ishakutokea?

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
umeshawahi kulala ukaamka ucku ukakuta nje hakupo?
 
Mi niliota nikatoka nje!
Nje palikuwepo,
ila nilipotaka kurudi ndani,
Ndani ndy hapakuwepo!
So what next ?
 
JAMANI EE! Hamlali? Mnachangia mpaka ucku mnene.
Hebu Spika nipe mwongozo,
Maana mimi Dooh! Nikiegesha ubavu kwenye godoro tu,hapoho kitu kinayeya,labda ninywe Piriton ndo na-ChitChat night.
Nijuzeni...!
 
Wewe utakuwa waishi na wazazi au kwa Shemeji yako, chakula ya bure mawazo ya kazi gani Bwana!

We Ahmada umelewa mbona tunaharibiana taiming?
We unafikiri shemeji akiona comt yako hapa, kipunga kitalika leo jioni?
Mambo gani hayo bhanaa...!
 
Last edited by a moderator:
Muwe mnakula msosi wa kutosha before kuvuta bhange jamani! Mtadata!

Naam, mwenye macho na aone, na mwenye masikio asikie maneno haya ya Busara yaliyonenwa na King'asti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…