Bado ni kosa la kipumbavu sana alilofanya muuaji. At least angenishawishi kama hiyo sigara ingeoneka imeanguka na ipo jirani na maeneo ya mkono wake, lakini sio kuwa ipo mkononi kabisa ameishika mpaka mauti yanamfika. Huo ni uongo wa kijinga na kipumbavu.Mkuu hiyo note I thought the same as you lakini..
Defense wanaweza kuuliza labda kama ilikuwa ni suicide note marehemu alikuwa anaandika?
Halafu hiyo sigara ina utata sana, inaweza kuwa staged. Nashindwa kuelewa alishika vipi sigara mpaka anakata roho.
Defense lawyers wana kazi nyepesi zaidi katika kutengeneza doubt na mtu anatoboa kiulaini.
Hizi ni doubts nlikuwa naongelea hapo juu
Mara nyingine wanaharibu bila hata kujua maana wengi ni mizigo imetuliwa pale. Investigation ni art na kuna specialists kabisa. Hawa jamaa zetu wanafanyia mazoea at the end of the day wanaharibu kesi. Lakini tunaendelea tu na maisha, business as usual maana nobody caresPolice wakiamua kuharibu kesi wanaharibu kwenye hatua ya Kwanza, upigaji picha
Bado ni kosa la kipumbavu sana alilofanya muuaji. At least angenishawishi kama hiyo sigara ingeoneka imeanguka na ipo jirani na maeneo ya mkono wake, lakini sio kuwa ipo mkononi kabisa ameishika mpaka mauti yanamfika. Huo ni uongo wa kijinga na kipumbavu.
Hapo kesi inaisha kirahisi mno kuwa hiyo ni murder wamtafute muuajiYap!, kama hapa sasa..
Mkuu upo sahihi kabisa, fuatilia hata majalada ya kesi nyingi za jinai hapa bongo kukuta ina mpaka picha kama sehemu ya ushahidi na chache SANA, pengine hata hili neno Sana naona kama bado silitendei haku.Wapelelezi wetu wanaoenda crime scene na camera wachache mno. Wakati ni ushahidi wa muhimu na hii picha inaeleza mengi kuhusu tukio hata kama hakuna shahidi. Sijui hatuna cameras au ni uzembe
Niliwahi kuwa na kesi ya kuibiwa nlipofika kwenye tukio nilipiga picha kwa simu na askari walipokuja nikawaonyesha. Hakuna aliejali zile picha wala kupiga za kwao mpk leo case haijawa solved toka 2013Mkuu upo sahihi kabisa, fuatilia hata majalada ya kesi nyingi za jinai hapa bongo kukuta ina mpaka picha kama sehemu ya ushahidi na chache SANA, pengine hata hili neno Sana naona kama bado silitendei haku.
Wapelelezi wengi kwa huku uishia kuchora ramani ya tukio tena kwa mkono na wanazichora kipuuzi mno.
Siku tukipanua wigo wa sheria zetu hapa bongo tukaruhusu mfumo wa private investigation ufanye kazi kwenye mahakama zetu, basi hao polisi/public investigation wahesabu goli kwa kila kesi against...Mara nyingine wanaharibu bila hata kujua maana wengi ni mizigo imetuliwa pale. Investigation ni art na kuna specialists kabisa. Hawa jamaa zetu wanafanyia mazoea at the end of the day wanaharibu kesi. Lakini tunaendelea tu na maisha, business as usual maana nobody cares
Hawatakubali hiyo maana simple investigation wanashindwa na that system itafumua uozo wa kutosha. Luckily for defense lawyers ndo wanaishi kwa huo uzembeSiku tukipanua wigo wa sheria zetu hapa bongo tukaruhusu mfumo wa private investigation ufanye kazi kwenye mahakama zetu, basi hao polisi/public investigation wahesabu goli kwa kila kesi against...
Mara nyingine wanaharibu bila hata kujua maana wengi ni mizigo imetuliwa pale. Investigation ni art na kuna specialists kabisa. Hawa jamaa zetu wanafanyia mazoea at the end of the day wanaharibu kesi. Lakini tunaendelea tu na maisha, business as usual maana nobody cares
... Luckily for defense lawyers ndo wanaishi kwa huo uzembe
The way mambo zinaenda ukijaribu kunyoosha mstari utaonekana huna uzalendo. Baada ya hapo unajua what comes next.Wow, aiseh!
The way mambo zinaenda ukijaribu kunyoosha mstari utaonekana huna uzalendo. Baada ya hapo unajua what comes next.
Maybe the end will justify the meansScary!, Sijui tunaelekea wapi haki ya nani..
Na damu ukutani aliweka victim?You can be right but that ain't a sufficient reason to convince the jury.
Coz hata ingekuwa suicide lazima struggle yoyote ingetoea tu katika hatua za mwisho za uhai wake.
Maybe the end will justify the means