TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,283
- 27,971
Woti esiplendidi kwesheni! Senki yu veri machi, ze griti thinka, Ndalilobati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?
Tatizo ni kukusanywa viongozi na kupangwa kwa zamu kuingia ndani ya ndege kujionea ....... hii hata mimi nimeona aibu. Naamini viongozi wengi waliokuwapo hapo nao watakuwa wameona haya ila hawakuwa na jinsi. Mpaka picha kwenye kiti cha rubani ..... NO WAY!! This was a bit to the extreme side ...!!Lack of appreciation is the greatest primitive wichcraft in Africa... tena wewe umeonyesha highest degree by feeling shy about it badala ya kuappreciate..... hii nchi tunairoga wenyewe bila kujua..
Wewe ni aina ya watu ambao wanafikiria kila kitu ni mimi, leo, na sasa. Uwekezaji mkubwa unahitaji kujinyima vitu flani na kusubiria mrejesho chanya baada ya muda flani. Maendeleo makubwa hufanyika ktk mtindo wa gradual change.may be I cant link between the two,but you failed to show us what exactly has been done by previous three planes, second,kwa taifa changa kama Tanzania kununua mandege makubwaa manne ni kumisuse resources! bajeti yetu ya fedha ni ndogo na priorities ziwe kwingine,afterall hao watalii mnaowasema kwani wanakuja Tanzania kwa mamilioni kiasi tutake kuwa na mandege mengi?????????,Magufuli anakosea lakini kuwa na wateteaji kama wewe kunanishangaza sana
Mjomba ningekuwa karibu nawe ningekupa balimi ya bardiiii. ..mbavu sina hapa. .kweli wewe chale chaplin!Ai agrii withi yu...bati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?
Ai hedi in hia(TZ), inglishi izi touti in swahili.......
Acha za kuleta wewe kilaza? Bombay wapi? Mimi nafahamu Mumbai. ..Bombay iko wapi Mjomba?Bombay ni mji katika india, nimeishi mda mredu tu huu mji so before you urgue fanya research
Wewe ni aina ya watu ambao wanafikiria kila kitu ni mimi, leo, na sasa. Uwekezaji mkubwa unahitaji kujinyima vitu flani na kusubiria mrejesho chanya baada ya muda flani. Maendeleo makubwa hufanyika ktk mtindo wa gradual change.
Na pia sio lazima wafaidike wa sasa, sisi wa sasa tuteseke kwa ajili ya wanao kuja kesho.
Kama utashidwa kustand proud for wat is urs (mnachokiita kidogo), unafikir utaweza katika hayo unayoyafikiria wewe ndio makubwa..Tatizo ni kukusanywa viongozi na kupangwa kwa zamu kuingia ndani ya ndege kujionea ....... hii hata mimi nimeona aibu. Naamini viongozi wengi waliokuwapo hapo nao watakuwa wameona haya ila hawakuwa na jinsi. Mpaka picha kwenye kiti cha rubani ..... NO WAY!! This was a bit to the extreme side ...!!
Mtu aliyeelimika huwa amevuka kwenye ile hali ya kuangalia watu eti watamcheka akifanya jambo fulani, ukiona bado una feelings za kuogopa kuchekwa fahamu elimu uliyo nayo imekusaidia kujua kusoma , kuandika na kupata vyeti tu..lakini hujatoa ujinga!ofisini nina colleagues wangu Wakenya na Waghana.... yaani nina kibarua cha kuwakwepa tangu asubuhi.
wanataka kunisemesha lakini ninajifanya niko busy na blue Monday.
nyie CCM nyie.....kwa nini mnatuwekea watindiga kwenye ofisi yetu kuu?
yaani kweli kwa makusudi kabisa mmeturejesha kwenye zama za ujima nyie watu!!!
tunaongozwa na washamba, period.Mtu aliyeelimika huwa amevuka kwenye ile hali ya kuangalia watu eti watamcheka akifanya jambo fulani, ukiona bado una feelings za kuogopa kuchekwa fahamu elimu uliyo nayo imekusaidia kujua kusoma , kuandika na kupata vyeti tu..lakini hujatoa ujinga!
An endi tude ngonjera is niaring ekonomik developia is praktikality noti a songu withauti atuni!Wati didi yu eksipeti fromu Mista Embasada wulidi duu? hi wozi jasti akomplishingi hizi protokoo he kulidinti refyuzi ze wito.
Hanesti spikingi wi azi Tanzanians, wi aa rili skrudi apu thisi taimu, leti mi endi hia ai hedi fromu the owuna of DSM thati wi wili bi delti withi. thekth!
Wenyeji ndio wenye haki ya kutoa jina la mji wao, na sio wasafirishaji. Umechemka
Labda utupe mawazo yako, tufanyaje ili atcl irudi kwenye biashara? Kama tulikuwa hatuna ndege, solution si ilikuwa ni kununua ndege ndugu au ulitaka tuendelee kuwasifia KQ halafu tusubiri muujiza wa Mungu? Kama hujaianza safari kujua changamoto zake na kamwe huwezi kujua suluhisho la changamoto hizo. Lililo jema atcl wanajua ugumu ulio mbele yao.Ila watanzani tunaipenda sana Nchi yetu kiasi kwamba tunaamini kila tunaloambiwa na watawala
Kwa muono wako Atcl inarudi kuwa shirika la maana la Usafiri wa ANGA umeshajua faida kiasi gani imepatikana tangu ndege za Mwanzo zianze kufanyakazi
Kabla hatujaenda mbali natamani kujua kama umewahi kufanya biashara yoyote!Labda utupe mawazo yako, tufanyaje ili atcl irudi kwenye biashara? Kama tulikuwa hatuna ndege, solution si ilikuwa ni kununua ndege ndugu au ulitaka tuendelee kuwasifia KQ halafu tusubiri muujiza wa Mungu? Kama hujaianza safari kujua changamoto zake na kamwe huwezi kujua suluhisho la changamoto hizo. Lililo jema atcl wanajua ugumu ulio mbele yao.
Bora washamba waliothubutu kugombea uongozi na waaminiwa na watu..na pengine wamefanya mambo mazuri kwa jamii hata kama ni machache kuliko wewe unayetoa povu jf huna zuri moja la kuonyesha hata mtoto wa darasa la kwanza ulilofanya kwa jamii..you agreed to be a slave of your own poor mind!tunaongozwa na washamba, period.
wanaowapigia makofi washamba wajitafutie kundi na wasisahau kulipa jina hilo kundi lao !!
vipi bado upo airport unaishangaa-shangaa dreamliner?Bora washamba waliothubutu kugombea uongozi na waaminiwa na watu..na pengine wamefanya mambo mazuri kwa jamii hata kama ni machache kuliko wewe unayetoa povu jf huna zuri moja la kuonyesha hata mtoto wa darasa la kwanza ulilofanya kwa jamii..you agreed to be a slave of your own poor mind!