cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,326
Wala hatuwanyanyasi bana, ukiona mnyanyasaji ujue ni hulka yake tu na ulimbukeniHongereni sana ila msitunyanyase maana ndio kawaida ya baadhi yenu
Wala hatuwanyanyasi bana, ukiona mnyanyasaji ujue ni hulka yake tu na ulimbukeniHongereni sana ila msitunyanyase maana ndio kawaida ya baadhi yenu
Ni kweli,we angalia tu Rais wa nchi flani iliyo mwanachama wa SADC,kila siku anazungumzia tu jinsia yake,hajiamini kama ni Rais bado.Wanawake wengi wakiwa mabosi mambo huwa ovyo. Wana inferiority complex sana. Nina uzoefu na hilo
Mwanamke akimsaidia mwanaume hata kulipa ada za watoto atalalamika weeeeWala hatuwanyanyasi bana, ukiona mnyanyasaji ujue ni hulka yake tu na ulimbukeni
Kazi anazozifanya hazijawahi kufanywa na mwanaume yeyoteNi kweli,we angalia tu Rais wa nchi flani iliyo mwanachama wa SADC,kila siku anazungumzia tu jinsia yake,hajiamini kama ni Rais bado.
Kama zipi?Kazi anazozifanya hazijawahi kufanywa na mwanaume yeyote
Kama zipi?
Unataka nini mkuu?Kasoma environmental SUA na baadaye kasoma mambo ya benki, sawa......kongole kwake, kwa anayejua head office ya equity bank wapo maeneo gani.....
Kupajua HQ maana na mimi ni client wao....Unataka nini mkuu?
Na huo ndo ukweli....Hongera Equity bank kwa sasa mmeamua mmeleta mabadiliko makubwa ,ya kihuduma hata kwenye mikopo ya watumishi Riba zao ni rafiki sana kwa sasa wana mafuriko ya wateja hasa kanda ya ziwa CRDB NA NMB wajipange
Hakika, Equity wanakuja vizuriHongera Equity bank kwa sasa mmeamua mmeleta mabadiliko makubwa ,ya kihuduma hata kwenye mikopo ya watumishi Riba zao ni rafiki sana kwa sasa wana mafuriko ya wateja hasa kanda ya ziwa CRDB NA NMB wajipange
Sipajui kwakweliKupajua HQ maana na mimi ni client wao....
Uliwahi kumsikia Magufuli au Kikwete wanasema "Mimi ni Rais Ila mwenye jinsia ya kiume?"Sio kweli, Angalia Rais wa Nchi anachokifanya
Hiyo siyo hoja lakiniUliwahi kumsikia Magufuli au Kikwete wanasema "Mimi ni Rais Ila mwenye jinsia ya kiume?"
Pamoja mkuuAhsante Kwa taarifa...
All the BestEquity Bank Tanzania names new boss
View attachment 2057889
Ms Isabel Maganga Equity Tanzania's new boss
Equity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms Isabel Maganga (pictured) as the new managing director in an acting capacity effective December 23, 2021.
She is a career banker with over fifteen years of experience. She holds a Master’s degree of Science in Finance and Investments from Coventry University, a Bachelor’s degree in Environmental Science and Management from Sokoine University of Agriculture.
She also holds a Diploma in Banking from Milpark Business School.
She is a certified Professional Banker and Certified Expert on SME Finance. Prior to her appointment, Ms Maganga was the head of Commercial at the bank.
The announcement, which was made by the Board of Directors, follows the coming to an end of Mr Robert Kiboti’s tenure as the managing director at Equity Bank Tanzania, who was appointed in 2018.
He will be transiting back to the Group Head Office in Nairobi, Kenya.
Speaking while welcoming Ms Maganga to her new role, Equity Bank Tanzania Board chairman Raymond Mbilinyi said: “We are delighted to appoint Ms Maganga as the new managing director of the bank in an acting capacity, as we bid farewell to Mr Kiboti.
“We are confident that her experience will enable her to lead the Bank to the next level, to scale and serve more people in pursuit of our purpose of transforming lives, giving dignity, and expanding opportunities for wealth creation,” said the Board chairman.