Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
basi na oil refinery zote zibaki uarabunisijui kama wewe mtoa mada unajua kinachodaiwa na wana mtwara, wanachodai ni kujengwa kwa kiwanda cha kuchakachua gesi (yaani malighafi ya gesi) mtwara na si kinyerezi maana huko ndiko malighafi hiyo inakopatikana kama ilivyo kwa viwanda vya minofu ya samaki kama ulivyotaja vipo mwanza, mara na kagera na si dar. Na faida inayopatikana kutokana na minofu hiyo hunufaisha taifa kwa ujumla. Ndivyo wanamtwara wanavyodai kiwanda cha gesi kijengwe kusini na si dar-es-salaam (kinyerezi) na bidhaa za gesi hiyo kuenezwa nchi nzima wala si dar peke yake na ikiwezekana hata nje ya nchi kwa manufaa ya taifa na wewe ukiwemo utafaidi kwa namna moja ama nyingine. Sasa hilo ni kosa? Nakushauri ni vyema ukafanya uchunguzi kwa kina kisha toa hoja zenye maana na si lugha za maudhi kama unavyotaka kupotosha umma wa tanzania.
Haya ona sasa,
Kila mtu akiwakosoa katumwa na Zito
Mie ni chilisosi na situmwi, I am my own boss
By the way mie natuma situmwi
Mwulize kama na uhusiano wowote na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) wa Kanda ya Dar es Salaam, Lukosi.nathibitisha umetumwa kufanya propaganda aidha ya kichama au ya usalama wa taifa kama vitengo vya serikali kubaki madarakani.
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
Ok basi nimetumwa
nathibitisha umetumwa kufanya propaganda aidha ya kichama au ya usalama wa taifa kama vitengo vya serikali kubaki madarakani.CDM ni taasisi kubwa yenye katiba, rasilimali watu(viongozi , wanachama, na pia wapenzi na mashabiki), yenye rasilimali mbalimbali, yenye kanuni na taratibu.Kwa taasisi kubwa kama ile hakukosi vihelelena mapandikizi kama wewe hivi ambao wanaweza kwenda kinyume cha katiba, kanuni na taratibu.Kwa kufanya hivyo chama makini hakiwezi kukumbatia uozo badala ya kujenga chama kwa kuondoa uozo huo.Kuwaondoa wakiuka kanuni na taratibu za chama ni kuimarisha chama .Hivyo hakiwezi kufa.Sikuzote ukiona mchwa kwenye ubao wa kushikiria bati , huondolewa na kupaka dawa ya mchwa, kufanya hivyo ni kuimarisha nyumba badala ya kuacha paa lidondoke.nathibitisha kuwa umetumwa, tathmini yako ya kulinganisha nccr na CDM, inaonyesha umesimliwa huna uzoefu na kazia hiyo kisiasa.nccr iligawanyika mpaka kwenye vikao ambavyo huwa ni nyezo na dhana ya kupata suluhu na maamuzi ya kikatiba na kidemokrasia.CDM hakuna migawanyiko hiyo hasa katika vikao vya kitaaisisi kama chama.na hao wanaofukuzwa hata wakienda mahakamani wanashindwa;sababu wanakuwa wamekiuka katiba, kanuni, na taratibu.Hivyo kutathimini ya pumba uliyotoa inaonyesha ni mtumwa wa fikra pasipo shaka.
Subirini mwone kama kitaporomoka kwanza ndo mnakipaisha juu watanzania si wale wa miaka ya 47
Ok basi nimetumwa
Are you happy NOW?
Kwa hiyo hukubaliani kabisa na niliyosema au?

you people ur useless, nyie ni chama tawala, mnakusanya kodi na mamlaka kisheria juu ya nchi yetu pamoja na watu wake, nashangaa badala ya kutatua matatizo ya watanzania nyie kila kukicha ni CDM tu, IS CDM RULING THIS COUNTRY? useless!!!
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
Sijui kama wewe mtoa mada
unajua kinachodaiwa na wana Mtwara, wanachodai ni kujengwa kwa kiwanda
cha kuchakachua gesi (yaani malighafi ya gesi) Mtwara na si Kinyerezi
maana huko ndiko malighafi hiyo inakopatikana kama ilivyo kwa viwanda
vya MINOFU YA SAMAKI kama ulivyotaja vipo Mwanza, Mara na Kagera na si
Dar. Na faida inayopatikana kutokana na minofu hiyo hunufaisha Taifa kwa
ujumla. Ndivyo wanamtwara wanavyodai Kiwanda cha GESI KIJENGWE KUSINI
na si Dar-es-Salaam (Kinyerezi) na BIDHAA ZA GESI hiyo kuenezwa nchi
nzima wala si Dar peke yake na ikiwezekana hata nje ya nchi kwa MANUFAA
YA TAIFA na wewe ukiwemo utafaidi kwa namna moja ama nyingine. Sasa hilo
ni kosa? Nakushauri ni vyema ukafanya uchunguzi kwa kina kisha toa hoja
zenye maana na si lugha za maudhi kama unavyotaka kupotosha umma wa
Tanzania.