Is moon landing true?

tatizo ni kwamba hakuna mtu aliye wahi ku verify kuwa its true sababu kuna maswali mengi yasiyojibika about that na vilevile hakuna aliyewahi kuverify 100% kuwa its not true for the same reason...so we meza tu uwezavyo...dunia yenyewe ndo kama hivi tena!!
 
Hiyo video siiamini, wanatudanganyia computer me nilizani tutaona reflected light kumbe mbwembwe za computer

to detect the reflected light from that distance with a naked eye aint easy, thats where the detectors,amps nd computers come in(cku hizi evrythng z done wth computers) ! Na sio kwamba the vid is a hoax or anythng NASA were more than happy to provide the location of the landing site to space observatory on other nations to observe t on their own
 
Muda mrefu nmekua nikifatilia kuhusu binadamu kwenda mwezini na wanasema Neil Armstrong ndio mtu wa kwanza kufika huo, je kuna ukweli wowote AnD what about the conspiracy theory.

Yawezekana hii ilikuwa fiction, ndiyo maana Neil Armstrong alikuwa mtu wa kukwepa media na kadamnasi daima hadi mauti yanamkuta; Obviously aliogopa maswali asiyoweza kujibu.

 
Wale Warusi na Soyuz 7K yao walitaka kuiga USA, lakini walishindwa! Kulikuwa na mkono wa CIA. It was a political demand anyway.
 
THE AMERICAN'S FAKE STORY OF MOON LANDING. Just make a simple verification with the DISCOVERED DIAMOND PLANET. Full of fictions! I hate them!
 
Is this claim true?

You may click here: THE MOON

moon_man_01.jpg moon_man_02.jpg
 
Ebu gonga hapa:
CLICK ME

1. Ebu angalia mwanga wa jua unakotokea; ebu angalia position ya Lunar Module. Angle ya jua ni kama degree 50 hivi ili hali ingekuwa deg 14!

2. PLSS (Portable Life Support System) aliyovaa huyu Armstrong ni kubwa zaidi
na square; ktk hali halisi kwa wakati ule, PLSS zilikuwa ndogo na zenye edges za duara!

3. Boots za Apollo zilitengenezwa kwa Chromel-R ambazo uonekana nyeupe kama zikigongwa na mwanga halisi wa jua. Lakini hapa yaelekea mwanga feki ulitumika! Boots za Armstrong hapa zinaonekana nyeusi! Yaelekea NASA hawakupanga vizuri kuadaa dunia.
 
Back
Top Bottom