Ishakwisha?

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Tafadhali nijuze hili;ile promotion katika airtel money kwa jina la HAKATWI MTU HAPA ishakwisha? Nimeuliza sababu silioni tena tangazo lake hapa JF,badala yake naona la YATOSHA.
 
Tafadhali nijuze hili;ile promotion katika airtel money kwa jina la HAKATWI MTU HAPA ishakwisha? Nimeuliza sababu silioni tena tangazo lake hapa JF,badala yake naona la YATOSHA.
vya bure gharama mkuu!utakatwaa yote ya nyuma
 
Waliokuwa na magovi walianza kukimbia mawodini na kutia mgomo kukatwa,serikali ikaingilia kati na kusema sasa YATOSHA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom