Is Tanzania headed for deeper upheaval?

Is Tanzania headed for deeper upheaval?

Hili likabudi ni Yale masomi yasiyokuwa na uwezo wa asili wa kufikiri..ni jitu jinga sana hili..Liliwahi kumuita Magufuli "Mh.Mungu"..likaenda mbali likasema Magufuli amelitoa jalalani..yaani Hilo ni Takataka kabisa
 
Palamagamba Kabudi Mwaluko is an embarrassment to the gogos as well as to all the learned brothers in Tanzania. Pathetic! I cannot stand him!
Unajua sasa hivi sidhani kama kutakuwa na mwenye nafuu... kama watu walifikiria wanamuunga mkono Samia sasa hivi itakuwa ni level nyingine kabisa...
 
Mr Kabudi is dominating the conversation and not allowing others to speak

Watanzania, serikali ya CCM say you piece in two minutes vizuri sana. Don't try to extend simple answer for 5, 10 minutes. It works in Tanzania media not worldwide media.

Don't try to hug the limelight wewe pekee. International audience wanakuona ni mjinga.
 
Nimemfurahia pia Dorothy ana mawazo komavu.

Sikumjua huyu mama but she came across as serious, reasonable, fair.

Sasa hivi nataka kuiona na kuijua CV yake. Huyu anaweza kuwa Rais mzuri kuliko fisadi, muuaji Samia.
 
Guyz,.......
................guyz............
....................,....guyz...........,😔😹😸😹
 
Siwezi kumsikiliza huyu Mzeenilishamkagua muda mrefu yupo kwa ajili ya maslahi yake na Watawala tu hizi Elimu kila mtu anaweza kupata hata watu wenye uwezo mdogo kama huyu mzee pia ndio maana sishangai yeye kuwa na matamko ya ajabu ajabu..
 
hivi huyo kabudi huwa ni muslim? he sounds so dumb, anaongea bila kituo, hasikilizi maswali anayoulizwa, hatoi nafasi kwa wengine kuongea, hana tofauti na wale mashehe, soo dull …
 
Kwanini CHADEMA wasiitishe màndamano? Au ACT au any registred civil society au watu binafsi?

Kwanini ofisi zao za kanda zisiitishe maandamano, waombe vibali na wapange tarehe ya maandamano ya amani?
Kwani maandamano ya amani ya kupinga uchaguzi na hali mbaya ya uhuru wa mtanzania yana matatizo gani kisheria, kama yatakuwa chini ya usimamizi wa polisi?

Mimi naona both extremes zinawaharibia maisha watanzania wengi wasiojali. The government extremists and opposition extremists ambao sidhani hata wanafika 5% ya population ndio tatizo.

Fujo, mauaji, kutishana, kualika other nations, its just fuckin stupid. Halafu none of you are better than the silent majority.
Afadhali Simbachawene angeongea, but this dude is just too arrogant. And the gay kenyan dude is just the same, talking weird shit.
Screenshot_20251124_154912.jpg

hawa watoto wote waliouwawa ni watoto wa chadema pekee?!
 
Tena sana. Ameongea bila kigugumizi japo mtangazaji alikuwa anamkata kabla hajamaliza kumwaga data.
Kumbe ndo maana alichaguliwa kuwa waziri wa habari. Nilikuwa nashangaa kwanini hakwenda sheria na katiba. No! Ameitendea haki nafasi ile. Anafaa, ila inatakiwa na samia amsikilize, siyo wahuni ambao hawana uwezo wa kujenga hoja kimataifa na hawawezi kumtetea anapovurunda.
 
Sikumjua huyu mama but she came across as serious, reasonable, fair.

Sasa hivi nataka kuiona na kuijua CV yake. Huyu anaweza kuwa Rais mzuri kuliko fisadi, muuaji Samia.
Sasa Naanza kuona watu makini JF! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nasubiri comment ya vichwa kama Victoire watueleze kuhusu huu mjadala walivyoutathimini
 
If you see someone talking too much, doesn't give himself time to listen to others, know that he is telling lies.
Absolutely, he was also too defensive, lacking composure, looked scared and in a state of panic, showing all signs of chaos behind the scenes.

At least this time his eyes were not popping out.
 
Unajua sasa hivi sidhani kama kutakuwa na mwenye nafuu... kama watu walifikiria wanamuunga mkono Samia sasa hivi itakuwa ni level nyingine kabisa...
Unapotumia rasilimali zote kuelekeza kwenye kudhibiti maandamano ni lazima fedha zitumike na hapo yamaanisha kwamba hazina yatia fedha ambazo hazina mahesabu, kwani hakuna bajeti ya kudhibiti maandamano.

Historia ilitufundisha jinsi siasa na uchumi vinavyoweza kuipeleka nchi katika hali hiyo ya (deeper upheaval) na kusababisha mabadiliko makubwa ya vurugu na lazima kwa jamii nzima, mgawanyiko kwenye jamii na sintofahamu.

Hapo tutegemee hali ngumu ya uchumi, maisha magumu, serikali kuzidisha mateso kwa wananchi, jami kugawanyika na wenye kipato kujificha wakila fedha waloziiba hapo kabla.

Vita kuu ya pili ya Dunia ilisababishwa na mambo kama haya kwa sababu hata Adolf Hltler akaanza kusingizia wayahudi ndo tatizo la uchumi wa Ujerumani kuanguka na khasa baada ya mkataba wa Versailles wa mwaka 1919 uloitaka Ujerumani kulipa fidia kwa nchi ilozipiga mabomu.

Viongozi wapaswa kujiuliza masuali kwamba je, baada ya sintofahamu juu ya uamuzi wa Marekani kuangalia miradi yake ya mabilioni ya dola yana usalama gani katika hali tata ya kisiasa nchini, na nchi wahisani kupitia EU kuzuia msaada wa fedha na Sweden kutangaza kusitisha msaada ifikapo Disemba 2026, twalekea kwenye muanguko mkuu wa uchumi au laa?

Haya maandamano si vurugu kama serikali inavyotaka kuaminisha Dunia kwamba ni lazima ije na hatua kali za kuyadhibiti, ingawa serikali bila kufahamu yalea vuguvugu la machafuko na mpasuko mkubwa kwenye jamii za watanzania.
 
View attachment 3513711
hawa watoto wote waliouwawa ni watoto wa chadema pekee?!
Hayo ni matokeo ya irresponsible opposition meet irresponsible governance.

Kwanza kuonyesha tu wewe ni mtu wa mihemko, kwanini utaje CHADEMA pekee? Kwani ACT au taasisi nyingine za kijamii au watu binafsi hawawezi kuomba kibali cha maandamano?
Si wafuate utaratibu wananchi tuone wanavyokataliwa au wakikubaliwa, serikali ione support ya nguvu?

Serikali imesema fuateni taratibu. Okay, taratibu zifuatwe tuone serikali itasema nini. Ikikataa, mara kwa mara, basi dunia ijue kuwa serikali imekataa. Kwa sababu pande zote mbili zimekosea, moja imefanya uharibifu kwa makusudi na moja imefanya mauaji kwa makusudi.
 
Haya maandamano si vurugu kama serikali inavyotaka kuaminisha Dunia kwamba ni lazima ije na hatua kali za kuyadhibiti, ingawa serikali bila kufahamu yalea vuguvugu la machafuko na mpasuko mkubwa kwenye jamii za watanzania
Yaliyopita yalikuwa ni vurugu, na yaliyotarajiwa hata kama yasingekuwa ya vurugu, bado tahadhari kubwa ilihitajika kulinda uhai na mali za umma na binafsi. Kwanini maandamano yasiwe organized? Yàani yawe na kibali na usimamizi?
Au, labda wenzangu mnaunga mkono random, unannouced protests? I dont get the concept on these two sides.
 
Back
Top Bottom