Isabella Mpanda aingilia penzi la JUX na VANESSA

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
18,528
23,290
Miss ruvuma 2006 ambaye pia ni muigizaji wa bongo muvi na mwanamuziki Isabella Mpanda ajinadi hadharani kuingilia penzi la Vanesa Mdee na Juma Jux huku akimtusi vibaya Vanessa kwamba si lolote wala si chochote kitandani ndio maana mara kwa mara amekuwa akiachwa na Jux.

Kauli hii ilibua hasira kwa mashabiki wa Vanessa Mdee kwa kuamua kujibu mashambulizi na kumtusi vikali Isabella aache kutafuta kiki za kijinga kwa maana yeye na Jux hawaendani hata kidogo zaidi ya yeye kujitongozesha kwa Jux.

Isabella akawajibu kwamba yeye ni mwali wa kimakonde aliyefundwa akafundika na ni fundi haswa kitandani ndiyo maana Jux ameamua kumuacha Vanessa na kuja kwake kutokana na miuono yake hatari ya kimakonde.


**********************************************************

Ikumbukwe hii si mara ya kwanza kwa Isabella kupata kashfa za kutembea na wapenzi wa wenzake kwa maana alishawahi kugombana na ma bestwake wakubwa Miriam Jolwa (Jini Kabula) na Jackline Pentzel kwa kashfa kama hizo.IMG_20190408_170023_619.jpeg
 
Huyu manzi nazi kweli...

Wanaokata wanasemaga basi

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom