Sasa kama hao WHO wanakuambia chanjo inawezekana kupatikana baada ya mwaka mmja
Ina maana muda wote huo watu watakuwa lockdwn
(that's bullaheet)
Kwa style hii lazima tuishi na corona kila mtu achukue tahadhari....
Kiukweli naipa kongole serikali hii kutotuweka lockdown maana sisi wengine tunaishi uswaz, nyumba mbanano Sasa lockdown si itakuwa balaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
..serikali ipambane na ugonjwa.
..iache kupambana na lockdown.