AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
"Habari zenu wana MMU"
Siku nyingi jamani... Hoping tu wazima wa afya na that the Holidays where Great!
Kawaida a couple hua watamaniana pendana na hatimae kujikuta ni wapenzi katika urafiki (yaani Gal friend/boy friend) ama ndoa kabisa. As time goes on Mwamaume/Mwanamke humtambulisha mpenzi wake kwa watu wake baadhi wa karibu kama rafiki/ndugu ama jamaa. However kuna ile tabia ya kusema kua mmoja wa hao marafiki/ndugu ama jamaa huwa karibu zaidi na Mpenzi wa mhusika kuliko wale woote aliowahi tambulishwa..... Which in most cases is convinient and neccessary.
LAKINI kuna wakati yule mtu ambae ndio wa karibu yenu as a couple (yaani rafiki ulie mtambulisha kwa Mpenzio) anakua karibu saana na Mpenzi wako huyo. Sometimes kupita kiwango ambacho yatakiwa iwe.... Yaani hao mtu na shemejie waweza dondokeana... either kwa kupenda ama tu bahati mbaya bila wao kujua ama wao kujua.....
The following ni baadhi ya viashiria ambavo wawez observe....
- Mpenzi wako anamzungumzia rafiki/ndugu yako kila mara mnapokua woote? Iwe faragha.... iwe katika maongezi ama popote pale... Mara ooh "D" hivi mara oooh "D" vile... mara analisema hiki mara kile na the like...
- Unagundua kua hua waonana mara kwa mara... mara for lunch, mara shopping, mara movie watching , mara kutembeleana... Yaani ili mradi it is convinient for them to meet; they do meet bila kujali kwa frequency ipi na wala kua haupo wewe mhusika mkuu...
- Wapo more than comfortable wakiwa pamoja..... Yaani very relaxed together. Hii waweza zaidi wasoma wakiwa kwa mbali. Mfano labda mna outing, wewe kama mhusika nyanyuka kuenda washroom OR labda kuagiza vinywaji... Kwambali wawaangalia wapo so deep in conservation... oblvious of the exsting world and people around them... Waweza chelewa several minutes kurudi pale mezani but wasi notice (if they do baaada ya mda nayo out of guilt of their pleasure)
- Huyo rafiki yako wa karibu (hata mpenzi wako) anataka kila mtokapo nae awepo kama third party... Tena hata siku moja haji na plus one wake (or anakua wakubaraguza tu kupoteza lengo). Kokote kule nae aambatane kana kwamba kwamuhusu kote. Kila Mpenzi wako anapokusisitiza tuende na rafiki yako – ukimtafuta yupo soo ready na ataacha lolote lile.... ili mradi tu nae aje na nyie as a couple.
- Rafiki yako yupo weird... Hapendi kabisa aongelee mambo ya mpenzi wako, OR kila saa anataka aongelee mambo ya mpenzi wako huyo. Yaaani hachoki, sifa kibao! Mara anafaa... mara wa ukweli... mara mara haziishi yaani! Ni kweli kuna ile wamsifia Mpenzi wa rafiki yako... But I do believe there are some limits to it. Hio yaweza hata kua pande zoote mbili; kwa mpenzi wako na rafiki yako pia.. Mpaka you start wondering hivi nisipokuwepo na mimi natajwa hivi hivi? Lol On top of that unakua unapokua na Mpenzi wako ama huyo rafiki yako ana details za Mpenzi/rafiki yako hata wewe hujawahi sikia kabisa!
An addition... Courtesy ya Mwanajamii1
Yalishanikuta isipokuwa kwangu kulikuwa na element moja ambayo iko opposite na yako. Wao walipretend kuwa maadui!! Kabisaa na hata mtu wangu alifikia hatua ya kunipiga marufuku mie kuwa karibu na huyo mdada ilhali huyu mdada naye kila akiniona na huyo chalii ananinunia hata salamu7 kuitikia inakuwa kazi na tunapokuwa na yeye tu heshinambia kuwa hamwamini huyo mkaka! phweee siku nilipowakuta nilishindwa hata kupumua, nikaishia kuwafungisha ndoa ya mkeka kimoyomoyo.
Kama nilivosema hapo juu... Hizo ni baadhi ya viashiria... kama wewe unaepita hapa iko hivo... SHTUKA!! Kama kawa naomba ushirikiano wenu katika mada hii tuweze ongezea, punguza na rekebisha pia.
Pamoja Saana...:grouphug:
AshaDii.