Is marriage overrated....???

Is marriage overrated....???

Kumbe mi bado sana
Nikiona post inahusu ndoa nastuka, maana pressure ya kuoa inakua kubwa kila siku.

Ni hatari sana. Lazima uwe na moyo wa chuma kupambana na family and relative pressure.

Mwaka huu niko 30, kila naekutana nae ananiuliza naoa lini, naoa lini. Fucking shit!
 
marriage is overrated kulingana na hiki kizazi kilivyo.....ila mazingira ya ndoa yangekuwa kama zamani mbona mambo bado yangekuwa mswano.

mi mwenyewe labda Roho wa Mungu anishukie ndio nioe!!
 
marriage is designed to keep the family.[emoji128]

watoto watalelewa na nani.!? Na hata wewe ukishakuzeeka,u mgonjwa,pia mpweke...itakuwaje.?[emoji124]


ukiangalia usawa wa pua yako uko sahihi na pia ukiuchosha ubongo kufikiria..utafuta ulichoandika

ile kuumia kumoyo coz of love...inapaswa ibaki kuwa funzo kwako..aidha jisahihishe,badili tabia ama mitazamoo yako..

Dada wenye upendo,marriageable.. na hamasa na uchaji wa Mungu wamejaa Kitaa..[emoji136]

So..badili eneo LA mawindo...Achana na ngiri anza kuwinda swala[emoji203]
Kula tano apo ulipo mkuu
 
Ndio[emoji4] yani kusema kweli hua naona ndoa ni kama kamali tu pia hua siyaamini mapenzi kiasi hiko
Hupaswi kuyaamini mapenzi kupitiliza lakini ndoa unapaswa kuiamini manake ni kitu ambacho utakipitia tu huwezi kuwa alone maisha yote kuna mambo ambayo hakuna MTU mwingine anaweza Fanya ila mke tu au mume tu
 
Hupaswi kuyaamini mapenzi kupitiliza lakini ndoa unapaswa kuiamini manake ni kitu ambacho utakipitia tu huwezi kuwa alone maisha yote kuna mambo ambayo hakuna MTU mwingine anaweza Fanya ila mke tu au mume tu
Labda baadaye nitakuja kuiamini lakini kila siku nikiona nyuzi za wanandoa kulalamikia usaliti ndio nazidi kutokua na mawazo ya ndoa
 
Wanaume wengi hujipata hawana furaha na wenye msongo mawazo baada ya kuoa. Ingawa kuoa hufanya wanaume wawe 'grounded' na kupunguza mambo hatarishi na pia huwafanya kujiona waliofanikiwa kuwa na familia lakini wengi huwa wanapoteza nuru na furaha ya maisha. Wengi huwa mfano wa mnyama alitolewa mbugani na kuwekwa katika zoo, uchangamfu wa maisha unapotea.
 
Back
Top Bottom