Tafadhali nijuze hili;ile promotion katika airtel money kwa jina la HAKATWI MTU HAPA ishakwisha? Nimeuliza sababu silioni tena tangazo lake hapa JF,badala yake naona la YATOSHA.
vya bure gharama mkuu!utakatwaa yote ya nyumaTafadhali nijuze hili;ile promotion katika airtel money kwa jina la HAKATWI MTU HAPA ishakwisha? Nimeuliza sababu silioni tena tangazo lake hapa JF,badala yake naona la YATOSHA.