Is this statement true on LOVING

Is this statement true on LOVING

Umenikumbusha bibi mmoja huko kwetu. Alinipa tzs 1000/-, with a wide toothless smile. Akaniambia mwanangu, ukajinunulie zawadi yoyote utakayopenda. Alikuwa na umri kama wa 95 hivi wakati huo. Hadi leo amenipa deni, kila nikienda ana tenge la wax. Kuna upendo unaogusa aisee!

Huyu bibi wa almost 100 matenge bado yanamkaa kweli? Mi naona ungembadilishia zawadi kwa sasa...mawazo yangu lkn
 
hahaha, anajipenda kama nyau wa kizungu. Kila nikienda namkuta kashona nguo, tena sketi na blauzi. anavaa na raba, na mkongojo wake. Kajipaka mafuta anatelezaaa. i love that bibi aisee

Unashauri nimpelekee zawadi gani? manake ana wanae wanamtunza sawia

kuna mtu huwa ananiambia 'it is the thought that counts'
yaani mtu amekufikiria, na kwa uwezo alio nao anataka kukuspoil. Kuna siku my niece, 8 years old aliniambia tuingie hapo, i will buy you anything you want as long as it doesnt exceed tshs 5000/=
i almost cried. manake nilimuambia that place is expensive and i couldnt get money out of atm. imagine hiyo 5tau nilimpa jana yake na nikawa nimesahau.
ni kweli, kinachokuwa nq thamani ni upendo uliomo ndani ya zawadi hata kama ni ndogo kiasi gani.
 
hahaha, anajipenda kama nyau wa kizungu. Kila nikienda namkuta kashona nguo, tena sketi na blauzi. anavaa na raba, na mkongojo wake. Kajipaka mafuta anatelezaaa. i love that bibi aisee

Unashauri nimpelekee zawadi gani? manake ana wanae wanamtunza sawia

Hahahaa...kama ni hivyo kumbe bado vinamfaa. Nilidhan vitu kama sukari vingemfaa
 
Ooh jamani.

Mie mwaka jana December, kuna kabinti kalikuja kwangu, 7yrs, siku kanaondoka kakanishukuru kwa barua na kunipa enkachifu yake, nilifurahi ila nikasikitika sijui kwa nini.

Najua kali appreciate kutembezwa town na kila kitu, but hakuwa na kitu cha kunipa zaidi ya enkachifu na a thank you note. Hadi leo kale kabarua ninako.

Back
Top Bottom