Is MJ New Nyerere? Wow | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is MJ New Nyerere? Wow

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Nov 11, 2007.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2007
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  [media]http://mwanakijiji.podomatic.com/enclosure/2007-10-23T22_12_36-07_00.MP3[/media]
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa MKJJ...............uongozi unatakiwa uwe ni WITO na sio mradi wa mtu kama ilivyo sasa
   
 3. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2007
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,612
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Sikubaliani na swala fedha sio source ya maendeleo kwa nchi zinazoendelea.
  Vitu vitatu muhimu kwenye nchi zinazoendela ni Mtaji, wabunifu(entrepreneur), and work force. Azimio la Arusha ni source ya umasikini wetu wa leo, mwalim mwenyewe alishwa kulidefend hilo. Adhabu ya kutoheshimu private property ndio imetutafuna Tanzania mpaka leo.
  Pesa is a source of maendeleo any where in the world, however kama ikitumika kishenzi then inaweza kuwa source of evil. Lakini katika karne hii huwezi kufanya chochote pasipo fedha.

  Ubepari is the way of life, if it will be performed under rules and regulation of ubepari. Ubepari increase choices to people, ubepari make easy for any body to somebody
  Some of the critics from the audio clip zinafavor maisha ya karne za enzi za mawe, however some of the opinions are make a lot of sense in Tanzania of today.

  Review the Wealth of Nation by Adam Smith.I believe kuanza kutafuta nani kapata wapi pesa ndani ya serikali ilishashindikana kipindi cha Mkapa. Kingine ni vigumu sana kutrack source za utajiri ndani ya Tanzania kutokana na nature ya nchi.Hii ni kuangizia kwa kina Sumae mpaka kwa Mengi. Tanzania needs to close loop holes za rushwa, that is the main agenda. "Ukishangaa ya musa utaona ya firauni" ni fasihi sahihi kabisa ndani ya Tanzania, wafanyakazi wa kawaida tuu wanamamilioni ya shillingi kutokana na rushwa.

  Ni imani yangu kwamba, kabla ya kutibu ugonjwa ni bora ukajua ni nini chanzo cha ugonjwa huo. Tanzania people tunaitaji kujiuliza nini chanzo cha uongozi mbovu ndani ya nnchi. Kama wananchi hatuko tayari kuamka kwa mabadiliko, then hakuna maana ya kulilia mabadiliko. Kama wananchi ndio mstari wa mbele kuwaongo police barabarani, then unategemea nini kutoka kwa waziri?

  Nathani ni muda wa kubadilisha strategy, kwani strategy zilizo kuwepo kipindi cha Mwalim haziwezi kufanya kazi katika karne hii. Ni muda wa sisi wananchi kuwa mfano, na kuwa responsible na maamuzi yetu, na kuacha kulaamu viongozi ambao tuliwapitisha madarakani kwa asilimia 80. Wazungu wanasema "you get what you paid for", na waswahili tunasema "Mchuma janga hula na nduguze".

  Kama kweli tunalilia mabadiliko basi kila mtakamabadiliko awe mfano. Hii ni challange kwa raia na wanasiasa wa Tanzania. No more time for talk that talk, its about walk that walk.
   
 4. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2007
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  MJ ndio nani? Nimeshindwa kutamtambua kwa kumsikiliza peke yake! Ila watanzania tunaweza sana kuongea kuliko kutenda! Kama kuna mtu alikuwa na maneno yeneye kutia hamasa na matumaini JK ni nambari wani! Lakini hajafanya chochote kinachofanana na maneno yake!

  Utafiti wangu binafsi unanionyesha kwamba watu wengi wanaoongea sana huwa si watendaji wazuri! Watendaji wazuri ni wale watu vitendo zaidi kuliko maneno! Mfano Mkapa!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Nov 12, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  MJ=Mwanakijiji??
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Nov 12, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Si mimi, si mimi!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Nov 12, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ooops! My bad...
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2007
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Mtanganyika,
  Naomba kutofautiana na wewe pale unaposema stratagy za Nyerere haziwezi kufanya kazi katika dunia ya leo. Nitatoa mfano wa eneo la madini kuonyesha kuwa kuna maeneo ambayo bado tunaweza kufanya vizuri hata kwa misingi ya azimio la Arusha.
  Tulikuwa na shirika la madini (STAMICO) ambalo sina hakika kama bado lipo. Shirika hili lilikuwa na geologists na wahandisi wa migodi wa kutosha. Shirika hili lingewezeshwa kupata mkopo wa kununulia mitambo inayohitajika kufanya kazi ya uchimbaji madini chini ya usimamizi wa bodi madhubuti ya wakurugenzi tofauti na hizi tulizozoea ambazo ni bodi za kupeana ulaji na mzigo kwa walipa kodi, ingeweza kufanya vizuri sana. Kwanza serikali ingepata fedha kutokana na gawio toka kwenye faida, (dividends) na pia toka kwenye kodi ambayo ingekuwa 30% ya faida hiyo. Strategy za huyu mzee zilikuwa makini sana, tatizo ni pale alipohamisha watu toka walikoua shirika moja kwenda kuua jingine. China ukiuwa shirika la umma adhabu yako ni kali sana. Ubepari haliwezi kuwa jibu la kila tatizo hasa tunapowapatia mabepari hao mali zetu bila malipo yoyote.
   
 9. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2007
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,612
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Gagnija!
  Nadhani kwa hili tutapingana kidogo, jee ni serikali gani duniani ambayo imeweza kuendesha viwanda kwa ufanisi? China ya leo imekubali wawekezaji, nchi za scandnavia ambazo ziliweza kuchanganya upebari na ujamaa zinashindwa kuendesha viwanda wavyao kwa ufanisi. Serikali kazi yake ni kukusanya kodi na kutengeneza sheria ambazo zitawalinda wanashare(stakeholder).

  Ifaamike ya kwamba Tanzania imefanya ubinafsishaji kiolela ndio maana lengo zima la ubinafsishaji linaonekana kama kiini macho kwa Watanganyika wengi. Tumeshaona jinsi serikali ya Tanzania ilivyo uwa makampuni kama Mbolea Tanga, Chuma, SIDO, TOL, na mengine mengi sana. Sababu ni kwamba serikali haiwezi kufanya usimamizi mzuri katika sector ya uzalishaji. Waacha investor wamiliki, then wewe kama serikali impose sheria za kucontorol the whole movement.

  Madhara ya serikali kumiliki viwanda ni makubwa, include kuintroduce trade barriers na nchi ningine sababu ya kuvilinda viwanda hivyo, vile vile kuumuumiza mtumiaji wa mwisho amabae ni Mtanzania.
   
 10. F

  FDR Jr JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2007
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zen hu iz MJ
   
 11. F

  FDR Jr JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2007
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zen hu iz MJ?
   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  Nov 14, 2007
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  katika pitapita zangu nimekuta Watanzania wenzetu ktk www.youngafrican.com wanamjadili BABA WA TAIFA.

  Nimeona hii kitu siyo nzuri kidogo naomba tuijadili. kuna mwenye data za ku-support au ku-dispute madai hayo yaliyotolewa?


  1.
  2.
  3.
   
 13. Samweli mathayo

  Samweli mathayo JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,218
  Likes Received: 1,017
  Trophy Points: 280
  Magufuli JOHN
   
Loading...