IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

by the way utatambulisha wangapi? Watu hawasomeki mjini hapa heri ulizwe kimyakimya kuliko aibu ya mtaa loh
 
B Tabia nikimbilie kukupa poke kwa kung'twa rafiki..... Nimependa post yako... Sometimes ukaribu wa mpenzi wako na rafiki kweli haitakiwi uvuke mpaka kivile.... However ni muhimu wakawepo wa mawasiliano... kuna dharula kama ajali, kuumwa ambazo mpenzi wako anastahili kupata taarifa in case anakutafuta na hujapatikana kabisa (hasa kwenye simu na kwa mda mrefu). Nashukuru kwa Like...lol
 
alidhani ni mpenzi wangu? Mimi mpenzi wangu huwa simtambulishi kabisa hadi nimhakikishe ni realy kabisa sasa hamna ambae alishawai kufikia hatua iyo wote wanapotelea njiani

.....lol... Nilikosa mpuzi.... Watu wengine wayaweza jamani.... Dah! Malizia story sasa bana!
 
Kweli yakiwa yametokea kwako ni ngumu sana kusema
Ila kama nilivyosema ilikaribia kuvunja ndoa ya mdada mmoja ninafahamu ambaye alikua anampenda sana rafiki ya mumewe na kumsifia na kuwasiliana nae tena kwa email na simu
Mazungumzo ambayo yalikuwa ya ndani sana yaani kama ya watu ambao wako kwenye relationship na alikuwa anapenda sana kila wakitoka na mumewe jamaa huyo awepo
Kumbe ile ilikuwa ni yule dada alimpenda sana rafiki yake na mumewe
 
ila mimi sidhani kama ni haki/USTAARABU mke/mume wa mtu kuwa na urafiki wa saaana hadi wa kuwa mwawasiliana kwa mail or simu na marafiki wa mwenza wake unless kuwe na issue muhimu
 
ila mimi sidhani kama ni haki mke/mume wa mtu kuwa naurafiki wa saaana hadi wa kuwa mwawasiliana kwa mail or simu na marafiki wa mwenza wake unless kuwe na issue muhimu

Sometime inatokea kwa kuwa mnaaminiana na unajua kabisa kuwa hawezi fanya lolote kwa mkeo
So mnapeana no za simu na kwenye outing mnaalikana na kuwa pamoja kwa muda
Inawezekana pia rafikio akawa single japo unajua ana mpenzi
So haya mambo yapo na wala hayakwepeki kabisa
Ila muhimu ni kuondoa yale mahusiano ya karibu baina ya watu hao wawili
 
Nimekupata R'.... Kwa hio ina maana hizo feelings zilikua ni za upande mmoja ndio maana hata ndoa ilipona.... other wise kama jamaa angekua anarespond na ana nia basi mambo kuharibika possibility ilikua ni kubwa saana.... Or am I wrong?
 
hapa nazungumzia mawasiliano ya daily kisa shem sio ustaarabu
 
Sikutaka kuongea sana
Nakumbuka ujanani almanusura mamba animeze kwa mtindo huu huu
Bahati nzuri partner akawa muwazi na kusema be keafu, huyo rafiki ako mtata

Ila nilibaki na :eek2: :eek2:
Sikumchunguza sana kuku, nikamla ivo ivo

Nimekupata R'.... Kwa hio ina maana hizo feelings zilikua ni za upande mmoja ndio maana hata ndoa ilipona.... other wise kama jamaa angekua anarespond na ana nia basi mambo kuharibika possibility ilikua ni kubwa saana.... Or am I wrong?

Yeah za upande mmoja
Ila ilikuwa ni lazima ahakikisha anaondoa yale mawasiliano kuponya ndoa yake
Maana ndoa ilikuwa mashakani so mke akaona bora amalize utata wa kuondoa mawasiliano ya aina yoyote na yule jamaa
 
I bet ilimchukua miezi kurudi hali ya kawaida rohoni kwake....lol.... Mapenzi haya bana! Good thing ndoa iliokolewa bana!

Enways wewe unafikiri mume alipogundua alijiskia vipi? Chukua nafasi yake na jaribu kutathmini...
 
Sina kabisa kuwa na mpenzi pasua kichwa sana

Huna sababu hupendi na huna? AMA huna sababu Mpenzi ni pasua kichwa?

Nimefurahi thou uliposema kua "pasua kichwa" hicho ni kiashiria kua ukipenda kweli wapenda... But bahati mbaya huyo mtu anakuangusha..... (correct me if I am wrong)
 
I bet ilimchukua miezi kurudi hali ya kawaida rohoni kwake....lol.... Mapenzi haya bana! Good thing ndoa iliokolewa bana!

Enways wewe unafikiri mume alipogundua alijiskia vipi? Chukua nafasi yake na jaribu kutathmini...

It was so bad for him
Kujua kuwa kuna mtu amehamishiwa upendo aliotakiwa kupendwa yeye
Na kujua kuwa kuna mtu anatumiwa email ndefu za maelezo ya mapenzi wakati yeye hajawahi kutumiwa hata moja
Kukuta kuwa kuna mtu anapewa attention na mke wake zaidi ya anayopewa yeye
Ilimchukua muda sana kurudi kwenye hali ya kawaida na kurudisha ndoa na uaminifu uliopotea
Maana mume hakuweza kuamini kuwa wale wawili hawana extra marital affairs kwa namna walivyokuwa so close na maongezi yao na mautani yao na the way they look to each other wanapokutana
 
umenikumbusha bibi yangu alikuwa akitusisitiza 'kukalia nguo' sio mtoto wa kike mwaa mwaa tu...
Nataka kusema hivi, wakati mwingine midomo ya wanawake inawauza wapenzi wao kwa mashoga zao (sasa hapa uwe na bahati ya kupata dume kama la Kongosho likushtue shoga yako sio)
kujiwekea mpaka baina ya mahusiano yako na rafiki zako muhimu sana aisee..
 
Sikutaka kuongea sana
Nakumbuka ujanani almanusura mamba animeze kwa mtindo huu huu
Bahati nzuri partner akawa muwazi na kusema be keafu, huyo rafiki ako mtata

Ila nilibaki na :eek2: :eek2:
Sikumchunguza sana kuku, nikamla ivo ivo
hata mimi aliniambia tu hvohvo be keafu baby besides ubakaji niliuona mwenyewe shosti kanikimbia toka siku ile
 
Hapo in blue nampongeza huyo mwanaume,
ni wanaume wachache saana waweza kusamehe kwa hilo
hata kama ilimchukua mda... Hapo tayari mwanamke kisha vunja
trust daima kwa mumewe.... Ndo hapo unapopata picha mtu kua
ndoa ni more of a compromise than loving... Waweza kuta kuna
mambo ambayo ndio ya msingi ndicho kimewafanya wakae but
there is no love kabisa!
 
Huna sababu hupendi na huna? AMA huna sababu Mpenzi ni pasua kichwa?

Nimefurahi thou uliposema kua "pasua kichwa" hicho ni kiashiria kua ukipenda kweli wapenda... But bahati mbaya huyo mtu anakuangusha..... (correct me if I am wrong)

Mi nimepanga niishi peke yangu bila kuwa na mpenzi na sifikirii maswala ya mapenzi kabisa haya mapenzi yamesababisha mengi sana yenye +ve na -ve inategemea mtu na mtu anavyo enjoy na hayo mapenzi kwangu bora nikose hizo +ve na -ve za mapenzi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…