marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,092
- 1,917
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future)
Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ...
ili pewa nguvu sana na mtaalam nguli wa physics Albert Einstein akiamini time travelling is possible.
Na hii ipo proved kabisa in laboratory so ni theory ya kisayansi na si ubabaishaji kama zile za evolution of man wakina Darwin.
kwa wale waliosoma physics advance kuna theory inaitwa Principle of relativity
Kwenye kitabu cha Nelcon n parker wameelezea vyema
Ni hivi
Muda ni kitu ambacho huetengenezwa na ubongo na wala hakipo.
Kwa sababu hiyo tunachokiona ni sasa ni kile ambacho ubongo unakitafsiri kuwa ni ssa(now)
Kwa njia ya kuona kusikia na kugusa
Katika njia hizi Zote zina tumia Sauti kwenye kusikia mwili (impulse) kwenye kugusa na mwanga kwenye kuona
Katika hivyo vitu vilivyo tajwa hapo juu chenye mwendo kasi zaidi ni mwanga nao huvibeba vyote Kwa pamoja kama Electromagnetic waves zenye wavelength fafauti
Mwanga umebeba matukio yote kuazia adam mapaka sasa
Ikumbukwe wanga ni energy hivyo Hai hauharibiki upo tuu(Energy can neither created nor destroyed....)
Hujiifadhi kenye zone flani tu..
Kuweza kuishi kwenye zone ya mwanga wa wakati fulani uliopita utatakiwa kuuvercome mwanga huu unao uexperience sasa.
How:kuuovercome mwanga ni lazima huukimbie
Kama ukaweza kukimbizana na mwendo kasi wa mwanga(speed of light) unauwezo wa kufreez time na kutravel kabisa time
Kwasababu utahama kwenye tabaka la mwanga wa sasa na kuhamia kwenye tabaka la miaka iliyo pita au ijayo inategemea unasafiri kwa direction ipi
CHUKULIA MFANO
Kiumbe aliepo umbali ambao mwanga hutumia miaka 20 kufika huko, na mwanga ndio hubeba taarifa na Kuona mambo
Basi mwanga utanao fuka huki sasa ni ule uliotika kwenye uso wa dunia miaka 20 iliopita
Kwa hyo kiumbe huyo akiiangalia Dunia atexperience kile kilichikua kinafanyika miaka 20 iliyooita
( kwa maana hyo present yake ni 20 years past kwetu)
Kwa walio wahi kuangalia series ya FLASH mtaelewa haraka kuna episode flash ataka kwenda past akamuone muuaji wa mama yake ili mradhimu akimbie kwa speed ya 23% ya mwanga(light) ili aweze kurudi nyuma ya muda (back in time) kwa wakati alioutaka
Kusafiri muda kwenda past au future ni possible kulingana na principle of relativity kwa sababu vyote vina fanyinka simultaneously(kwa wakati mmoja) ambao ni NOW
NIISHIE HAPA MAANA NAONA NAANDIKA TUUU!

na baridi ya siku ile. He asked me why I took medicine Kama nipo interested na physics, then nikamwambia home hakuna job, nitakuwa poor tu na knowledge yangu. Alinipa business card yake akasema niende chuo chake anionyeshe what he has been researching. I couldn't make it, I have my reasons.