Black nyeti JF-Expert Member Joined Jun 30, 2025 Posts 674 Reaction score 1,089 Aug 10, 2025 #21 Mshana Jr Wew ni mchawi wa nyuzi humu jf kwahyo endelea kutuloga tu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,711 Reaction score 830,720 Aug 10, 2025 Thread starter #22 Erythrocyte said: Ohooooo!!! Click to expand... 😀😀😀😀 Black nyeti said: Mshana Jr Wew ni mchawi wa nyuzi humu jf kwahyo endelea kutuloga tu Click to expand...
Erythrocyte said: Ohooooo!!! Click to expand... 😀😀😀😀 Black nyeti said: Mshana Jr Wew ni mchawi wa nyuzi humu jf kwahyo endelea kutuloga tu Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,711 Reaction score 830,720 Aug 10, 2025 Thread starter #23 mwekundu said: Daah Asigwa kweli?sasa mabao wanaenda kufanyia nini Click to expand... Kuna manabii feki hutumia manii kutengeneza maji ya upako
mwekundu said: Daah Asigwa kweli?sasa mabao wanaenda kufanyia nini Click to expand... Kuna manabii feki hutumia manii kutengeneza maji ya upako
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,711 Reaction score 830,720 Aug 10, 2025 Thread starter #24 26 Life said: Mkuu kuna uhusiano gani kati ya damu na agano? Waganga wanachinja kuku, njiwa, mbuzi, ng'ombe etc - hii imekaaje? Click to expand... Damu inabeba uhai Damu inabeba roho Damu inabeba kizazi
26 Life said: Mkuu kuna uhusiano gani kati ya damu na agano? Waganga wanachinja kuku, njiwa, mbuzi, ng'ombe etc - hii imekaaje? Click to expand... Damu inabeba uhai Damu inabeba roho Damu inabeba kizazi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,711 Reaction score 830,720 Aug 10, 2025 Thread starter #25 Watu8 said: Vipi wale wanaowasha mishimaa makanisani, unakuta mafhabahu imepambwa ni mioto ya mishumaa? Click to expand... Hawa ni wachawi wa moto hupendelea zaidi kuchanganya na uchawi wa kitabu
Watu8 said: Vipi wale wanaowasha mishimaa makanisani, unakuta mafhabahu imepambwa ni mioto ya mishumaa? Click to expand... Hawa ni wachawi wa moto hupendelea zaidi kuchanganya na uchawi wa kitabu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,711 Reaction score 830,720 Aug 10, 2025 Thread starter #26 r2ga said: Huu wa wa MOTO, unaendelea kuunguza akili za watu wa Nyika, kwishaaa baki kulala yoooo! Click to expand... Mwenge wa uhuru (kafara la kukimbiza moto)
r2ga said: Huu wa wa MOTO, unaendelea kuunguza akili za watu wa Nyika, kwishaaa baki kulala yoooo! Click to expand... Mwenge wa uhuru (kafara la kukimbiza moto)
Black nyeti JF-Expert Member Joined Jun 30, 2025 Posts 674 Reaction score 1,089 Aug 10, 2025 #27 Mshana Jr said: 😀😀😀😀 View attachment 3437692 Click to expand... 🤯🤯🤯😲😲🧟🧟🧟🧟🧟
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,986 Reaction score 5,160 Aug 10, 2025 #28 Mbaga Jr said: Ngoja Mwamposa awapige kiberiti kwa mara ya pili 😂 naombea itokee kabla ya uchaguzi ili wajinga wajinga wapiga kura wa Ccm wapungue Click to expand... Lazima atajibu mapigo ya mpuliza gesi, atakuja na jambo lake konki
Mbaga Jr said: Ngoja Mwamposa awapige kiberiti kwa mara ya pili 😂 naombea itokee kabla ya uchaguzi ili wajinga wajinga wapiga kura wa Ccm wapungue Click to expand... Lazima atajibu mapigo ya mpuliza gesi, atakuja na jambo lake konki
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,073 Reaction score 104,477 Aug 10, 2025 #29 mbwangali said: Lazima atajibu mapigo ya mpuliza gesi, atakuja na jambo lake konki Click to expand... Tukae mkao wa kula 😂
mbwangali said: Lazima atajibu mapigo ya mpuliza gesi, atakuja na jambo lake konki Click to expand... Tukae mkao wa kula 😂
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,986 Reaction score 5,160 Aug 10, 2025 #30 Kwani mkuu Mshana Jr huwezi kuorganize wachawi konki mkatengeneza bonge la radi tuitume mahali ikatupukutishie watesi wetu?
Kwani mkuu Mshana Jr huwezi kuorganize wachawi konki mkatengeneza bonge la radi tuitume mahali ikatupukutishie watesi wetu?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,711 Reaction score 830,720 Aug 10, 2025 Thread starter #31 mbwangali said: Kwani mkuu Mshana Jr huwezi kuorganize wachawi konki mkatengeneza bonge la radi tuitume mahali ikatupukutishie watesi wetu? Click to expand... Ni ngumu sana kwakuwa viasili havifanani.. Kumbuka wale 400 wa jiwe?
mbwangali said: Kwani mkuu Mshana Jr huwezi kuorganize wachawi konki mkatengeneza bonge la radi tuitume mahali ikatupukutishie watesi wetu? Click to expand... Ni ngumu sana kwakuwa viasili havifanani.. Kumbuka wale 400 wa jiwe?
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,986 Reaction score 5,160 Aug 10, 2025 #32 Mshana Jr said: Ni ngumu sana kwakuwa viasili havifanani.. Kumbuka wale 400 wa jiwe? Click to expand... Kumbe, walah ningejaliwa hii talanta ningejaribu
Mshana Jr said: Ni ngumu sana kwakuwa viasili havifanani.. Kumbuka wale 400 wa jiwe? Click to expand... Kumbe, walah ningejaliwa hii talanta ningejaribu
26 Life JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 829 Reaction score 1,229 Aug 10, 2025 #33 Mshana Jr said: Damu inabeba uhai Damu inabeba roho Damu inabeba kizazi Click to expand... Mkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje?
Mshana Jr said: Damu inabeba uhai Damu inabeba roho Damu inabeba kizazi Click to expand... Mkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje?
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,983 Reaction score 37,063 Aug 10, 2025 #34 kuna watu watakwambia uchawi ni myth
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,983 Reaction score 37,063 Aug 10, 2025 #35 26 Life said: Mkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje? Click to expand... Au mchawi anaenda kushiriki ibada takatifu
26 Life said: Mkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje? Click to expand... Au mchawi anaenda kushiriki ibada takatifu
K kivyetu Member Joined Nov 29, 2017 Posts 91 Reaction score 175 Aug 10, 2025 #36 APEFACE said: Wale wa kwenye lile jumba jeupe wanatumia uchawi upi kutuhadaa na kutupumbaza ?? Click to expand... Itakua wa moto,mana hili ni national mwe-nge sijui sijawah likubali
APEFACE said: Wale wa kwenye lile jumba jeupe wanatumia uchawi upi kutuhadaa na kutupumbaza ?? Click to expand... Itakua wa moto,mana hili ni national mwe-nge sijui sijawah likubali
K kivyetu Member Joined Nov 29, 2017 Posts 91 Reaction score 175 Aug 10, 2025 #37 Mshana Jr said: Mchawi wa uganga Click to expand... Hivyo mganga ni mchawi pia?Nina shangazi yangu n mganga(sijawahi muamini naona km n tapeli flan hivi)ila watt wake niliwaambia nyie mama yenu n mchawi wanasema hapana mama ni mganga siyo mchawi,haruki usiku mnh hii Imekaaje boss?
Mshana Jr said: Mchawi wa uganga Click to expand... Hivyo mganga ni mchawi pia?Nina shangazi yangu n mganga(sijawahi muamini naona km n tapeli flan hivi)ila watt wake niliwaambia nyie mama yenu n mchawi wanasema hapana mama ni mganga siyo mchawi,haruki usiku mnh hii Imekaaje boss?
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,102 Aug 10, 2025 #38 Swali ulilouliza mwishoni halina Msingi kama wewe umeshatoka huko. Kujua Mungu na nguvu zake ni jambo la lifetime experience, sasa muda wa kujifunza uchawi wa Nini?
Swali ulilouliza mwishoni halina Msingi kama wewe umeshatoka huko. Kujua Mungu na nguvu zake ni jambo la lifetime experience, sasa muda wa kujifunza uchawi wa Nini?
K kivyetu Member Joined Nov 29, 2017 Posts 91 Reaction score 175 Aug 10, 2025 #39 Mada nizipendazo kutoka kwako Sasa ,safi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,711 Reaction score 830,720 Aug 10, 2025 Thread starter #40 26 Life said: Mkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje? Click to expand... Mungu ni wa wote mkuu
26 Life said: Mkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje? Click to expand... Mungu ni wa wote mkuu