tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Usibishe You so Cheap !!Ni Viazi Tu !
Bila Shaka Hajazaliwa Na Mwanamke,Na Huna Ndugu Zako Wa Kike.
Usibishe You so Cheap !!Ni Viazi Tu !
cheap since the beggining of humanman kind
Haka kabinti kame "pulwa" .....!!!!!!!!!!
Ukikuaa Utaacha
kukaa na jamii ya viumbe wachafu na wajinga kama wewe
Sawa mie naweza kuwa mjinga ila jibu ulilotoa limedhihirisha kuwa kiwango chako cha ujinga ni zaidi yangu
Duh aiseee reality yako itakuwa tofauti from ur expectations .nakuelewa sana unavyojisikia kwasababu nishapitia hayo and i learned my lesson the hard way!!
Mimi nitakushauri kutokana na mtazamo wangu na experience zangu...You should be very careful with what you are doing and getting yourself into kwasababu watu wengi waliokuwa online wapo FAKE na naweza kudiriki kusema wanajivalisha ngozi ya kondoo na kujipotray differently The reality might be very different from what you are seeing,take that from me and my personal experience DON´T FALL IN LOVE WITH SOMEONE YOU NEVER MET huwezi kujua mtu anachofeel kupitia kwenye chats lakini ukaribu,uwepo wake pamoja nawe,body language na facial expressions might tell you something!Wewe kuna uwezekano una hisia za kweli lakini mwenzako asiwe anajihisi hivo, anafuata flow tu Na huyo ndio anaweza kukuumiza kiurahisi sana na akakuliza bila hata kujali hisia zako na maumivu unayoyapitia,coz after all ni just chatting .
Ur being persimistic gorgeousmimi ,sio lazima wat u went thru ndo imtokea naye pia,its might turn out differently for her, the key thing is for her to be careful.
If u dare for nothing, u need to hope for nothing
Thank you Badiebey,you are so on point! Nitaufanyia kazi ushauri wako. After all life is always about taking risks. Nampenda sana aisee and i pray that he loves me back just as much.
Hapana hujakosea mimi ni kaka
Lakini wewe ni kwamba unawasiwasi na mapenzi ya mtandaoni kama ni halisi halafu unakuja kuwauliza hao hao wa mtandaoni ili wakujibu kama hilo penzi lako lita work
Hii ni sawa kweli?
''Muhammed Ali's advice to his daughters...An incident transpired when Muhammad Alis daughters arrived at his home wearing clothes that were quite revealing.
Here is the story as told by one of his daughters:
When we finally arrived, the chauffeur escorted my younger sister, Laila, and me up to my fathers suite. As usual, he was hiding behind the door waiting to scare us.
We exchanged many hugs and kisses as we could possibly give in one day.
My father took a good look at us. Then he sat me down on his lap and said something that I will never forget. He looked me straight in the eyes and said, Hana, everything that God made valuable in the world is covered and hard to get to. Where do you find diamonds? Deep down in the ground, covered and protected.
Where do you find pearls? Deep down at the bottom of the ocean, covered up and protected in a beautiful shell.
Where do you find gold? Way down in the mine, covered over with layers and layers of rock. You've got to work hard to get to them.
He looked at me with serious eyes. Your body is sacred. Youre far more precious than diamonds and pearls, and you should be covered too. From the book: More Than A Hero: Muhammad Ali's Life Lessons Through His Daughter's Eyes,,
Hata Umukagame alipata wake huku juzi juzi, just go on with your Heart.
We never video called each other but we do phone calls.
Moyo wa mtu ni giza nene..if u love him go ahead,but always take care of urself....don't compromise too soon..kukutana nae online doesnt mean he is a bad man,wapo wanaovunja mioyo yetu hata tuliowafahamu for years tangu tukiwa watoto
js take ur chances enjoy life and love him he's what u got right now,than live with regrets later