Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
You can be right but that ain't a sufficient reason to convince the jury.Murder.
Coz kuna signs zinaonyesha kuwa she struggled before her death.
Hyo murder na the perpetrator amerecrate scene kuwa kama suicideYou can be right but that ain't a sufficient reason to convince the jury.
Coz hata ingekuwa suicide lazima struggle yoyote ingetoea tu katika hatua za mwisho za uhai wake.
My previous answer reamin the same, mpaka na kwako.Hyo murder na the perpetrator amerecrate scene kuwa kama suicide
Mkuu naomba opinion yako niko open kufikiria outside the boxMy previous answer reamin the same, mpaka na kwako.
Anza kuichambua hiyo picha vizuri kupitia zile kanuni KUU 3 za uchambuzi wa picha ndio utapata sababu ya jibu kalo. Otherwise utakuwa ni kama unafanya betting.
Duniani kote hakuna kazi ngumu waliyo nayo prosecutors kama kuprove beyond reasonable doubt.My previous answer reamin the same, mpaka na kwako.
Anza kuichambua hiyo picha vizuri kupitia zile kanuni KUU 3 za uchambuzi wa picha ndio utapata sababu ya jibu kalo. Otherwise utakuwa ni kama unafanya betting.
Binafsi na mimi hiyo itakuwa ni MURDER.Mkuu naomba opinion yako niko open kufikiria outside the box
Hyo ni exactly nilichokuwa nafikiria kwa kusema kuna doubts kibaoBinafsi na mimi hiyo itakuwa ni MURDER.
Maana kwa kuanza kuangalia taratibu utagungua marehemu, kabla ya kufa ni kama alikuwa anaandika kitu huku hapo mezani huku akivuta sigara. Hilo halibishaniwi.
Sasa akiwa katika mazingira hayo inaonesha muuaji ni kama ametokea au amemgonga risasi, marehemu kutokea upande wake wa kushoto ndio maana utaona kuna michirizi ya damu hapo ukutani upande wa kulia. Sasa mistake aliyofanya muuaji ni kuplant hiyo silaha mkono huo huo wa kulia wa marehemu ili mwisho wa siku aonekane marehemu amejiua (committ a suicide).
Ndiovyo wanavyopoteanagana mpaka kesi inaanguka.Duniani kote hakuna kazi ngumu waliyo nayo prosecutors kama kuprove beyond reasonable doubt.
Najaribu kuangalia scene napata a lot of them doubts kuwa hiyo ni suicide
You can be right but that ain't a sufficient reason to convince the jury.
Coz hata ingekuwa suicide lazima struggle yoyote ingetoea tu katika hatua za mwisho za uhai wake.
Defense lawyers wana kazi nyepesi zaidi katika kutengeneza doubt na mtu anatoboa kiulaini.Ndiovyo wanavyopoteanagana mpaka kesi inaanguka.
Hyo murder na the perpetrator amerecrate scene kuwa kama suicide
Kuna kitu ambacho nasisi huku Bongo tukikizimgatia kwa sana kinaweza okoa mengi.Hyo ni exactly nilichokuwa nafikiria kwa kusema kuna doubts kibao
Wapelelezi wetu wanaoenda crime scene na camera wachache mno. Wakati ni ushahidi wa muhimu na hii picha inaeleza mengi kuhusu tukio hata kama hakuna shahidi. Sijui hatuna cameras au ni uzembeKuna kitu ambacho nasisi huku Bongo tukikizimgatia kwa sana kinaweza okoa mengi.
Upigaji wa picha sehemu ya tukio. Kwa nchi zilizoendelea katika mambo ya utafiti, tukio linapotokea kitu cha kwanza kufanya tu huwa ni "kuzingira" eneo husika katika hatua 3, then wanapiga picha hayo maeneo yote matatu. Alafu wanaanza uchuuzi wa picha zenyewe moja baada ya nyingine huku wakikonnect dots na tukio lillilojiri.
Ilo halina ubishi pia. Ubishi upo kwamba struggle ilikuwepo au haikuwepo (no matter was complex or in complex), ndio kitu nilichobishania.It's true denoo, lakini kuna tofauti ya struggle ya murder na ya suicide. Ya murder si itakuwa more complex? Kama ya huyu dada inavyoonekana, while Suicide struggle will be less complex. Ama?
Binafsi na mimi hiyo itakuwa ni MURDER.
Maana kwa kuanza kuangalia taratibu utagungua marehemu, kabla ya kufa ni kama alikuwa anaandika kitu huku hapo mezani huku akivuta sigara. Hilo halibishaniwi.
Sasa akiwa katika mazingira hayo inaonesha muuaji ni kama ametokea au amemgonga risasi, marehemu kutokea upande wake wa kushoto ndio maana utaona kuna michirizi ya damu hapo ukutani upande wa kulia. Sasa mistake aliyofanya muuaji ni kuplant hiyo silaha mkono huo huo wa kulia wa marehemu ili mwisho wa siku aonekane marehemu amejiua (committ a suicide).
Hizi ni doubts nlikuwa naongelea hapo juuMkuu hiyo note I thought the same as you lakini..
Defense wanaweza kuuliza labda kama ilikuwa ni suicide note marehemu alikuwa anaandika?
Halafu hiyo sigara ina utata sana, inaweza kuwa staged. Nashindwa kuelewa alishika vipi sigara mpaka anakata roho.
Wapelelezi wetu wanaoenda crime scene na camera wachache mno. Wakati ni ushahidi wa muhimu na hii picha inaeleza mengi kuhusu tukio hata kama hakuna shahidi. Sijui hatuna cameras au ni uzembe