Is this the end of CHADEMA?

Is this the end of CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.

Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.

Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.

Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?

Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg
 
Kwa nini unajipa presha bure mkuu?
 
What is your point? Je wewe unasemaje? Je CDM inaweza kuisha kwa hisia za watu? Je umetumwa na Zitto au umejituma? Hizo ohoo ulizikia lini na wapi? What next then and there? Je nayo matusi na mifananisho ya ajabu ni sehemu ya sera zenu? Je fisi anaweza kumcheka fisi mwenzake?
Kma ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
KJila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mmara ooh Saa nane kamuanika Zito

Wewe si umeshajitoa Ndugu toka CHADEMA? Waachie wenye chama chao waonyane,wanyooshane,wafukuzane na waelewane.Usiwaingilie
 
What is your point? Je wewe unasemaje? Je CDM inaweza kuisha kwa hisia za watu? Je umetumwa na Zitto au umejituma? Hizo ohoo ulizikia lini na wapi? What next then and there? Je nayo matusi na mifananisho ya ajabu ni sehemu ya sera zenu? Je fisi anaweza kumcheka fisi mwenzake?
Haya ona sasa,
Kila mtu akiwakosoa katumwa na Zito
Mie ni chilisosi na situmwi, I am my own boss
By the way mie natuma situmwi
 
CDM haifi,we subiri 2015 utaona tu wabunge zaidi ya 100 wanaingia mjengoni,ccm itakuwa ndio chama cha upinzani hyo Dec 2015...
 
Tuseme kwamba iwe kama ulivyotabiri wewe mwenyewe kwa kukilinganisha na NCCR-Mageuzi, kwamba ndiyo mwisho wa CDM. Kama ndivyo hayo unayoyaita machafuko yatatokeaje?

Kisha ukasema kwamba wao CDM wanatimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia. Kwa kuwa tupo tusioijua katiba ya CDM, hebu tufafanulie, katiba yao kwa kunukuu vifungu husika inasemaje ili wapate kutimuana ili kutuaminisha kwamba hawakuifuata.

Halafu ukasema "Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara", ni kweli kwamba kinachotokea Mtwara kuhusu gesi kimeandaliwa na CDM peke yake? Au unataka niamini hisia zangu kwamba mkuu wewe ni mvivu wa kufuatilia kinachotokea nje ya mazingira yako?

Mkuu, kajipange upya upate kueleweka.
 
Chilisosi; Pole sana kwa mtazamo wako finyu wenye kila sababu ya kuweza kusema ya kwamba labda unatumika..................Kha ha ha ha ha haaaaa!!!!! Rejea post ya Ndg yangu TUKUTUKU;; Na bila shaka umepata ujumbe vema kabisaaaaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi gani wa CHADEMA amesema gesi isitoke Mtwara??? Na je wana Mtwara wenyewe wamedai gesi isitoke???
Kuelewa ni jambo la muhimu sana kwa mwanadamu.....hapa kwenye suala la gesi nachelea kukuambia kuwa hujui kitu chochote na mifano ya watu wa Mwanza na Shinyanga iliyotumia ni irrelevant!
Tafuta habari na kuelewa then unatoa maoni yako....sio kutoa maoni kulingana na kutokuelewa kwako binafsi!
 
Chris ulijidhalilisha na sababu zako za kurudi CCM eti Tanzania kumeendelea. Watu walio UK wanajua unafiki wako na kupenda sifa kwako. Nani hajui ulirudi CCM eti upate hiyo tenda ya kuchagua magari. Kama kuna wanafiki wewe ni nambari One. Ya Chadema hayakuusu tena jaribu kutafuta mada zingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom