Hata kamwapo mkuu, hebu angalia sasa hiyo title ina uzito gani tena baada ya editing. Bora wangefuta Uzi tujue Moja.Kuna under 18 wapo huku mkuu 😃
Hahaha, baada ya ku edit picha neno madness linakosa maana kwa sababu mwanamke aliye pichani sasa anaoneka amevaa Kama mtu wa kawaida tu.Kwani title inasomaje mkuu
Kuna attachment nimeiona hapo ndo ina picha halisi ile OGHahaha, baada ya ku edit picha neno madness linakosa maana kwa sababu mwanamke aliye pichani sasa anaoneka amevaa Kama mtu wa kawaida tu.
Dinyos akili zao huwa wanaziacha wapi.
Monetary doctor Al-mukheef.
Mtoto wa 2000 sio mtoto tena ni ajuza wa miaka 25Watoto wa 2000 wasione hii picha maana kesho tu unawakuta mtaani wamevaa hivi.
Ni wepesi sana wa kuiga vitu
Mbona kwenye ule Uzi wa picha za warembo wakali world wide hawafanyi editing? Why huku?Kuna attachment nimeiona hapo ndo ina picha halisi ile OG
Kwa hiyo ni mabibi walioshikwa akili siyo?Mtoto wa 2000 sio mtoto tena ni ajuza wa miaka 25
Kuna mmoja mtaani keshakuwa mshangazi tayari na kuwapiku mishangazi ya 90Kwa hiyo ni mabibi walioshikwa akili siyo?
Wewe ukiattend victoria secret live si ndo utazimia?This is one of the breathing taking scene of the 2025 Fashion Trust USA Awards.
📸 is this fashion or madness?
View attachment 3303291
Mshangazi wa 2000 lazima awapiku wa miaka ya 90 kwa sababu kwenye Kila anachokifanya anataka aende extra mile.Kuna mmoja mtaani keshakuwa mshangazi tayari na kuwapiku mishangazi ya 90
🤣🤣🤣Daah,Leo Umeamua mkuuHuyo mwanamke ni mbaya sana. Ni kama kisiki cha mpingo