Is Technology A Modernised Form Of Witchcraft?

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
2,585
1,885
Guys nimeumia kichwa sana nimeshindwa kuelewa lakini najua hapa ndio mahala pake haswa

Nimeangalia jinsi watu huwasiliana kwa simu toka maeneo tofauti tofauti je nini huu si uchawi? Au ndio uchawi ulio endelea yaani teknolojia?
 
Jiulize kipi kilianza TV asili au TV tunazoziona kwa macho yetu ya kawaida.
Maana inasemakana waganga wakienyenyi wanauwezo wa kukuonyesha live mtu huko aliko.
 
Uchawi mbao wenzetu wanautumia positively kwa maendeleo na kumake profit sio wabongo kurogana na kurudishana nyuma
 
Ni sayansi tu, alafu hakuna kitu kama uchawi, yeyote anayesema otherwise ni muongo, mwenye kuweza kunihakikishia uchawi upo afanye hivyo tuone. Story za mtaani kibao ila hakuna yeyote yule aliyeshawahi kuona kitu supernatural kwa macho mawili.

Usifananishe technology na uchawi, ungekua umesoma sayansi hata basic tu ungejua wazi ni mambo yanaelezeka vizuri tu.
 
Kama kwa technolojia hii ya sa hv Ndo mnawaza kuwa ni form of witchcraft cjui zitakapo kuja quantum computers mtasema ni muujiza au
 
May be, uchawi ilikuwa kwenye upande wa ku test hypothesis
 
Back
Top Bottom