Uchaguzi 2020 Is January Makamba Tanzania's next president?

Awali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
Hata Mimi nimeshangaa mkuu
 
Kimombo hicho dah,nimeambulia theme tu.Sasa siungeandika Kiswahili tu ndugu.
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
 
Yes Rais wa wapiga chabo.
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Huyu atakuwa shemeji yako bila shaka. Unajipa moyo walau akiukwaa urais uambulie kazi ya mnikulu
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Huyu msanii mtandao wake bado unafanya kazi. Watanzania wameshajua namna ya kumpata rais anayefaa. Mtu mchapakazi sio fisadi hatafuti makuu wala kuanzisha mitandao kwa hela za kifisadi. Januari hana sifa hizo ila watu wanashangaa kwa nini anafikiri anaweza kua rais wa nchi hii. Mungu apishilie mbali.
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Umeuliza swali,umetuambia au umefanyaje mbona uzi haueleweki!
 
Basi itoshe tu kusema huifahamu siasa!! Makamba hamna siasa anazozijua zaidi ya siasa za Twitter wakati mwenzake Twitter yupo, on ground yupo!!!

..january anaweza asiwe as talented as Zitto.

..lakini kitakachomsaidia January ni nguvu ya pesa na rasilimali iliyonayo ccm.

..nguvu hiyo ndiyo huwafunika wagombea wa upinzani kiasi cha kuonekana kama pretenders tu.

..kingine ni rafu za waziwazi ambazo atakuwa anachezewa. Kwa mfano unaweza kukuta vyombo vya habari havitoi coverage sawa kwa kampeni zote.
 
Awali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
aisee we mkali sidhani km kuna haja ya kuendelea kusoma maoni ya watu wengine
 
Heeeee mmezidi sasa, na sisi watu wa Zanzibar ni zamu yetu yani kila siku ninyi tu, hapana na sisi tumechoka
 
Back
Top Bottom