LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 251
Kagame! Is real threat to his opponents. Who can hold the bull by the horns?
Na kifo cha mwasheria Juani Timoth Mwaikusa je?
Nyie kagame mnamjua ama mnamsikia,yule mtu ana mkono mrefu........
Very true mkuu! Huyu jamaa hatari sana na sijui kama vyombo vyetu vya usalama vinamuangalia kwa jicho gani!Kagame hosted the first regional military joint drill it would be wise to keep an eye on Kagame and his military ambitions in the EAC.
Kagame ali operate na ku accomplish hiyo mission bila serikali ya Tanzania kujua?
Wewe unajua kuwa Kigoma Malima, Nyerere, Kibona, Kolimba etc did not die a natural death. Ya Mwakyembe juzi hakuwataja Wanyarwanda kuhusika? What is EAC for other kuficha ewahalifu wakiwemo wa hapa.
Nasikia hata vifo vya kina Sokoine, Kolimba na Nyerere, Kagame alihusika sana, huyu mtu ni hatari sana inabidi serikali imwangalie kwa karibu na ikibidi kufanya mipango ya kumwondoa pale, kale kanchi kadogo sana tukiamua kukachukua ni siku moja tuu.
Tatizo watanzania tumebaki kuongea tuu... Where are our actions against all these issues? Let us act quickly before the worse come...
Zamani kulikuwapo gazeti likiitwa Drum, sijui kama bado lipo); Gazeti hili liliwahi kumnukuu Rais Kamuzu Banda akisema "those who oppose us do face accidents" Hii ilikuwa ni baada ya wapinzani wake wengi kufa kwa ajali za barabarani. Hayo ndiyo yaliyo Rwanda!Leo BBC wametangaza mwandishi wa habari maarufu wa Rwanda aliyekuwa amekimbilia Uganda ameuawa na watu wasiofahamika!! Kwanini maadui wa Kagame hata walioikimbia Rwanda wanauawa? Mpaka Askofu aliyekimbilia Rome! Inaogopesha sana kwakweli!
Serikali itaachaje kujuwa ilichokifanya? kwani si aliuwawa na serikali?Kama Kagame kweli ameweza kumuua mtu mzito kama director wa TISS bila ya 'baraka' ya serikali ya Tanzania/bila ya serikali ya Tanzania kujua,aise tutakuwa na tatizo kubwa sana kiusalama kama nchi na vyombo vyetu vya usalama,kitu ambacho sitaki kukiamini
He is innocent until proven guilty. Tuacheni kuhukumu before gathering all the pieces.