Mzee Mwanakijiji nashukuru kwa wewe kuliweka hili wazi ,watu wamekuwa na uoga wa kumwambia kamanda wetu.Stetements za Zitto hata kama zinashabihiana na mtazamo wa CDM,huwa mara nyingi anazitoa kuaminisha uma kuwa ni mitazamo yake binafsi.Mimi sina tatizo na mitazamo yake ila napata wasiwasi style ya uwasilishwaji/malengo yauwasilishaji kama Individual statement.Ikijulikana kwamba ni mtazamo wa CDM yeye atapungua nini! Kwanini Zitto kwanza sio CDM kwanza!C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.
Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:
Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.
Mimi pia naamini hilo ,kamanda ana muda wa kutosha kurekebisha makosa. Yale ya msingi tunayomwambia ayachukue na yasio na manufaa kwa maana ya ushabiki ayaweke kapuni.Hapo kwenye red ndipo panagomba na Zitto anatakiwa atafute tiba yake haraka sana na kwa nguvu kubwa otherwise his political capital is not as strong as he would like to believe.
Statement yake angekuwa ametoa kwa niaba ya chama chake I am almost certain watu wangekuwa wanaongea vingine kabisa. But the statement imegeuka kuwa inquery about Zitto - why? Because people are reading every thing from this politician while holding his supposedly 'catalogue' of solo perfomances! And if you ask me hii hali imesababishwa na nini, ni kwa sababu Zitto like any aspiriring young politician amekuwa anarudia kosa lile lile la kutoa statement kwenye mambo muhimu kama yeye na kuwaacha critics wanahoji - why didnt you do it as a team?
Lakini pia, kwa mazingira ya siasa za Tanzania, kwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa kukaa chini na kutoa statement nyeti/muhimu ya kifaifa kama as private individual (na sio kama chama) is still new. Watu wamezoea kuona matamko rasmi ya chama zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Na wanaposikia anasema huu ni msimamo wangu binafsi it is even more troubling. Maybe with time itazoeleka lakini kwa sasa inaweza kuwa 'a self-distructive strategy'.
Zitto is increadibly talented and has a lot to offer and it will be a shame to see him constantly defending about this or that statement. Haya makosa yanaepukika.
Having said that Zitto, nasubiri kuona another round ya suluba kwa CCM kwenye bunge la budget. Uchumi mgogoro!
@Mzee Mwanakijiji Sijui kwanini umeamua kumsemea Zitto lakini mwenyewe amekiri kuwa hili ni lake binafsi kwenye utetezi wake (ndani ya uzi huu) amesema anaamini mafuta si suala la Muungano toka mwaka 2009, sasa wewe kuja na Ilani ya CDM ya mwaka 2010 sijui unamaana gani wakati ni dhahiri kuwa Zitto aliamini hilo kabla hata ya Ilani na ameendelea kulishikilia, Kwanini unafikiri yeye mwenyewe hajaamua kusema kuwa anatetea msimamo wa chama na kuamua kutuambia vinginevyo?C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.
Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:
Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.
You have spoiled your whole argument with the timing issue....it now appears that you never researched as to when exactly Hon. Zitto made his statement(s). I nevertheless can see what you had in your mind......'habitual......'! You can come up again on this. But I tend to believe all politicians are opportunists!...What I want to raise today is the habitual stupid comments that Zitto Kabwe has been giving to public at every opportunity..
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.
My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.
Mdini mkubwa wewe!Kuna umuhimu wa kulink kila kitu na dini? hivi ni nani aliewaroga enyi wadanganyika? mimi sijaona Zitto kama ana destruct chochote na wala sioni kama anajaribu kutetea usilamu popte pale. N sijaona kosa lolote la yeye kutolea maoni suala la mafuta, tena ingependeza zaidi kwa nyie wabara mkafurahi kuona suala hililikashughulikiwa na waznz wenyewe ili mueze kuona utofauti kama utakuepo. Nyie madini yenu hamna lolote mlofaidia zaidi ya kuwatajirisha wazungu. poleni na ugalatia wenu.
Huyu jamaa Abdulhalim nimefuatilia comments zake mara nyingi sana, ni mdini wa kupindukia.acha kuishi ndotoni na kutengeza dhana zisizokuepo:
kwanza, sina dini - sasa sijui naezaje kuwa mdini bila kuwa mfuasi wa dini za kikoloni? hilarious.
pili, siungi mkono kuvunjwa muungano, najua stability ya usalama visiwani inategemea sana kuwa na mkono wa magogoni, ukivunjika maafa yakuwa makubwa sana.
tatu, siungi mkono kuvunjwa nyumba za ibada zilizoruhusiwa kuapo kisheria
ni vema tukajikita kwene kauli ya Zitto kuhusu mafuta ya znz, ukijenga dhana zisokuepo basi uwe tayari wewe mwenyewe kuzitolea maelezo.
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.
My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.
C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.
Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:
Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.
Hapo kwenye red ndipo panagomba na Zitto anatakiwa atafute tiba yake haraka sana na kwa nguvu kubwa otherwise his political capital is not as strong as he would like to believe.
Statement yake angekuwa ametoa kwa niaba ya chama chake I am almost certain watu wangekuwa wanaongea vingine kabisa. But the statement imegeuka kuwa inquery about Zitto - why? Because people are reading every thing from this politician while holding his supposedly 'catalogue' of solo perfomances! And if you ask me hii hali imesababishwa na nini, ni kwa sababu Zitto like any aspiriring young politician amekuwa anarudia kosa lile lile la kutoa statement kwenye mambo muhimu kama yeye na kuwaacha critics wanahoji - why didnt you do it as a team?
Lakini pia, kwa mazingira ya siasa za Tanzania, kwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa kukaa chini na kutoa statement nyeti/muhimu ya kifaifa kama as private individual (na sio kama chama) is still new. Watu wamezoea kuona matamko rasmi ya chama zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Na wanaposikia anasema huu ni msimamo wangu binafsi it is even more troubling. Maybe with time itazoeleka lakini kwa sasa inaweza kuwa 'a self-distructive strategy'.
Zitto is increadibly talented and has a lot to offer and it will be a shame to see him constantly defending about this or that statement. Haya makosa yanaepukika.
Having said that Zitto, nasubiri kuona another round ya suluba kwa CCM kwenye bunge la budget. Uchumi mgogoro!
Kuna umuhimu wa kulink kila kitu na dini? hivi ni nani aliewaroga enyi wadanganyika? mimi sijaona Zitto kama ana destruct chochote na wala sioni kama anajaribu kutetea usilamu popte pale. N sijaona kosa lolote la yeye kutolea maoni suala la mafuta, tena ingependeza zaidi kwa nyie wabara mkafurahi kuona suala hililikashughulikiwa na waznz wenyewe ili mueze kuona utofauti kama utakuepo. Nyie madini yenu hamna lolote mlofaidia zaidi ya kuwatajirisha wazungu. poleni na ugalatia wenu.
I DOUBT A LOT ABOUT DIS MAN
LOOK AFTER THIS
KWANZA; JAMAA ANA HISTORIA TOKA ALIPOKUWA CHUO PALE-UD YA KUPENDA KUONEKANA YEYE NDO YEYE NA HII NI HATARI SANA KTK SIASA YENYE KUJALI UMOJA (MBINAFSI NA MPENDA SIFA ZA KIJINGA-POPULAR POLITICAL CELEBRITY)
PILI; KUNA USWAHIBA WA KARIBU SANA KATI YA YEYE NA BABA RIT1 , HAFU ILI KUTHIBITISHA HILI JAMAA KILA JAMBO LINALOMHUSU MH. LAZIMA AMTETEE KUWA HATA HALI NGUMU YA MAISHA YA SASA SI KUMLAUM RAIS BALI WATENDAJ WAKE. HV KWELI INAINGIA AKILIN HII AU SIASA UCHWARA (kumbuka alikataa kuingia Bungeni kisa et asimdhalilishe Rais kwa Kutoka Nje!)
TATU ; JAMAA ANABP KUCHOKONOA KUHUSU KUGOMBEA URAIS 2015 HUKU AKIMSHAWISH SWAHIBA WAKE JK KUPITSHA SHERIA INAYORUHUSU KIJANA WA MIAKA 35 KUGOMBEA URAIS-BILA HATA KUFANYA MAKUBALIANO YA MSING NA CHAMA CHAKE
NNE; JAMAA ANANGANGANIA KUENDEKEZA SIASA ZA TAIFA MBELE CHAMA NYUMA KAMA KAULI MBIU YAKE KUMBE NI ILI TU KUFICHA AGENDA YA NDANI ALIYONAYO, HUKU AKI5TOFAUTIANA KIITIKADI AN CHAMA CHAKE-CHADEMA
NB. JAMAA YUPO CHADEMA KWA SABABU ALISOMESHWA MASTERS ZOTE KWA RUZUKU ZA CHAMA ILA SIDHANI KWAMBA NI MWENZETU HUYU.
Dear Kamanzi!
Oh yes I am back to respond to the genius of the moment Zitto Kabwe. Zitto's response exposes him even further as a little boy with no clue of what he says. A lot of his blind followers have pointed to the fact that he claims he has been talking about the oil issue since 2009 as a mitigating factor to what he said recently. Let me use layman way of explaining it labda mtanielewa.
My major issue of concern was not what he said, but when he said it. Nikupe mfano. Let's say Zitto alikuwa ananidai pesa tangu mwaka 2009. Tuchukulie kwa mfano jumapili iliyopita mimi niwe nimefariki halafu Zitto aende kwa media kulalamika kuwa nimekufa na deni lake. Wakimuhoji kwanini alete suala la madeni wakati wa msiba Zitto atoe justification kuwa amekuwa akinidai kwa miaka mingi ila nikawa simlipi. He would look naive and insensitive, period.
Zitto anatoa hoja kuwa wakati anazungumzia suala la mafuta vurugu zilikuwa hazijaanza. Wrong response once again. Vinginevyo anakubali kuwa yeye ni sisimizi wa kisiasa kwa sababu, wiki moja kabla Zitto hajatoa kauli yake, kundi la UAMSHO lilishatoa tamko kali ambalo kama Zitto anaufahamu mzuri angetambua kuwa hali Zanzibar ni tete. Tena katika thread yangu hapo juu nika-suggest kwamba kwasababu Zitto, kijana muislamu hajafelishwa na baraza la mitihani kama moja ya tamko la UAMSHO linavyodai, basi arusi shule. In short, zaidi ya wiki kabla Zitto kutoa kauli yake na kujaza magazeti kwa *****, UAMSHO walishawasha moto Zanzibar kwa matamko yao kwaiyo kusema alishindwa ku-anticipate vurugu ni kujionyesha kuwa ni mwanasiasa mchanga bado.
Ukiweka hayo kando, kama Zitto ni mwanasiasa makini kama anavyodhani yupo, angetakiwa asome alama za nyakati. KWa wale wachambuzi wa mambo ya kisiasa watakubaliana nami kwamba hili kundi la UAMSHO halipo in vacuum. Indeed, pale KEnya, lipo kundi linaloitwa Muslim Republic Council (MRC) ambalo kama UAMSHO linapigania kuanzishwa Republic ya Pwani iliyo independent of Kenya. Of course matokeo yake imekuwa ni vuta nikuvute baina ya serikali na wao na wengi wamefungwa au kupoteza maisha as a result. Ukiangalia manifesto ya MRC imekopiwa yote na UAMSHO dai kuu likiwa, waislamu wamenyonywa vya kutosha na wakristu. It follows then, kwasababu UAMSHO ni nothing but a copy cat of MRC, Zitto alitakiwa kujua kuwa lipo vuguvugu la jumuiya za kiislamu katika East Africa kutaka kujitenga na wenzao. Kwa mantiki hiyo alipaswa kujua kuwa kauli yake kama kiongozi mwandamizi wa moja ya vyama vikuu Tanzania inaweza ku-fuel fujo hasa kwasababu hali ya mchanganyiko wa kisiasa na dini imekuwa tete hapa Africa mashariki na kati chini ya uongozi wa Alshabab. Sasa sipo kusema Alshabab ni terrorist group au la bali nasema, kama kiongozi mwandamizi, Zitto Kabwa anatakiwa kujua si tu WHAT TO SAY but also WHEN AND HOW TO SAY IT. Ndo maana japo mimi sina chama, siku zote nitamuona Januari Makamba kama mwanasiasa mahiri kijana kuliko hawa akina Zitto. Na simzungumzii Zitto eti kwakuwa ni muislamu, la hasha. Hata tamko alilotoa Nassari juu ya kanda ya Kskazini kujitoa Tanzania wakati kumekuwa na vuguvugu kubwa la kisiasa Arusha mpaka watu wamepoteza maisha ni utoto wa kisiasa. KWa maana hiyo basi Zitto na NAssari inabidi wafikiri kabla ya kuongea. La mnataka kuwa intellectuals, njooni UD tuwape elimu mukichwa.
Naomba kuwasilisha.