Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
...
Kama nilivosema hapo juu... Hizo ni baadhi ya viashiria... kama wewe unaepita hapa iko hivo... SHTUKA!! Kama kawa naomba ushirikiano wenu katika mada hii tuweze ongezea, punguza na rekebisha pia.
Pamoja Saana...:grouphug:
AshaDii.
tiqo tiqo mi sio pasua kichwa pleees niangalie kwa jicho la husdaSina kabisa kuwa na mpenzi pasua kichwa sana
Rafiki mkia wa fisi mwaya!Namshukuru Mungu siendekezi na sientertain mashoga na mashosti kwenye mahusiano yangu.
umenikumbusha bibi yangu alikuwa akitusisitiza 'kukalia nguo' sio mtoto wa kike mwaa mwaa tu...
Nataka kusema hivi, wakati mwingine midomo ya wanawake inawauza wapenzi wao kwa mashoga zao (sasa hapa uwe na bahati ya kupata dume kama la Kongosho likushtue shoga yako sio)
kujiwekea mpaka baina ya mahusiano yako na rafiki zako muhimu sana aisee..
Mi nimepanga niishi peke yangu bila kuwa na mpenzi na sifikirii maswala ya mapenzi kabisa haya mapenzi yamesababisha mengi sana yenye +ve na -ve inategemea mtu na mtu anavyo enjoy na hayo mapenzi kwangu bora nikose hizo +ve na -ve za mapenzi.
Namshukuru Mungu siendekezi na sientertain mashoga na mashosti kwenye mahusiano yangu.
tiqo tiqo mi sio pasua kichwa pleees niangalie kwa jicho la husda
Tiqo this is bad..... On a serious note reallly bad. In the long run yaweza kukufanya uwe really bitter in everything katika maisha... Wacha tu ile ya Mapenzi. You have to let go hio inayokusumbua (experience) na live again... sijui the type of life you live but naona kama haya uliyo chagua is not healthy.... Every body needs love once in a while.... Every body.....
asante ashadii kwa kutupa warning.Ila kusema ukweli mm sipendi kabisa mpenzi wangu azoeana na marafiki zangu.Na uzur ni kwamba mpenzi wangu ndiye namchukulia kama best friend wangu.Sijawahi kwenda outing nikiwa na mpenzi wangu na shoga au mashoga wakawepo labda ndugu zangu tu ndio huwa nakua comfortable wakimzoea shemeji yao.Nimefurahi umeongelea sio mashoga tu hata ndugu hivyo nitazi apply hata kwa ndugu ambao wao ndio nimeruhusu wawe karibu na shemeji yao.
Hivi kukaa na kuishi bila kuwa na mpenzi inaathiri body health? aaah hii hapana bana
Hii ndo style yangu ya maisha niliyo ichagua kuishi bila kuumiza kichwa kwa kweli naenjoy ni bora nifadhiri mbuzi a.k.a mnyama kuliko binadamu kwa penzi la kapumbaga
Hongera saana kwa kulitambua hilo dear.... Mie naona ndio njia sahihi... hata hivo kama ulivo gusia kua yupo garibu zaidi na ndugu zako.... Kwa upande wangu naona YES ni pouwa. But hata hio ina mipaka yake, mdogo ama dadako wa kike wakizoeana kuvuka mpaka; to the extent ya kuanza kuita mke mdogo sijui mara nini.... inatakiwa kua makini kweli or else mdogo wako atakua bi mdogo kiukweli na in practice....
Heshima kwako dada mkubwa,
Namshukuru mungu haya hayajawahi kunitokea maishan
Na nikwavile sinaga mpango na hao mashosti wa hivyo,
Nashukuru mungu marafiki zangu ni wanaume tangu utoto wangu,
Na kamwe maishan siwezi kumtambulisha mwenza wangu kwa rafiki na kuruhusu wazoeane,
Ni marufuku outing na mtu aliyesingle tuambatane naye,otherwise tutoke wasichana peke yetu,
Mungu nisaidie yasinikute ya hv au kumsababishia mtu mwingine mambo km haya Amen.
Kwa staili hiyo inakubalika kwan kila mtu atakuwa na mtu wa kumkeep bize mwenzie lol,Namimi nasema "Ameeen" yasikukute....
Nimependa msimamo wako dear.... thou siku moja moja mwaweza toka na rafikiyo
single na kama mwenzio ana rafiki single...lol.. (unaelewa tena mambo ya rekindling flames)
in the hope they will work things out.... Kama hapa nina mpango wa kumkaribisha
Tiqo nitafute na rafiki single... Hoping.. and hoping..lol
Looh!! ... OMG.. You r so good eh? How do you start collecting all this details ...
... I loved this one and must apply this weeked ... Lol
.... Mfano labda mna outing, wewe kama mhusika nyanyuka kuenda washroom OR labda kuagiza vinywaji... Kwambali wawaangalia wapo so deep in conservation... oblvious of the exsting world and people around them... Waweza chelewa several minutes kurudi pale mezani but wasi notice (if they do baaada ya mda nayo out of guilt of their pleasure) ...
... Unajua nini ... I have good human intelligence ..so soon im going start this practice najua nitaweza tu ...and you know what before i take any steps ...will discuss the findings with you, ..Lol!