Uchaguzi 2020 Is January Makamba Tanzania's next president?

Basi itoshe tu kusema huifahamu siasa!! Makamba hamna siasa anazozijua zaidi ya siasa za Twitter wakati mwenzake Twitter yupo, on ground yupo!!!
Umeona makamba hana ushawishi, hana mvuto, hana uthubutu, hana msimamo, hana dira ya kuonekana anachukia nn anapenda nn, makamba hana haiba ya urais, makamba hawezi urais, hapa kuna watu kama NCHEMBA, kama Lowassa japo ana matatizo yake, kuna watu kama Suleiman Jaffo, kuna watu kama Nchimbi, hao wanaweza , mwaka 2025 kwenda mbele uko,
 
Dah, we jamaa unanisingizia hivi hivi tena mbele ya kadamnasi! Yaani yote hayo nimesema mimi huyu huyu??!! Wapi?! Saa ngapi?! Nilivaa nguo gani?! Nilimama nyumba gani?! Shahidi yako nani?!

Braza January kama utaisoma hii post, mi simo kabisa.... haya ni ya kwake huyu huyu jamaa!!!
 
Rais ajae ni Hussein Mwinyi,jamaa anaandaliwa vizuri bila yeye kujua.Kuna kitu ambacho hata sikielewi kwanini nina imani hii kwamba jamaa ndio rais wetu ajae
 
Msipotoshe..mzee makamba wakati wa kampeni pale morogoro alisema yeye ndio yohana mbatizaji isionekana anapoteza muda ila anamsafishia njia jpm kuja kuongea kufanya kampeni.

Wewe ndiyo mpotoshaji, ila huyo mzee wenu ndiyo kashayakanyaga hivyo.
 
Haya mambo ya kufanya predictions za kiutawala , nadhani tuziache kwa sasa na tufocus tu kwenye issues za maendeleo. Ni ushauri tu.
 
chige,

..asante kwa bandiko lako hapo juu.

..nadhani wapinzani wanatakiwa waungane.

..pia they should not loose the gains they have already made.

..wawe na amani na continuity ndani ya vyama vyao. Pia wasipoteze wabunge au kura walizopata.

..waelekeze nguvu na resorces nyingi zaidi ktk viti vya ubunge na madiwani.

..halafu wawe na mgombea mzuri( effective arator/ campaigner) ktk nafasi ya Uraisi.

..tofauti ya kura za Magufuli na Lowassa ni kura milioni 2. Sasa Lowassa was very ineffective ktk kupiga kampeni. Yaani sijui hata alipatwa na nini. Ukawa wangekuwa na mgombea dynamic zaidi nadhani tofauti ya kura ingekuwa ndogo.

..kwa maoni yangu wanahitaji mgombea mzuri ambaye ccm watashindwa kupambana naye pamoja na kwamba wana mapesa rasilimali na dola.
Naomba nianze na hili la Lowassa kuwa ineffective kwenye kampeni 2015. Ni kweli, alikuwa very ineffective. Kuhusu kwanini alikuwa ineffective, naamini he's still in shock. That old man JK is very clever... unadhani kwanini hawakutaka kumtumbua kwenye ile kaulimbiu yao ya Kujivua Gamba?! It's 2012 ndiko ilitarajiwa angevuliwa Gamba! That old man JK na Think Tank wake walijua kabisa kwamba from 2012 to 2015 ni muda mrefu mno mtu kuendelea kuugulia kutumbuliwa! Endapo angetumbuliwa kipindi kile, hadi inaingia 2015 Lowassa angeshakuwa FULLY recovered after shock since then na hapo wasingeweza kumzuia never ever... hivi sasa angekuwa Magogoni! Kinyume chake wakaja kumchezea sarakasi wakati kipyenga kimeshalia... Hata kabla haja-recover, siku ya kupiga kura hiyo hapo...!!!!

Kuhusu kuungana... kuna "propaganda" zinaenezwa na Lumumba kuhusu Maalim Seif kuhamia CHADEMA! Hili nimelielezea kwa kirefu sana kwenye thread moja... binafsi siamini kwamba ni propaganda za CCM bali nahisi CCM wamepata taarifa za kiitelejensia kuhusu suala la Seif kwenda CHADEMA!

Taarifa kama hiyo CCM hawawezi hata mara moja kutamani litokee manake huo utakuwa ni msiba mzito kwa CCM. Kwavile naamini CCM hawawezi kutamani hilo jambo ndo maana naona kuna kaukweli fulani na katika kufanya damage control, ndipo gazeti la Uhuru ikazitoa hizo habari ili hata hapo itakapokuja kutokea ionekane hakuna jipya... lishatabiriwa CHADEMA kutaka "kuiua" CUF na ndipo waseme "si tuliwaambia mkatuona wazushi...!"

Lakini kwa upande mwingine ikiwa habari hizi ni za uongo, kwangu mimi naziona potential sana kwa upinzani... kwamba, propaganda za Lumumba wanaweza kuzifanya ziwe kweli. CUF na CHADEMA wana malengo yanayofanana but in opposite direction na kwa hapa, ni issue ya Tanganyika kwa CHADEMA na Zanzibar huru kwa CUF; hususani CUF Zanzibar! Tukiweka unafiki pembeni, CUF hana interest na Tanzania Bara na wala CHADEMA hana interest na Zanzibar. Anayeonekana kama mkombozi wa Wazanzibari ni Maalim na sio CUF per se kwahiyo Seif akienda CHADEMA, am very sure CUF Zanzibar watamfuata bila tatizo. Hapa itakuwa ni muunganiko wa CHADEMA yenye nguvu Bara na CUF yenye nguvu Zanzibar na kupata chama chenye nguvu Bara na Zanzibar na hivyo kumwaga hofu kwa CCM!!!

Hili likitokea, am certain CCM itaanguka japo upande mmoja 2020... ama Zanzibar au Muungano! Seif akichukua Zanzibar chini ya CHADEMA itakuwa ndo mwisho wa CCM Zanzibar. CCM ikishaparaganyika Zanzibar, bara nako haiwez kuwa salama.... hasa nikizingatia; mathalani JPM anaendelea 2020 halafu Seif anakuwa Zanzibar... Maalim Seif wala haoni taabu kutangaza kutoitambua serikali ya jamhuri na hivyo hatashirikiana nayo! Na kama JPM huku anapigwa chini lakini CCM Zanzibar wanaibuka kidedea; hawa ndo hawawezi kabisa kudumu bila CCM Bara!

Kwahiyo, wakiungana kwa malengo ya muda mrefu, ni very possible kuisambaratisha CCM 2020.
 
hizi imagination theory zenu ndio ziliua upinzani
 
Kwa mfano, ni imagination theory ipi ambayo iliua upinzani? Au ndo hiyo niliyoiweka mimi??
ile theory ya upinzani kumchukua Lowasa baada ya kumuona anakubalika sana ndani ya CCM na kumtosa DR.Slaa ndio imeiua upinzani
 
Ile haikuwa theory bali ilikuwa zoa zoa ambayo upinzani wameizoea utadhani wamelogwa! Tunaotengeneza theory tangia wakati ule tulijua that's a biggest mistake... ni kwavile tu hawakumuelewa Dr. Slaa alimaanisha nini kuhusu dhana yake ya Liability & Asset. Ambacho hawakumwelewa ni kwamba, liability itabaki kama liability hata kama kampuni itatengeneza faida. Kinachoangaliwa; ni namna gani asset ina-outweigh liability!

Hizo theory zilitengenezwa lakini waka-opt zoa zoa!

Ni mjinga tu ndie ataamini CHADEMA ya leo ni sawa na ya miezi 18 iliyopita hata kama hii ya sasa imetengeneza faida kubwa kuliko ya 18 iliyopita! Leo hii CHADEMA ya Slaa yenye wabunge 20 ingekuwa ni tishio zaidi kwa CCM kuliko CHADEMA ya EL yenye wabunge 30!
 
Raisi wa chaputa kajiuzulu Kwani ? Na huko chaputa kwenyewe ajipange kuna majamaa wamebobea wao wanapiga na inzi sijui atawafunika vipi ila The President of the United Republic of Tanzania ..no waaaaaaay
Nimecheka sana! Huko hata ZZK hawezi kunishinda
 
Back
Top Bottom