Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,187
- 26,209
Wewe ni janga la kitaifa,bora masikio yako angepewa kiziwi mwenye kuweza kuyatumia vizuri!kwanin TBC huwa inakata mawasiliano pindi mambo yakiharibika bungeni?vigezo vya kuwa brand no 1 sio mchezo,mengi yanaangalia!hongera ITV,nashukuru hata mzee wangu sasa anajua,ikifika saa 2 utamsikia weka ITV!