Is marriage overrated....???

Is marriage overrated....???

Vulnerabilities arises literally?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
When God created us, He created us for community. He said, “It is not good for man to be alone.” (Genesis 2:18).
It is such a blessing to walk through life with someone who knows everything about you. Sure, it makes you more vulnerable.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msiowa na mskiokua na uwezo wa kuowa naona mnajifariji


Nimetembea na wanawake kazaa nje kabla ya kuowa

Ila nilicho experience ndoa ni kitu cha fahari sna ndoa imeeka maisha yangu so stable , hata furaha imezid maradufu , pia hata kitendo cha ndoa nakifanya kwa utulivu kabisa bila pressure maana najua mda wote chakula ninacho ndani sikifanyii haraka ninakila ktk mda muafaka kabisa
 
Nikiona post inahusu ndoa nastuka, maana pressure ya kuoa inakua kubwa kila siku.

Ni hatari sana. Lazima uwe na moyo wa chuma kupambana na family and relative pressure.

Mwaka huu niko 30, kila naekutana nae ananiuliza naoa lini, naoa lini. Fucking shit!
 
Na kiukweli wanaoathiriwa na shinikizo la kuolewa ni wanawake.
  • Machaguo yao si rahisi kama wanaume
  • Umri wa kupata mtoto upo very limited
  • Jamii pia kuna namna huwa inawachukulia kama special group fulani hivi

Nadhani hili huwa linawafanya wajisikie wametua mzigo mzito baada ya kuolewa, ndio maana muda mwingine ni bora liende tu.
Wenzetu wana nyodo ila wamegongwa lable ya expired date, Mungu ahsante kwa kunifanya mtu mwanamme.
 
Msiowa na mskiokua na uwezo wa kuowa naona mnajifariji


Nimetembea na wanawake kazaa nje kabla ya kuowa

Ila nilicho experience ndoa ni kitu cha fahari sna ndoa imeeka maisha yangu so stable , hata furaha imezid maradufu , pia hata kitendo cha ndoa nakifanya kwa utulivu kabisa bila pressure maana najua mda wote chakula ninacho ndani sikifanyii haraka ninakila ktk mda muafaka kabisa
Na ungejua mbunye ya wizi na kufanya kwa wasiwasi ndo tamu.
 
Huyu jamaa namsifu sana ukitaka kupata shida maishni muoe mwanamke unayempenda , kwakweli utapata shida sana tena sana

Na chanzo cha mume kumtenda dhambi muumba wake ni kumpenda mke sana. Hapa lolote demu atakaolotaka utafanya kwa kila namna

Ukitaka mume upate nateso oa ukipendacho kumoya utajinyonga ski ya nani
 
Hahahhahhahahahaha damnn..... Sound acoustic.
Yes I will and only death will apart us regardless of hardships and leisures.
For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh...So they are no longer two, but one flesh.
So will you marry manka??
 
Mwanamke mmoja akasema
I can't buy a whole pig for a single sausage.
Akimaanisha hawezi kuolewa (wakubwa mmenielewa)[emoji41][emoji41]

Iko hivii
Ukiwa na demu unamega kisela ni kama una software ambayo kwa utundu wako umeweza kui-bypass na unatumia bila keys, au niseme unatumia software ambayo iko cracked.
Hii cracked software utakapojaribu kui-update kutoka kwenye official site ya developer kuna uwezekano mkubwa wakaidaka na ikabuma( unampa demu mimba alafu unaoa kwa lazima hata kama ulikua huna mpango).

Sasa ukioa ndio ume purchase a full package of that software. Utalipia gharama, wakiweka updates wataweza kukulipisha japo ushanunua full package.

Hata msiponielewa sitajali.

Ninachotaka mjue ni kwamba ndoa nyingi ziko hai kwa sababu ya watoto( yaani watoto ni kitanzi sana kwenye ndoa), ukitaka kumbwaga mkeo unaangalia watoto unawaonea huruma watateseka
One of the best comments ever [emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Spare my ribs.....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ukijitia mbishi unapasuka au unauponza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom