pole sana kaka, sio muda wa kujilaumu huu tena deal na tatizo.Uaminifu ni kama mshahara fanya kazi ili uupate, wewe umeshavunja uaminifu kwa mkeo kwa tamaa mimi ninaziita za kijinga now you have to swallow ur pride
Kuna kitu kimoja watu wanapaswa kujua, ukioa au kuolewa sio mwisho wa wanawake au wanaume wazuri tena kwa taharifa tu ukishafunga ndoa ndio utakutana na watu smart,wealth enough, beutful/handsome na wenye vigezo vyote vya uzuri ulivyokuwa unatamani mkeo/mmeo awenavyo
Sasa ukishaoa inabidi uwe makini sana na vitu kama hivyo maana gharama yake ni kubwa sana.Cha kufanya hapo acha ubabe muombe mkeo msamaha huku ukiwa unamaanisha na kama ikitokea amekusamehe usije ukarudia tena maaana hatokuja kukuamini tena