao wawiliHivyo mganga ni mchawi pia?Nina shangazi yangu n mganga(sijawahi muamini naona km n tapeli flan hivi)ila watt wake niliwaambia nyie mama yenu n mchawi wanasema hapana mama ni mganga siyo mchawi,haruki usiku mnh hii Imekaaje boss?
Kwa Zumaridi si yalitaka kutokea wakaokolewaHajatokea Kibwetele tu akawatia kiberiti, au yale ya Shakahola.
Hiyo ipo sana, manii kiroho ni kiunganisho na uhai wa mwanaume, yes wanachukua na kutumia kukufunga, or akikuosa anakuchukulia bukta kabisaHivi mkuu Mshana kuna wachawi wanaroga kwa kutumia manii ya mwanaume??
Nasikia madanguroni huko ile mipira iliyokwisha tumika inanunuliwa kwa bei ya juu sana na wenye vilinge vyao....
Halafu yanateleza au wanaowapaka wanapata baraka?Kuna manabii feki hutumia manii kutengeneza maji ya upako
aiseeKuna manabii feki hutumia manii kutengeneza maji ya upako
Yanachanganywa na maji au mafutaHalafu yanateleza au wanaowapaka wanapata baraka?
Vipi hawakumuagiza StarFishKuna mama wiki iliyoisha kaniambia mwanaea anaumwa amempeleka sijui kwa bibi gani huko kitunda vitu alivyoambiwa apeleke nimechoka, sikuwahi kujua hata hivi vitu kama vinatumika mahala pengine vitu kama Sanda, najua kwa maiti tu ndo hutumika, hivo vingine hata sikuwahi kuvisikia nyungu chafu, fusho jini, kaniki, mwiba wa nungunungu nikabaki nasema kweli dunia ina mengi
Mh mim alinitumia list ya vitu akiwa na mashaka mimi nikamwambia huko rasmi unaenda kwenye ushirikinaVipi hawakumuagiza StarFish
Malighafi bora sana hizo kwenye ushirikinaKuna mama wiki iliyoisha kaniambia mwanaea anaumwa amempeleka sijui kwa bibi gani huko kitunda vitu alivyoambiwa apeleke nimechoka, sikuwahi kujua hata hivi vitu kama vinatumika mahala pengine vitu kama Sanda, najua kwa maiti tu ndo hutumika, hivo vingine hata sikuwahi kuvisikia nyungu chafu, fusho jini, kaniki, mwiba wa nungunungu nikabaki nasema kweli dunia ina mengi
Kwahiyo lile kafala ndo linatufanya tuwe mazuzu?Kafara la damu na kukimbiza moto
Hii mi iliwahi kunitokea Tanga kuna demu nilikuwa naye namgonga alikuja na kitambaa cheupe baada ya kumaliza akanipa nijifutie nilikuja kumsitukia baada ya kuondoka ghetto,na kuna siku nyingine alikuja ghetto akadai anataka akafue Hana nguo za kubadilisha nimpe shirt yangu akavae maana hana nguo za kubadilisha nilikataa,vioja ni vingi sana aswa ukionekana unavisenti kwa Malaya au Masister duhHiyo ipo sana, manii kiroho ni kiunganisho na uhai wa mwanaume, yes wanachukua na kutumia kukufunga, or akikuosa anakuchukulia bukta kabisa
Sio mipira tu mi ilishanitokea demu kaja ghetto na kitambaa chake cha kunifutia mboo tulivyomaliza kusex akasepa nacho akili ilinipata baadae sana ,Hiyo ipo sana, manii kiroho ni kiunganisho na uhai wa mwanaume, yes wanachukua na kutumia kukufunga, or akikuosa anakuchukulia bukta kabisa
(6,866) Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa | JamiiForums Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu TaifaKwahiyo lile kafala ndo linatufanya tuwe mazuzu?
Mkuu ivi kuna kurogwa uwe unapoteza vitu maana nikilewa tu nikiwa na vitu mfukoni lazima nipoteze kitu kama simu,card za benki,vitambulisho nk na tatizo lilianzia Tanga kwa wasambaa ni story ndefu hadi nimeamua kuacha pombeMchawi wa moto
Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu
Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.
Mchawi wa Kijani
Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.
Mchawi wa Kioo
Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine, anatumia chakras pia
Mchawi wa Jikoni
hutumia uchawi uliojumuishwa na Kupikia na kuoka. Vyakula na hate vinywaji
Mchawi wa mwezi
Hutumia Mizunguko na awamu za mwezi.
Mwezi mchanga
Mwezi mpevu nk
Mchawi wa mwituni hufanya kazi vizuri zaidi akizungukwa na miti,
anafahamu mimea na wanyama wa ndani na mitishamba.. Hatofautiani sana na mchawi wa kijani
Mchawi wa mziki/kughani
Uchawi huu umejikita sana katika muziki, na kuimba una uhusiano fulani na sauti na hutumia hiyo kuimarisha matambiko ulozi na shirki.
Mchawi wa Usiku
Anakumbatia nguvu nyeusi zaidi, anapendelea usiku na siri zake. hufanya kazi zaidi baada ya saa sita usiku.
Mchawi wa Dhoruba
Anachanganya nguvu yake na ile ya hali ya hewa, hukusanya vipengele kama vile maji ya mvua, barafu nk
Mchawi wa nyota
uchawi wake wote anategemea nyota na sayari , unajimu mipangilio yake na ishara za nyakati
Mchawi wa Uganga
Hufanya kazi na aina mbalimbali za uaguzi, kea kutumia ubashiri, maroho, vitabu, aya za kidini tahajudi nk
Mchawi wa Bahari hutumia bahari katika mazoea yao ya uchawi, kutumia vitu asilia baharini kama vile maji ya chumvi, makombora, mbao za kuteleza, n.k.
Kama utapenda kujifunza uchawi utachagua upi hapo!?
NB: Mimi siko huko tena
DahHiyo ipo sana, manii kiroho ni kiunganisho na uhai wa mwanaume, yes wanachukua na kutumia kukufunga, or akikuosa anakuchukulia bukta kabisa